Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
Huyu jamaa naendelea kumnyoosha kwa facts mpaka aombe poo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikwambia ukiniquote napata notification ukiandika bila kuniquote sipati taarifa.Castr njoo unyooshe mikono juu LA sivyo nitakushambulia kwa facts mpaka team yako wakuokoe kwa kurusha taulo
Hapo kwenye talent, sikiliza video clip moja nimetuma hapo mapambano aliyopigwa Tyson, sikiliza mtia Sauti anasemaje kuhusu Talent!!Eti niliyoandika nimeandika!!Wewe ni nani katika dunia ya Ndondi japo Tanzania tu??Nilikwambia ukiniquote napata notification ukiandika bila kuniquote sipati taarifa.
So siku nzima uliyotumia kuresearch ndo umekuja na hayo? Na unashindwa kupinga hoja umeamua kunishambulia kwa kuniita hater? Acha komedi.
Anyway, niliandika nilichoandika, nikatarajia kipingwe kile, badala yake yakaja matusi na misleading info. Saa hii unascreenshot vitu na kuvituma tu ukitarajia nini? Kua itakua uongo nilichoandika?
No bro, nigga was overrated, now I never said there was no talent in him. I said and am saying it now he is overrated. Nitacounter kila screenshot yako.
Saa hii nipo kazini natoka alfajiri.
Sasa wewe ni nani unayekuja kunipinga mimi juu ya ndondi? Hata kwenye familia yako tu.Hapo kwenye talent, sikiliza video clip moja nimetuma hapo mapambano aliyopigwa Tyson, sikiliza mtia Sauti anasemaje kuhusu Talent!!Eti niliyoandika nimeandika!!Wewe ni nani katika dunia ya Ndondi japo Tanzania tu??
Halafu ulivyosema kutwa nzima,Wewe ndio ukileta info chache kama hizo ndio unatumia kutwa nzima??wenzako click chache tu info kama dunia nzima.Nilikwambia ukiniquote napata notification ukiandika bila kuniquote sipati taarifa.
So siku nzima uliyotumia kuresearch ndo umekuja na hayo? Na unashindwa kupinga hoja umeamua kunishambulia kwa kuniita hater? Acha komedi.
Anyway, niliandika nilichoandika, nikatarajia kipingwe kile, badala yake yakaja matusi na misleading info. Saa hii unascreenshot vitu na kuvituma tu ukitarajia nini? Kua itakua uongo nilichoandika?
No bro, nigga was overrated, now I never said there was no talent in him. I said and am saying it now he is overrated. Nitacounter kila screenshot yako.
Saa hii nipo kazini natoka alfajiri.
Umepanic bro, piga kazi urudi baadae, unywe maji kwanza ndio uanze kujibuSasa wewe ni nani unayekuja kunipinga mimi juu ya ndondi? Hata kwenye familia yako tu
Mkuu wewe ni Bondia wa kulipwa au Bondia wakulipia? Kapige mkono kwanza ndo uje tena uandike huu upuuzi tukishaona video yako at least utakuwa umeupgrade kimtizamo. Ukitoka kwenye pambano tujue kama tutakuunderate au tukuoverate kama ni kazi rahisi.Cus D'Amato alimuokota Tyson mtaani, aliona ubabe, aliona sharpness, aliona njaa, aliona vingi lakini cha muhimu zaidi ni aliona 'eye of the tiger'.
Akamchukua Tyson, akam-train, akapambana, kwa ubabe wa Tyson ulingoni akapachikwa jina la Kid Dynamite, kisha Iron halafu likaja Baddest man on the planet.
Ni kweli alistahili?
Ninasema hapana. Na hili ni jibu la wote ambao reference yao ya bondia mzuri ni Tyson.
Tyson alibebwa na journeymen, alibebwa na vikongwe, alibebwa na media, akabebwa na promoters ndiyo akafanikiwa kumilikia hizo nicknames tatu.
