kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Viongozi w CCM Wana tatizo moja ambalo ni baya sana ambalo ni "sitaki CCM inifie Mimi mikononi mwangu" . Kauli hii itamfanya afanye chochote ambacho ana uwezo nacho hata kibaya kuhakikisha CCM haifi mikononi mwake. Hivyo kuwaacha machinga waharibu nchi ni miongoni mwa mkakati huo wa CCM isimfie mikononi mwake. Kila kitu Wana palliate (ahirisha) ili likamfumukie anaekuja baada yake. Hawataki jumba bovu limdondokee kiongozi wa awamu husika.Jambo lililomshinda Rais Magufuli HAKUNA. Narudia HAKUNA kiongozi yeyote wa wakati huu anayeweza kuliweza.