- Thread starter
- #21
😁😁 dah hii ni balaaNa usisahau, wame-cheat kwenda kupigwa show ya wastani wa dakika 2 hadi 5 tu. Kwahiyo shida siyo kutoridhishwa.
hapo ndio inakuwa ngumu kumuelewa mwanamke Anataka nini🤔Naunga mkono hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁 dah hii ni balaaNa usisahau, wame-cheat kwenda kupigwa show ya wastani wa dakika 2 hadi 5 tu. Kwahiyo shida siyo kutoridhishwa.
hapo ndio inakuwa ngumu kumuelewa mwanamke Anataka nini🤔Naunga mkono hoja
😁😁😁Sina full context ya hiyo taarifa. Lakini kwa udadisi tu kuna uwezekano hao wanawake wote ni Wafanyakazi au wasomi wanaotafuta kazi. Sababu mwanamke ni kiumbe kilichokuwa-programmed kuhudumiwa, na yeye ata automatically reciprocate hiyo treatment kwa mwili wake. Au wanaita kurudisha fadhila kwa kiswahili. It's in their nature. Hivyo ni vizuri mwanamke akiolewa akae nyumbani alee familia na mwanaume awe full support system.
Vinginevyo huko kazini ndio kutageuka nyumba na boss anayempa mshahara atamuona equivalent au kama mume. Na ndio maana wanawake wengi wenye kazi (hasa sekta binafsi) hawaheshimu ndoa zao, sababu ameolewa mara mbili. Kifuatacho tumia akili yako mwenyewe.
Alafu hao wanawake ni wakawaida kinyama, ni below, below average. Ina make sense kuwapata kirahisi sababu hawana soko, hivyo yoyote atayeonesha interest hata kama ni kiwete hawawezi kataa.
Umemaliza hutokufa kwa pressure kakaHamna mwanamke asiecheat...wee muhimu akupe na wewe uonje utamu
Teh, nawashangaaga sana wanaume wanaojibana kuhudumia sana mwanamke eti ili asipate vishawishi akaenda kumchiti kwa mwanaume mwingine.Kupitia stori ya baltazar nimejiridhisha wanawake wanacheat sana tena sana,sema wasiri sana ngumu kuwagundua
KabisaaSaikolojia inatueleza wanawake wapo loyal kwenye hisia zao pekee. Hata usijihangaishe nao, kama unaweza, usioe.
Zinapatikana wapi hizo video 400? alonazo tuwasiliane pembeniKutokana na hili sakata la Baltazar kuna mambo Mengi ya kujifunza hapa, nitaelezea kwa summary tu;
Most of the women ambao walicheat na Jamaa , wapo kwenye mahusiano na matajiri wa kubwa na pia powerful men.
Kwa waliodhan kwamba Hawa wanawake walicheat kwasababu ya pesa au umaarufu au chochote Hapana walienda pale kwasababu ya adventure tu.
Kuanzia binti wa prezda, wake 20 wa mawaziri na wengine wengi walitoka kwenye nyumba zenye utajiri na Kila kitu kilichojitosheleza.
Wanaume/wanawake wa naweza kuamua kucheat na mwanaume/mwanamke yeyote mwingine atakayeamua bila kujali elimu, nafasi yake katika Jamii, dini , cheo nafasi ya kifedha.
Hakuna akili ya ziada, principle au chochote kile kinachoweza kumzuia mwanamke/mwanaume kucheat labda kama binafsi hajataka au hajaamua tu.
Huwezi kumzuia asicheat, huwezi kumtisha asicheat, huwezi kuwahi mbele ya mipango yake ya kucheat na pia huwezi kupata mwanamke mwenye uwezekano mdogo kabisa wa kucheat hiyo ni probability.
Hii trendy pia imetufundisha kwamba wanawake wengi wanacheat na wanaume wao siyo rahisi kujua, kugundua au kuhisi.
Mwanamke wako anaweza akawa ofisin anayola na boss wake, mfanyakazi mwenzie, nurse anatoka na dokta, mfanyabiashara anatoka na mteja wake, mwalimu na mwalim mwenzie, n.k
Chakufanya kwa wakati huu ni kucheza/kukaa katika nafasi yako kikamilifua na kutumaini kwamba ana sense ya kujithamini (self worth ) kwasababu maamuzi ya kucheat yapo mikononi mwake.
Exactly this is why loyal women needs their flowers.
Class dismissed, no offense I beg to submit.
