Wenzetu marekani mifumo yao yote ya uongozi inaongozwa na watu smart, ndio maana kila changamoto wanayokutana nayo inapatiwa solution kiuwepesi kbsa....Bongo na africa kwa ujumla nepotism imetuharibu sana.Nilipata fursa ya kuishi marekani vijijini, wengi wetu tunaokwenda Marekani wanakwenda kuishi mijini, lakini mimi nimeishi kule vijijini kabisa kama Chelsea na kijijini zaidi ambako watu wanajikamulia wenyewe juice za apple na kuweka kwenye galoni na kuuza kiholela tu.
Huo si ajabu faida yote alikuwa anakula na kununua vijora ..sasa yametokea ya kutokea hana hta mia ya kumsaidia.Wakuu sikuwahi fikiria kama ntakuja kuguswa moja kwa moja na suala la machinga,...iko hivi juzi juzi wakati narudi zangu ghetto nikakutana na mpangaji mwenzangu mdada wa makamo na katoto kake kama ka miezi minne hivi akiwa kajiinamia ,ikimbukwe kwamba sikuwahi kujua anafanya shughuli gani na hata wao hawakuwahi kujua ni kawaida kwangu kutokufatilia ya wengine labda ikibidi sana.,basi yule sister kumbe alikua ananisubiri aniage anahama kumuuliza kulikoni ! Kumbe yule dada alikua mama ntilie(lishe) wale wa pembezoni mwa bara bara hivyo alivunjiwa banda lake na ni single mama so akawa hana pa kwenda na alikua analia sana na kulaaani ,niwe mkweli mji umependeza lakini umegusa maisha ya watu kulivyo tunavyofikiri kuna tatizo mbeleni naliona.....,
Usihukumu kirahisi sana maisha ya mtu mkuu dunia ni fumbo hiiHuo si ajabu faida yote alikuwa anakula na kununua vijora ..sasa yametokea ya kutokea hana hta mia ya kumsaidia
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Hakuna atakayekufa kwa sababu ajira ovu imefika mwisho, machinga wote wanajua kuwa ipo siku warafurumushwa kwa kuwa wanapanga vitu sehemu zenye marufuku ila walijazwa kiburi wakajisahau. Uwezi kupanga vitu kwenye barabara reserve alafu tanroad inapiga x kila siku wao wanafuta wataendelea.Huo si ajabu faida yote alikuwa anakula na kununua vijora ..sasa yametokea ya kutokea hana hta mia ya kumsaidia
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kuna na vyeti feki waliondoshwa bila mafaoKwenye kuleta maendeleo kuna wanaoumia kwa faida ya baadae, hawa waliifuata serikali ili iwaumize baadae, kuna ambao serikali inawafuata mfano barabara sita kimara waliumia wangapi kama hawazidi hawa wamachinga? Upanuzi wa ubungo mbona waliondoka bila malalamiko? Hapakuwa na kategoey hii?
Hiyo ni tabia ya waafrika wengi wakiwemo waajiliwHuo si ajabu faida yote alikuwa anakula na kununua vijora ..sasa yametokea ya kutokea hana hta mia ya kumsaidia
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Machinga ni mradi madhubuti wa baadhi ya madiwani, maDED na viongozi wa Chama. Waulize machinga watakwambia nani amewaweka pale kwa vigezo na Mashariti gani.Hakuna atakayekufa kwa sababu ajira ovu imefika mwisho, machinga wote wanajua kuwa ipo siku warafurumushwa kwa kuwa wanapanga vitu sehemu zenye marufuku ila walijazwa kiburi wakajisahau. Uwezi kupanga vitu kwenye barabara reserve alafu tanroad inapiga x kila siku wao wanafuta wataendelea. Alafu uje tuseme hawajui sheria za nchi. Machinga wa kweli anatembea na duka.sijui hawa machinga waku amia eneo wanapenda vitambulisho ili iwe. Wakati jina machinga linatokana na watu binafsi wanaotembeza city. Tunajiumiza wenyewe kwa kukumbatia ujinga
Watu wasiogope kuchukua hatua. Hakuna uwamuzi mgumu kama ule uwamuzi wa kuondoa usafiri wa Hiace (vipanya) barabarani, au kuwaondoa watumishi hewa na wasiokuwa na vyeti, au kuwavunjia wananchi wa ubungo/kimara kupisha upanuzi wa barabara au kuwaondoa watu woote wa Kipawa kupisha upanuzi wa airport. Mbona waliondoka na kura zilipogwa za ndiyo? Kaka watu wasiogope eti uchaguzi 2025, sio kweli kabisa maana tunaopenda miji iwe safi tuko wengi zaidi kuliko machinga.Ulivyo mjinga unawaza kura za 2025 badala ya suluhisho la kudumu
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Hakuna madhala yoyote labda kisiasa machinga hawachangii lolote ktk uchumi wa nchi.
