Uanasheria na Uanahabari wa Pasco Mayalla hauna faida yoyote kwa jamii; ni wa kuganga njaa tu

Ndugu yetu huyu amekuja na tamko la kumkosoa Gwajima juu ya masikitiko yake na ushauri alioutoa kwa serikali kuhusu utekaji unaoendelea.

Pasco ni mwanasheria, mtu ambaye anaheshimu katiba na sheria. Kwa uanasheria wake tulitegemea amuunge mkono Gwajima kwa sababu licha tu ya kutumia haki ya kikatiba na kisheria kutoa maoni yake na kushauri serikali bali pia Gwajima ameonyesha masikitiko yake juu ya Haki ya Kuishi ambayo ni haki ya kikatiba na haki ya binadamu. Yaani mwanasheria anampinga mtu anayetetea haki ya kuishi?! Inasikitisha sana.

Pasco pia ni mwanahabari, mtu ambaye ulitegemea apaze sauti zetu na sauti ya Gwajima na kuhoji, lakini ndio kwaaanza.

Unajiuliza uanasheria wake una msaada gani kwa jamii?
Mkuu asante sana kwa bandiko. Na Tanzania ''wanasheria'' wa namna hii wako wengi kweli kweli. Siyo kwenye sheria tu bali kila field. Kwa mfano ukienda kwenye habari ndiyo kabisaaa! Tatizo liko kwenye elimu yetu. Elimu yetu inajenga utamaduni wa watu kutii amri bila kuhoji, kufuata mkumbo, kuwa waoga na pia kupenda short-cut. Ukijumlisha na lack of english language fluency, ndiyo kabisaa, tunakuwa kama tunaishi kwenye kisiwa ndani ya dunia.
 
Ndugu yetu huyu amekuja na tamko la kumkosoa Gwajima juu ya masikitiko yake na ushauri alioutoa kwa serikali kuhusu utekaji unaoendelea.

Pasco ni mwanasheria, mtu ambaye anaheshimu katiba na sheria. Kwa uanasheria wake tulitegemea amuunge mkono Gwajima kwa sababu licha tu ya kutumia haki ya kikatiba na kisheria kutoa maoni yake na kushauri serikali bali pia Gwajima ameonyesha masikitiko yake juu ya Haki ya Kuishi ambayo ni haki ya kikatiba na haki ya binadamu. Yaani mwanasheria anampinga mtu anayetetea haki ya kuishi?! Inasikitisha sana.

Pasco pia ni mwanahabari, mtu ambaye ulitegemea apaze sauti zetu na sauti ya Gwajima na kuhoji, lakini ndio kwaaanza.

Unajiuliza uanasheria wake una msaada gani kwa jamii?
wewe ulitaka aipinge serikali ndio ujue ana msaada gani? kwani wewe hujui maana demokrasia? mwache na uhuru wake wa kidemokrasia,kama ambavyo na wewe una uhuru huo
 
Huyo kwa alichopitia kipindi cha Magufuli baada ya kuuliza swali ,muache aendelee tu kuwa chawa ,kusifia serikali maana walimnyoosha ,hata ungekuwa wewe lazima ungesalimu amri.
 
Ndugu yetu huyu amekuja na tamko la kumkosoa Gwajima juu ya masikitiko yake na ushauri alioutoa kwa serikali kuhusu utekaji unaoendelea.

Pasco ni mwanasheria, mtu ambaye anaheshimu katiba na sheria. Kwa uanasheria wake tulitegemea amuunge mkono Gwajima kwa sababu licha tu ya kutumia haki ya kikatiba na kisheria kutoa maoni yake na kushauri serikali bali pia Gwajima ameonyesha masikitiko yake juu ya Haki ya Kuishi ambayo ni haki ya kikatiba na haki ya binadamu. Yaani mwanasheria anampinga mtu anayetetea haki ya kuishi?! Inasikitisha sana.

Pasco pia ni mwanahabari, mtu ambaye ulitegemea apaze sauti zetu na sauti ya Gwajima na kuhoji, lakini ndio kwaaanza.

Unajiuliza uanasheria wake una msaada gani kwa jamii?
Uchawa umeharibu sana nchi
 
Inaonekana amesha lamba asali. Hana tofauti na chawa wengine.
 