Wa kawaida sanaaaaKumbe jamaa alikuwa anagegeda mademu wa kawaida 🤣🤣🤣🤣
Aya jamani wale mlizokuwa mnasema usione pisi kali atagegedwa nikiwaambia ata Hawa sura mbaya bado atagegedwa tuu
Nimewapiga piga Tanga wavaa hijab wale ndio wazuri wakati wa kuingia Gest anajifunika mwili wote anawezapishana hata na mumewe mule GestUislamu peke ndo ilioelewa mwanamke ni wa aina gani na ukamuekea mipaka na jinsi ya kujistili kwa wanaume wasio waume zake
Wapo wasiocheat ila huyo ndiyo chaguo lakoKupitia stori ya baltazar nimejiridhisha wanawake wanacheat sana tena sana,sema wasiri sana ngumu kuwagundua
Yaan sanaWa kawaida sanaaaa
Mkuu umemaliza kila kitu,wanawake wanacheat kama sisi tu wanaume hakuna tofautiTeh, nawashangaaga sana wanaume wanaojibana kuhudumia sana mwanamke eti ili asipate vishawishi akaenda kumchiti kwa mwanaume mwingine.
Mlioyaona kwa Baltazar ndo tabia halisi ya mwanamke, akiamua atachiti tu hata umpe mbingu na nchi
Wewe ndiye hujielewi kabisaSina full context ya hiyo taarifa. Lakini kwa udadisi tu kuna uwezekano hao wanawake wote ni Wafanyakazi au wasomi wanaotafuta kazi. Sababu mwanamke ni kiumbe kilichokuwa-programmed kuhudumiwa, na yeye ata automatically reciprocate hiyo treatment kwa mwili wake. Au wanaita kurudisha fadhila kwa kiswahili. It's in their nature. Hivyo ni vizuri mwanamke akiolewa akae nyumbani alee familia na mwanaume awe full support system.
Vinginevyo huko kazini ndio kutageuka nyumba na boss anayempa mshahara atamuona equivalent au kama mume. Na ndio maana wanawake wengi wenye kazi (hasa sekta binafsi) hawaheshimu ndoa zao, sababu ameolewa mara mbili. Kifuatacho tumia akili yako mwenyewe.
Alafu hao wanawake ni wakawaida kinyama, ni below, below average. Ina make sense kuwapata kirahisi sababu hawana soko, hivyo yoyote atayeonesha interest hata kama ni kiwete hawawezi kataa.
Labda siwezi kukubishia kwenye hiliWapo wasiocheat ila huyo ndiyo chaguo lako
Kwa kule kwao ni pisi kali zileWa kawaida sanaaaa
Bas wana safar ndefu kama ndio hivyo.Kwa kule kwao ni pisi kali zile
Tatizo ni nyie kudhani wanawake hawana hisiaTeh, nawashangaaga sana wanaume wanaojibana kuhudumia sana mwanamke eti ili asipate vishawishi akaenda kumchiti kwa mwanaume mwingine.
Mlioyaona kwa Baltazar ndo tabia halisi ya mwanamke, akiamua atachiti tu hata umpe mbingu na nchi
Hata bado hajapatikana naendelea kumtafuta niombee nimpate muungwanaWapo wasiocheat ila huyo ndiyo chaguo lako
Embu tumuone wa kwako huyo high standardSina full context ya hiyo taarifa. Lakini kwa udadisi tu kuna uwezekano hao wanawake wote ni Wafanyakazi au wasomi wanaotafuta kazi. Sababu mwanamke ni kiumbe kilichokuwa-programmed kuhudumiwa, na yeye ata automatically reciprocate hiyo treatment kwa mwili wake. Au wanaita kurudisha fadhila kwa kiswahili. It's in their nature. Hivyo ni vizuri mwanamke akiolewa akae nyumbani alee familia na mwanaume awe full support system.
Vinginevyo huko kazini ndio kutageuka nyumba na boss anayempa mshahara atamuona equivalent au kama mume. Na ndio maana wanawake wengi wenye kazi (hasa sekta binafsi) hawaheshimu ndoa zao, sababu ameolewa mara mbili. Kifuatacho tumia akili yako mwenyewe.
Alafu hao wanawake ni wakawaida kinyama, ni below, below average. Ina make sense kuwapata kirahisi sababu hawana soko, hivyo yoyote atayeonesha interest hata kama ni kiwete hawawezi kataa.
Huoni hata wasagaji wengi wanajitanda na kujisitiri?Nimewapiga piga Tanga wavaa hijab wale ndio wazuri wakati wa kuingia Gest anajifunika mwili wote anawezapishana hata na mumewe mule Gest
Kiufupi wale ndio hatari Bora Mama ntilie achokaye na kazi mgahawani.
Wanasemaga ukioa Binti bikira hawezi chiti, sasa katika idadi hiyo ya wake za watu alopita nao ina maana wote hawakuolewa na bikira zao?Kutokana na hili sakata la Baltazar kuna mambo Mengi ya kujifunza hapa, nitaelezea kwa summary tu;