Wanasiasa wanawaofia wamachinga km mtaji wa kisiasa lkn ukweli ni kwamba kuendelea kuwabembeleza ni kupoteza nguvu kazi Watanzania umachinga wetu ni kilimo huko ndio kwenye ajira za uwahika km serikali inaamua kuweka mazingira mazuri ya kilimo na masoko hakuna kazi inayoitwa umachinga duniani
Acha UPOTOSHAJI wamachinga hawaondolewi ila wana pangwa ktk kupangwa huko kuna faidaUamuzi wa kuondoa wafanyabiashara wadogowadogo almaarufu Machinga 18 Oktoba, kwa maoni yangu una gharama kubwa kuliko faida/manufaa na kwamba unastahili kupitiwa/kudurusiwa upya.
Gharama ziko kiuchumi, kijamii, kiusalama na kisiasa. Sipingani na uamuzi huo, ni mzuri tu, isipokuwa nadhani maandalizi zaidi yanahitajika ili zoezi liwe na tija kwa pande zote husika.
Kaka kama mji mzima wa Kipawa umehamishwa kupisha upanuzi wa airport wamachinga ni nani wasihamishwe kwenye maeneo waliyoyavamia? Hata serikali kuwapa maeneo ni hisani TU na mapenzi yake kwa wananchi, lakini hawa jamaa walitakiwa kupewa adhabu kwa kuchafua masingira na kuhatarisha maisha Yao na ya wengine kwa kuziba miundombinu ya watembea kwa miguu na maji taka. Kitu Cha ajabu mhalifu ndiye anataka kupewa haki asiyoistahili. Yaani serikalini itumie hela zetu kuwaondoa, kuondoa uchafu wao, kufagia na kutengeneza walipoharibu. Hii ni serikali ya wapi ya aina hii?Acha UPOTOSHAJI wamachinga hawaondolewi ila wana pangwa ktk kupangwa huko kuna faida
Kwanza utamfanya yule mfanyabiashara aweze kurasimishiwa biashara yake na ukisha rasimisha kuna faida zake likiwemo mikopo n.k
Chukulia ilivyokuwa awali Vitambulisho vya machinga vilikuwa havina picha wala signature ina maana hapo huja mrasimisha 100% kheri wapangwe then watanufaika zaidi
"Solution to one problem contains the seeds for the next problem"Kaka kama mji mzima wa Kipawa umehamishwa kupisha upanuzi wa airport wamachinga ni nani wasihamishwe kwenye maeneo waliyoyavamia? Hata serikali kuwapa maeneo ni hisani TU na mapenzi yake kwa wananchi, lakini hawa jamaa walitakiwa kupewa adhabu kwa kuchafua masingira na kuhatarisha maisha Yao na ya wengine kwa kuziba miundombinu ya watembea kwa miguu na maji taka. Kitu Cha ajabu mhalifu ndiye anataka kupewa haki asiyoistahili. Yaani serikalini itumie hela zetu kuwaondoa, kuondoa uchafu wao, kufagia na kutengeneza walipoharibu. Hii ni serikali ya wapi ya aina hii?
Huu ni mpango wa wanasiasa tu, ni mmachinga gani anakwenda kufungasha bidhaa China? Ni mmachinga gani ana mabegi 1000 Kando ya barabara TU. Hata lile jengo la machinga lazima liwe na ukomo wa kukaa pale, isiwe milele, kama mtaji wako ukiwa mkubwa uondoke uposhe wengine wadogo pia wakue.
Mkuu, siyo UPOTOSHAJI, Wamachinga wanaondolewa, unaposema kwamba wanapangwa ni UPOTOSHAJI, kwasababu hawapangwi mijinikati bali wanaondolewa mijinikati na kwenye hifadhi za barabara, nime-paraphrase andiko lako kwenye sentensi ya kwanza.Acha UPOTOSHAJI wamachinga hawaondolewi ila wana pangwa ktk kupangwa huko kuna faida
Kwanza utamfanya yule mfanyabiashara aweze kurasimishiwa biashara yake na ukisha rasimisha kuna faida zake likiwemo mikopo n.k
Chukulia ilivyokuwa awali Vitambulisho vya machinga vilikuwa havina picha wala signature ina maana hapo huja mrasimisha 100% kheri wapangwe then watanufaika zaidi
Kaka hakuna ubishi hata chembe kuwa tatizo hili ni zao la wanasiasa uchwara ambao wanatafuta nafuu ya muda mfupi TU. Wananchi hawa walianza kidogokidogo kwa kuvamia maeneo ya wazi ambayo yametengwa kwa kazi nyingine. Kila walipopavamia walitundika bendera ya Chama na wakati mwingine kufungua matawi ya wakereketwa. Baada ya maeneo ya wazi kwisha wakaanza kuvamia njia za waenda kwa miguu, service roads, na vituo vya mabasi."Solution to one problem contains the seeds for the next problem"
Mkuu, muda haupigwi masumbwi, ukiwadia utatuonyesha tatizo lingine lililozalishwa na ufumbuzi wa tatizo la msingi lililopita.
