Tyson alikuwa anabebwa, overrated

Hapa Tyson alipambana na Bondia mahiri Frank Bruno wa Uingereza, hakukuwa na Bondia mwingine aliyemzidi Ubora Frank Bruno zaidi ya Tyson Mwenyewe, Frank was ranked 2nd to Tyson.
 
Hapa Tyson alipambana na Mkali aliyekuwa akimiliki mkanda wa WBA ambao Tyson alikuwa anautaka Tena, angepigana na nani sasa kama sio Bruce Seldon aliyekuwa anashikilia mkanda??
 
Castr njoo unyooshe mikono juu LA sivyo nitakushambulia kwa facts mpaka team yako wakuokoe kwa kurusha taulo
Nilikwambia ukiniquote napata notification ukiandika bila kuniquote sipati taarifa.

So siku nzima uliyotumia kuresearch ndo umekuja na hayo? Na unashindwa kupinga hoja umeamua kunishambulia kwa kuniita hater? Acha komedi.

Anyway, niliandika nilichoandika, nikatarajia kipingwe kile, badala yake yakaja matusi na misleading info. Saa hii unascreenshot vitu na kuvituma tu ukitarajia nini? Kua itakua uongo nilichoandika?

No bro, nigga was overrated, now I never said there was no talent in him. I said and am saying it now he is overrated. Nitacounter kila screenshot yako.

Saa hii nipo kazini natoka alfajiri.
 
Hapo kwenye talent, sikiliza video clip moja nimetuma hapo mapambano aliyopigwa Tyson, sikiliza mtia Sauti anasemaje kuhusu Talent!!Eti niliyoandika nimeandika!!Wewe ni nani katika dunia ya Ndondi japo Tanzania tu??
 
Sasa wewe ni nani unayekuja kunipinga mimi juu ya ndondi? Hata kwenye familia yako tu.
 
Halafu ulivyosema kutwa nzima,Wewe ndio ukileta info chache kama hizo ndio unatumia kutwa nzima??wenzako click chache tu info kama dunia nzima.

Kingine nashangaa huoni jinsi ninavyojibu hoja zako??Hoja Yako ya kwanza Tyson hajapigana na Wakali, nimekuletea orodha ya Mabondia wakali aliopambana nao mpaka records zao wakati wanapambana nae

Humo humo nimejibu kukuonyesha status zao wakati wanapigana nae, Tyson alipambana na mabingwa ndio maana akachukua mataji yote makubwa.Mataji huchukuliwa kwa mabingwa wanaoshikilia.

Tyson Kapiga kila aina ya bondia, kuanzia wakongwe hadi vijana!!details zote nimekupa!!

Unataka hoja gani zaidi?
 
Mkuu wewe ni Bondia wa kulipwa au Bondia wakulipia? Kapige mkono kwanza ndo uje tena uandike huu upuuzi tukishaona video yako at least utakuwa umeupgrade kimtizamo. Ukitoka kwenye pambano tujue kama tutakuunderate au tukuoverate kama ni kazi rahisi.
 
Hoya una degree nne nini? Kwahiyo kwakua hujawahi kua Rais ndiyo usiongelee maswala ya urais?
 
Hoya una degree nne nini? Kwahiyo kwakua hujawahi kua Rais ndiyo usiongelee maswala ya urais?
Huna lolote unalolijua nilijua pengine alifoji ushindi na mikanda aliyopata haikuwa yake, kumbe alipigana on fair grounds shida yako wewe tu ni mapambano aliyopigana marudiano ndo kigezo chako wewe cha ubondia well waambie waandaji waongeze kipengele mtu apewe mkanda mpaka marudiano.
 
Hahaha acha kupanik soma vizuri.
 
Hoya una degree nne nini? Kwahiyo kwakua hujawahi kua Rais ndiyo usiongelee maswala ya urais?
Watu wenye Degree Nne ndio huleta uzi kama ulioleta wewe.Halafu ukiambiwa unakwepa kwepa ukweli wako juu ya chuki mbaya kabisa uliyo nayo rohoni.Imekuuma sana Tyson kuwa overrated.

Jitahidi na wewe uzidi pia kuwa Overrated ni kazi nyepesi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…