Tyson alikuwa anabebwa, overrated

Tyson alikuwa anabebwa, overrated

Jamaa nimempa List ya Mabondia hatari waliopigana na Tyson wakiwamo hao uliotaja kapiga kimya.Tyson alitamba almost miaka 20, kipindi chote hiko alikuwa anapigana na wanyera tu?jamaa mbishi sana.MTU katetea ubingwa Mara 9
Wewe acha uongo. Hujataja hayo majina, unless ulitaja bila kuniquote so nikaipita post yako.

Wewe ndiye mbishi tangu jana nakwambia siku inamalizika na mada haina muafaka tukubali kutokubaliana badala yake umeamka na haya haya
 
Uzi wako mwenyewe hujui kuufuatilia, rejea post yangu post number #60
 
Huyu jamaaa Hana anachojua naona kaamua Tu kupotezea watu mda na Uzi wa majungu kuhusu Tyson ..umempa heshima kubwa hata kumwambia anajua chochote
Hii Point Nyepesi sana, nilichogundua wewe ni MTU wa ngumi, yaani mchezo unaujua hasa kwa maana uko detailed, mpaka kuanza kukuelewesha vitu ambavyo najua unajua aibu naona mimi,kinachonishangaza ni vile umeamua kushupaza shingo na kuanza kuongea kishabiki

Hivi wewe hujui kuwa ili kuwa bingwa kwa Mara ya kwanza huo mkanda unamnyang'anya bingwa??hivi wewe hujui kuwa mkanda huwa unautetea against highest ranking boxers wa wakati huo? Nakuomba uwe na heshima kwa mabondia waliopigwa na Tyson, ndio walikuwa bora kwa nyakati hizo mkuu.

Tyson Kachukua Ubingwa toka kwa Bingwa Berbick unawezaje kumu underrate Berbick kwa vihoja vyako dhaifu? Tyson Kamkalisha Frank Bruno, unamjua Frank Bruno wa Nyakati Hizo? Tyson kamkalisha

Unamjua Donovan Ruddock wa nyakati za Tyson aliyechapwa Mara 2 mfululizo? angepangiwa na nani nyakati hizo kama Ruddock?

Larry Holmes, Tony Tucker, Michael Spinks,Tony Tubbs na Tyrell Biggs ni majina makubwa ya Nyakati zake ulitaka apambane na kina nani nyakati zile??kuwa na heshima kwa hao mabondia, unadhani umemponda Tyson ila kwa sisi werevu tunaona umewakosea heshima mabondia waliopambana na Tyson

Zaidi katika mapambano ya Tyson utagundua ameanza kupoteza jioni sana mengi akipoteza baada ya kutoka Jela.Tyson ktk Ubora wake alipigwa Na Douglas Buster tu katika usiku wa Mshangazo kwa Dunia.

MPE Heshima anayostahili Tyson
 
Mimi najua boxing na historia yake kuliko nusu na robo ya wanaonipinga hapa.

Wao wanajua boxing kwa reference ya mtu mmoja. Wanakua wanarudia mambo yaleyale mpaka wanaboa. Watu wanne wanakuukiza kitu kimoja. Unakijibu sasa hivi baadaye wanakuja sita kuuliza kitu kile kile.

Mnatia aibu
Sasa unachojua wewe ni kipi?Kutaja majina ya Ma bondia ndio kuja kwako? [emoji16] [emoji16]
Unahisi umeandika mwenyewe?Umejihisi unajua saana...Hongera !!
.
 
Huyu jamaaa Hana anachojua naona kaamua Tu kupotezea watu mda na Uzi wa majungu kuhusu Tyson ..umempa heshima kubwa hata kumwambia anajua chochote
Wewe mbona umechelewa kufika?
 
Ni sawa na wale wa kwenye mpira wa miguu mtu anajiita mchambuzi wakati hajawahi hata siku moja kuingia uwanjani na kucheza competitive match hata moja. Acha tuendelee kudanganyana.
Kwahiyo unavyochambua siasa ni kwavile ushakua mbunge au diwani au siyo? Hivi stroke upo serious kweli?
 