Tatizo la Tanzania sio kwa wamachinga TU, hata wakulima, wafugaji, wavuvi, wachoma mkaa, nk wote wameachiwa walime, wafuge, wavue na kuchoma mkaa kiholela. Kuja kutahamaki wakulima na wafugaji wanauana kugombea maeneo ya malisho na sehemu ya kulima, wakata mkaa wanakata miti hata kwenye vyanzo vya maji, wavuvi wanavua hata Mayai na makinda ya samaki, wachimbaji madini wanachimba kiholela.Mkuu, siyo UPOTOSHAJI, Wamachinga wanaondolewa, unaposema kwamba wanapangwa ni UPOTOSHAJI, kwasababu hawapangwi mijinikati bali wanaondolewa mijinikati na kwenye hifadhi za barabara, nime-paraphrase andiko lako kwenye sentensi ya kwanza.
Sorry, nadhani umekuja late kwenye dialogue ya mada hii ambayo imejadiliwa na WanaJF 1092 na kuzalisha kurasa 7 hadi sasa, maoni mengi,
Na je hayo maeneo wanayopewa/hamishiwa yana ukomo wa mtu kufanyia biashara hapo, au mtu anakwenda kuwa mmachinga milele kwenye eneo hilo?Kuna na vyeti feki waliondoshwa bila mafao
Kuna waliotumbuliwa watu wakasherehekea
Kuna waliohamishiwa Dodoma bila kupenda
Wote hawa wapo
Ila sheria ilikua inafuatwa....
Machinga..........
Mkuu,Kaka hakuna ubishi hata chembe kuwa tatizo hili ni zao la wanasiasa uchwara ambao wanatafuta nafuu ya muda mfupi TU. Wananchi hawa walianza kidogokidogo kwa kuvamia maeneo ya wazi ambayo yametengwa kwa kazi nyingine. Kila walipopavamia walitundika bendera ya Chama na wakati mwingine kufungua matawi ya wakereketwa. Baada ya maeneo ya wazi kwisha wakaanza kuvamia njia za waenda kwa miguu, service roads, na vituo vya mabasi. Na huko kulipojaa wakahamia kandokqndo mwa barabara za magari. Kunakoelekea machinga wanakwenda kufunga barabara ili magari yasipite kabisaaa, na gari likipita wanalitoboa typre au kumpiga dereva au kuvunja vioo vya gari. Machinga Sasa wamevamia ofisi za kazi kuwauzia watu nyanya, vitunguu, viungo vya pilau, chupi nk. Hospitali na vyuo vimezingirwa na machinga.
Hali hii inakwenda kuwa bomu kwa serikali kama haitarekebishwa leoleo.
Umeona mkuu,Tatizo la Tanzania sio kwa wamachinga TU, hata wakulima, wafugaji, wavuvi, wachoma mkaa, nk wote wameachiwa walime, wafuge, wavue na kuchoma mkaa kiholela. Kuja kutahamaki wakulima na wafugaji wanauana kugombea maeneo ya malisho na sehemu ya kulima, wakata mkaa wanakata miti hata kwenye vyanzo vya maji, wavuvi wanavua hata Mayai na makinda ya samaki, wachimbaji madini wanachimba kiholela.
Serikali
Na ndio maana wanaondolewaNa je hayo maeneo wanayopewa/hamishiwa yana ukomo wa mtu kufanyia biashara hapo, au mtu anakwenda kuwa mmachinga milele kwenye eneo hilo?
Kuna mtu ni "mmachinga" pale manzese anauza mitumba Kando ya barabara hadi Leo ingawa anamiliki madaladala hapa mjini kwa biashara hii, lakini bado anajiita mmachinga na hataki kuondoka eneo hilo.
.Je, umachinga hauna ukomo? Lazima serikali Ije na sera, kanuni na taratibu za biashara hii. Jengo la machinga mtu hapaswi kukaa kwa zaidi ya muda fulani ili kupisha wamachinga wengine wakuze mitaji Yao, vinginevyo hakuna maana yoyote kwenye jina hili la machinga. Lazima serikali na tafsiri ya nani ni mmachinga.