‘U-Tanganyika’ na ‘U-Zanzibari’ ni itakadi inayochipua kwa kasi


Ha ha ha... secretarybird unapenda kutumia jagina. Hii hapa sasa. Intelligent businessman
 

Hoja yako Jagina naiungia KONO kabisa. upo sawa sawa. Waache lawama. Habari za huko Makunduuchi? Au upo Mchambawima? Haijambo jagina?
 
Kwasasa kuna huyo Bibi yenu matiti makubwa, anashindwa nini kuvunja huo muungano.

Kaua roho za watu na kumwaga damu, kinamshinda nini kuvunja kitu kisicho na damu???
Hata Mwinyi Kijana wa Mkuranga aliuwa 2020 huku Zanzibar, tena hata hiyo tume hakuunda.
 
Me nikajua ww mzima kumbe unaleta itikad za utanganyika na uzanzibar
Hapo Kuna itikadi ipi na Nyerere alimkamata Waziri Mkuu wa Zanzibar na Baraza lake la mawaziri akawafunga jela Za Tanganyika kabla Huo uvamizi wake hajauita muungano?
 
Mwambie Bibi matiti avunje Muungano, muwe huru.

Mnataka nini tena.

Nafasi ya bahati hiyo mmepata, mnakaza mabapa.
Atauvunja vipi na kawekwa na mwenye Tanganyika yake au hukumwona alivyomtangaza na Watanganyika wenzako wakafurahia na kukata viuno?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…