George Foreman baada ya kupigwa na Jimmy Young (Nalipenda hili pambano sichoki kuangalia) na kuokoka palepale ukumbini alistaafu na kuwa mchungaji. Baada ya kurudi tena ulingoni ndiyo zikawa enzi za Tyson zimepamba moto.
Sasa siku hiyo Tyson akiwa anahojiwa akaulizwa "Unafikiria kupambana na Foreman?" Akajifanya hajasikia swali, akaelezea swala jingine alipomaliza yule mwandishi akarudia tena "Unafikiria kupambana na Foreman?" Tyson akang'aka "KWANI NI LAZIMA NIPAMBANE NAE? NENDA KAPAMBANE NAYE WEWE BASI"
Huyo ndiye Tyson sasa. Muoga na anayeogopa kusimama ulingoni na bondia aliyekamilika.
Wanaomtetea wanakwambia alichukua ubingwa akiwa mtoto. Rekodi ambayo hakuna aliyeiweka, it's true. Alichukua ubingwa kutoka kwa Trevor Berbick mwaka 1986, Trevor Berbick alichukua ubingwa kutoka kwa Pinklon Thomas mwaka 1986 huo huo.
So Trevor Berbick ametoka kupambana na Pinklon Thomas, mkali wa left jab, pambano la raundi 12 na ushindi wake aliupata kwa uamuzi wa majaji, means alizunguka raundi zote 12 bila kuacha hata moja.
Na unataka jua kivipi pambano lilikua gumu? Hakuna aliyeanguka kwenye hili pambano mpaka Berbick anatangazwa bingwa.
So mtu wa miaka 32 ametoka kupigana pambano la heavyweight la raundi 12 unampa kijana wa miaka 22 ili apigane naye kutetea ubingwa. Unategemea nini? Ndiyo nikasema mapromoter pia wanambeba.
Tafuta siku hizi ni heavyweight gani anaingia ulingoni zaidi ya mara mbili tena kwa mapambano ya umuhimu. So Berbick risked it, iwe ni madeni au vitisho vya promoter hatujui, ila ni alipanda ulingoni kumpa ushindi Tyson.
Ok akampiga Michael Spinks (ndugu wa Leon) bondia aliyekua anatafuta pambano moja tu limstaafishe akiwa tajiri, akalipata baada ya pale na ngumi akaacha. This was not a completed boxer.
Akaenda kumpiga Holmes, again, babu mwingine alikutana na bahati mbaya ya kijana ulingoni.
So promoter na kocha wake wakawa wanavizia 'has been' na journeymen ili kuikuza rekodi ya Tyson, wakisaidiana na media.
And then 'has been' na journeymen wakaisha ikabidi apambane na mabondia wakali wa kizazi chake.
Alipigwa na kila bondia. Alipigwa na Evander akang'ata (kuliko kupigana ukang'ata sa si bora ukimbie - Chid Benz) alipigwa na Lenox Lewis,
Yeye na mapromota wake wakajichanganya wakamchagua Douglas Buster kama stepping stone kwa Tyson. Douglas akamchapa huyu bwana kwa KO raundi ya kumi. Ikawa aibu. Unajiita Iron mara Baddest how do you lose to underdog? You lose kwakua promoter hakutoa maelekezo kwa Douglas kua inabidi ashindwe so hata journeyman akimkazia Tyson, Iron linakua plastiki.
Anyway akaanza safari ya kutaka kurudisha mkanda toka kwa Douglas, bwana Douglas akaenda kuuacha mkanda kwa Evander, Tyson akapangiwa apigane na Evander ili arudishe mkanda wake. Bwana Tyson akaona isiwe kesi akalikimbia pambano.
Manina, akadai ati amepata jeraha la mbavu hivyo hawezi kuingia ulingoni na Evander. Plan yao ni atokee bondia mlaini amkalishe Evander kisha wao ndiyo wamkurupukie huyo bondia mlaini.
Akajichanganya akamvagaa Evander hivyo hivyo, kufika raundi ya 11 Tyson akabutuliwa kwa KO. Akajifanya anataka kurudiana naye, walivyorudiana akaona balaa limezidi akamng'ata Evander.