Mtoa hoja amemjua Tyson na hii historia kwa kumsoma, yan mpaka ameshindwa kujua kua Tyson na Holfield pambano lao la kwanza ndio Tyson aling'ata, yeye amesema pambano la pili ndio Tyson Kang'ata...... Umeonyesha historia ya Tyson umeisoma tu na kuangalia Youtube baazi ya mapambano,

Yan unasema Tyson alikuwa anawapiga wazee tu bas sio vijana? Umekosea

Tatizo lako ni moja.... Ulitaka Tyson asipigwe kamwe mpaka kustaafu kwake, ilo ni gumu, hakuna bingwa wa milele, hakuna bingwa asiyepigwa, ata Mohamed Ali ambae ndio mingwa wa ngumi wa miaka yote duniani alishapigwa kama mara tatu hiv, Tyson kapigwa mara tano ila heshima yake aliyoiweka katika ngumi haiwezi kupotea,
Ngumi ni mchezo kama michezo mingine, michezo yote duniani bingwa huwa anashinda na siku zingine anafungwa, ata mpira uko hivyo hivyo.

Tyson ni bingwa wa knock out, Tyson ni bingwa wa ngumi nzito. Hakuna bondia ambae aliweka rekodi ya hivyo.
Tyson hakuwa bondia mlaini, bwana mdogo umetuuzi wengi sana kwa maneno yako.
 
After stopping Frank Bruno and Bruce Seldon. With his defeat of Bruno, Tyson joined Floyd Patterson, Muhammad Ali, Tim Witherspoon, Evander Holyfield, and George Foreman as the only men in boxing history to have regained a heavyweight championship after having lost it.Tyson was known for his ferocious and intimidating boxing style as well as his controversial behavior inside and outside the ring. Nicknamed "Iron"[6] and "Kid Dynamite" in his early career, and later known as "The Baddest Man on the Planet",[7] Tyson is considered one of the best heavyweights of all time.[8] Tyson holds the third longest unified championship reign in heavyweight history at eight consecutive defenses. He currently ranks No. 15 in BoxRec's ranking of the greatest heavyweight boxers in history.[9] He was ranked No. 16 on The Ring's list of 100 greatest punchers of all time,[10] and No. 1 in the ESPN.com list of "The Hardest Hitters in Heavyweight History".[11] Sky Sports described him as "perhaps the most ferocious fighter to step into a professional ring".[12] He has been inducted into the International Boxing Hall of Fame and the World Boxing Hall of Fame. Copied
Kwa rekodi hizi kweli jamaa alikuwa overrated
 
Hakuna wakumfikia na atayekuja kumfikia Muhammad Ali
Note: Sijasoma Uzi na comment haihusiani na Uzi
 
Chief nenda katafute sehemu ambayo itakuonyesha Tyson alipigana na mabondia wakali wa kizazi chake na akashinda. Niletee majina tu ya mabondia 3.
Sasa mkuu utapataje mikanda mitatu bila kuwapiga best?

Career ya Tyson ilikuja kuharibika mwishoni ila toka ananza kupigana 1985 mpaka mwanzoni mwa miaka ya 90 mpaka anaenda jela 1992 alikuwa by far ni boxer mzuri zaidi wa kipindi chake.

Anakuja kuhangaishwa na kina Evandar na lenox ni mwisho tena wa career yake baada ya kutoka jela. Na huwezi ukatumia mapambano ya Uzeeni na ukaacha ubabe wake alipokuwa kwenye prime.
 
Mzee kuna mabondia washachukua ubingwa kutoka kwa journeymen na underdogs na kuna mabondia wameshachukua ubingwa bila hata kuingia ulingoni.

Ali alikaa jela. Alivyotoka ikawaje?
 
Sasa mkuu utapataje mikanda mitatu bila kuwapiga best?

Career ya Tyson ilikuja kuharibika mwishoni ila toka ananza kupigana 1985 mpaka mwanzoni mwa miaka ya 90 mpaka anaenda jela 1992 alikuwa by far ni boxer mzuri zaidi wa kipindi chake.

Anakuja kuhangaishwa na kina Evandar na lenox ni mwisho tena wa career yake baada ya kutoka jela. Na huwezi ukatumia mapambano ya Uzeeni na ukaacha ubabe wake alipokuwa kwenye prime.
Chief utapoteza energy zako bure huyu ni Hater, hater hanaga reason ya maana, yote haya watu tushamuambia toka Jana!!
 
Hapa ni wakati Tyson anakutana na Larry Holmes, Larry alikuwa kapigwa Mara 2 kashinda mapambano 48!!
Screenshot_20191126-194225.jpeg
 
Hapa ni wakati Tyson anapambana na Tony Tubbs, Tubbs alikuwa kapigwa Mara moja tu kashinda mapambano 24, hapo Tubbs alikuwa ranked number 2 katika mashirikisho matatu, Tyson akiwa ndio number one, wewe Castr ulitaka Tyson apambanishwe na nani wakati huo?Kuwa na heshima
Screenshot_20191126-194142.jpeg
 
Back
Top Bottom