Tatizo ni njaa ya uzeeni
 
wewe ulitaka aipinge serikali ndio ujue ana msaada gani? kwani wewe hujui maana demokrasia? mwache na uhuru wake wa kidemokrasia,kama ambavyo na wewe una uhuru huo
Kama demokrasia inakufanya umpinge mtu anayehoji kupotea kwa haki ya kuishi huo ni upuuzi, sio demokrasia. Hiyo demokrasia ya hivyo ifutwe Evelyn Salt
 
Paskal anatamani awe Lakha(mwanasheria) lakini nilikwisha mwambia hawezi kuwa Lakha. Paskal ambaye baba yake alipitia mikononi mwa dola amejijengeatabia kuwa wengine nao wapitie kwenye mikono ya dola ili nao watoto wao walelewe na watu baki kama alivyolelewa yeye, kwa kifupi huwa hajutii watu kukatishwa haki ya kuishi! Huyo ndiye Paskal Mayala mtoto wa polisi kota.

Hon. Lakha hakuwa mnafiki na chawa alikua professional aliyesimamia taaluma yake kwa uchungu na wivu mkubwa na hakusita kusimama kutetea walioitwa wahaini miaka ile ya nineteen kweusi! Huyu hawezi hata kusimama mahakamani kutwa kujisifia tu watawala wamuone na wamegoma hadi sasa
 
Binafsi sina kumbukumbu ya Paskal kushiriki mijadala inayohusu wanaotekwa kuteswa na kuuawa ila inapotokea mijadala hiyo yeye huja na mabandiko yake ya kuderail treni, huyu ndiye Paskal tunayemzungumzia.
 
Ndugu yetu huyu amekuja na tamko la kumkosoa Gwajima juu ya masikitiko yake na ushauri alioutoa kwa serikali kuhusu utekaji unaoendelea.

Pasco ni mwanasheria, mtu ambaye anapaswa kuheshimu katiba na sheria. Kwa uanasheria wake tulitegemea amuunge mkono Gwajima kwa sababu licha tu ya kutumia haki ya kikatiba na kisheria kutoa maoni yake na kushauri serikali bali pia Gwajima ameonyesha masikitiko yake juu ya Haki ya Kuishi ambayo ni haki ya kikatiba na haki ya binadamu. Yaani mwanasheria anampinga mtu anayetetea haki ya kuishi?! Inasikitisha sana.

Pasco pia ni mwanahabari, mtu ambaye ulitegemea apaze sauti zetu na sauti ya Gwajima na kuhoji, lakini ndio kwaaanza.

Unajiuliza uanasheria wake una msaada gani kwa jamii?
Pasco alikuwa anang'aa wakati anaendesha kile kipindi cha kitimoto. Na alikuwa akionekana mjanja kwa wakati ule sababu kubwa ni uchache wa vyombo vya habari kwa wakati ule.
Kwa utitiri wa vyombo vya sasa vya habari mpaka vile vya online huyu jamaa anajulikana zaidi huku jf kuliko sehemu yoyote linapokuja kwenye taaluma ya uandishi wa habari.
Kwenye sheria huko labda ana andaa mikataba ya kuuziana Mashamba, viwanja, talaka, mirathi nk.
 
Ndugu yetu huyu amekuja na tamko la kumkosoa Gwajima juu ya masikitiko yake na ushauri alioutoa kwa serikali kuhusu utekaji unaoendelea.

Pasco ni mwanasheria, mtu ambaye anapaswa kuheshimu katiba na sheria. Kwa uanasheria wake tulitegemea amuunge mkono Gwajima kwa sababu licha tu ya kutumia haki ya kikatiba na kisheria kutoa maoni yake na kushauri serikali bali pia Gwajima ameonyesha masikitiko yake juu ya Haki ya Kuishi ambayo ni haki ya kikatiba na haki ya binadamu. Yaani mwanasheria anampinga mtu anayetetea haki ya kuishi?! Inasikitisha sana.

Pasco pia ni mwanahabari, mtu ambaye ulitegemea apaze sauti zetu na sauti ya Gwajima na kuhoji, lakini ndio kwaaanza.

Unajiuliza uanasheria wake una msaada gani kwa jamii?
Uchawa ni tatizo
 
Back
Top Bottom