Akajichanganya akaenda kwa Lennox Lewis. Huyu anaye akamtoboa toboa Tyson hadi aibu.
Huyu sasa ndiyo Tyson. Ambaye watu wanamsifia huku hawajui kua jamaa alikua ni mwoga, mtegemea journeymen kama stepping stone na media.
Overrated nigga
Update:
Kuna watu wanadai sasa kwanini apigane na Foreman wakati Foreman alishajichokea. Lakini mbona hawajiulizi inakuwaje mtu huyu huyu akapigana na Holmes na Berbick ambao ni watu wa kizazi cha Foreman?
Wanadai eti anajulikana dunia nzima. Nimewajibu mbona uzi una majibu ya kwanini anajulikana? Si nimeandika Media zilitengeneza hype au?
Wanasema ni mkali yupo top 5 ya greatest heavyweight boxers. Ni kweli ila hiyo ni kwakua amepelekwa pale na rekodi ambazo kazivuna kwa journeymen na has been.
Yaani watu wanajenga hoja ambazo tayari uzi umejibu. Kwa mwingine anayetaka kujenga hoja tafadhali aangalie kama uzi umeshajibu swala analotaka kuleta.
Update 2:
Mpaka saa hii hakuna ambaye ameweza kupangua hoja za huu uzi. Wengi wametukana au kusema tu walienjoy kumuangalia Tyson.
Bado hakuna aliyeijibu challenge hii - atajwe bondia ambaye alikua wa moto na Tyson wa moto kisha walipokutana Tyson akashinda.
Kuna mtu katoa hoja kua kupigwa kupo ndiyo maana Ali alipigwa pia. Nikajibu ni kweli ila mtaje bondia ambaye alimpiga Ali halafu walivyorudiana akampiga tena Ali. Kisha atajwe bondia aliyempiga Tyson na walivyorudiana Tyson akampiga huyo bondia.
Hoya una degree nne nini? Kwahiyo kwakua hujawahi kua Rais ndiyo usiongelee maswala ya urais?Mkuu wewe ni Bondia wa kulipwa au Bondia wakulipia? Kapige mkono kwanza ndo uje tena uandike huu upuuzi tukishaona video yako at least utakuwa umeupgrade kimtizamo. Ukitoka kwenye pambano tujue kama tutakuunderate au tukuoverate kama ni kazi rahisi.
Huna lolote unalolijua nilijua pengine alifoji ushindi na mikanda aliyopata haikuwa yake, kumbe alipigana on fair grounds shida yako wewe tu ni mapambano aliyopigana marudiano ndo kigezo chako wewe cha ubondia well waambie waandaji waongeze kipengele mtu apewe mkanda mpaka marudiano.Hoya una degree nne nini? Kwahiyo kwakua hujawahi kua Rais ndiyo usiongelee maswala ya urais?
Hahaha acha kupanik soma vizuri.Huna lolote unalolijua nilijua pengine alifoji ushindi na mikanda aliyopata haikuwa yake, kumbe alipigana on fair grounds shida yako wewe tu ni mapambano aliyopigana marudiano ndo kigezo chako wewe cha ubondia well waambie waandaji waongeze kipengele mtu apewe mkanda mpaka marudiano.
Watu wenye Degree Nne ndio huleta uzi kama ulioleta wewe.Halafu ukiambiwa unakwepa kwepa ukweli wako juu ya chuki mbaya kabisa uliyo nayo rohoni.Imekuuma sana Tyson kuwa overrated.Hoya una degree nne nini? Kwahiyo kwakua hujawahi kua Rais ndiyo usiongelee maswala ya urais?
Hahaha jibu hoja umepanick wewe mikanda ya ushindi apewe mwingine we uje ku overate na ku underateHahaha acha kupanik soma vizuri.
Wewe ndo usome vizuri anzisha mapambano yako ya mabondia wanaorudia mpambano nakupigana tena ndo uapprove ubondia wao...baada ya kuwa....under rate.Hahaha acha kupanik soma vizuri.