Uanasheria na Uanahabari wa Pasco Mayalla hauna faida yoyote kwa jamii; ni wa kuganga njaa tu

Uanasheria na Uanahabari wa Pasco Mayalla hauna faida yoyote kwa jamii; ni wa kuganga njaa tu

Pascal mayala na yeye ni bush Loyer ni mwanasheria feki, mpenda haki za binadamu, mpenda uhai wa wenzake hawezi kuwa kimyume na Gwajima, ukiona mtu anamuunga mkono mama juu ya mipasho ujue huyo ni Shetani na ndiyo huwateka watu na kuwaua, pascal mayala sasa ni mrekaji na muuaji
 
Ndugu yetu huyu amekuja na tamko la kumkosoa Gwajima juu ya masikitiko yake na ushauri alioutoa kwa serikali kuhusu utekaji unaoendelea.

Pasco ni mwanasheria, mtu ambaye anapaswa kuheshimu katiba na sheria. Kwa uanasheria wake tulitegemea amuunge mkono Gwajima kwa sababu licha tu ya kutumia haki ya kikatiba na kisheria kutoa maoni yake na kushauri serikali bali pia Gwajima ameonyesha masikitiko yake juu ya Haki ya Kuishi ambayo ni haki ya kikatiba na haki ya binadamu. Yaani mwanasheria anampinga mtu anayetetea haki ya kuishi?! Inasikitisha sana.

Pasco pia ni mwanahabari, mtu ambaye ulitegemea apaze sauti zetu na sauti ya Gwajima na kuhoji, lakini ndio kwaaanza.

Unajiuliza uanasheria wake una msaada gani kwa jamii?
Hata wewe unaganga njaa
 
Anamshauri kulingana na aliyoyapitia Kwa kumuuliza jiwe swali tu, pamoja na kwamba Gwajima yupo kwenye right track ila soon wataanza na kanisa lake
 
Pasco alikuwa anang'aa wakati anaendesha kile kipindi cha kitimoto. Na alikuwa akionekana mjanja kwa wakati ule sababu kubwa ni uchache wa vyombo vya habari kwa wakati ule.
Kwa utitiri wa vyombo vya sasa vya habari mpaka vile vya online huyu jamaa anajulikana zaidi huku jf kuliko sehemu yoyote linapokuja kwenye taaluma ya uandishi wa habari.
Kwenye sheria huko labda ana andaa mikataba ya kuuziana Mashamba, viwanja, talaka, mirathi nk.
Pascal mayala, Abas Tarimba, Msukuma na wenzao ndiyo huratibu utekaji wa watanzania wasio na hatia
 
Anamshauri kulingana na aliyoyapitia Kwa kumuuliza jiwe swali tu, pamoja na kwamba Gwajima yupo kwenye right track ila soon wataanza na kanisa lake
Chochote watachomfanyia Gwajima kwa Sasa watapata Laana kuwa toka kwenye damu za waliotekwa na kuuawa pia wapenda haki Duniani ambao wanaandamana mioyoni juu ya udhalimu wa Serikali ya ccm iliyojaa vitendo haramu vya kishetani
 
Paskali ni moja ya watu wanao paswa kupuuzwa kwa kila namna, ukimsikia anavyo ongea au maandiko yake huoni kabisa usomi wake wa sheria au uana habari wake, shida yake anajaribu kwenda na upepo wa uchawa wakati umri umesha muacha na hana ushawishi wala umaaraufu anaodhani kua nao hasa kwa kizazi kipya
 
Ndugu yetu huyu amekuja na tamko la kumkosoa Gwajima juu ya masikitiko yake na ushauri alioutoa kwa serikali kuhusu utekaji unaoendelea.

Pasco ni mwanasheria, mtu ambaye anapaswa kuheshimu katiba na sheria. Kwa uanasheria wake tulitegemea amuunge mkono Gwajima kwa sababu licha tu ya kutumia haki ya kikatiba na kisheria kutoa maoni yake na kushauri serikali bali pia Gwajima ameonyesha masikitiko yake juu ya Haki ya Kuishi ambayo ni haki ya kikatiba na haki ya binadamu. Yaani mwanasheria anampinga mtu anayetetea haki ya kuishi?! Inasikitisha sana.

Pasco pia ni mwanahabari, mtu ambaye ulitegemea apaze sauti zetu na sauti ya Gwajima na kuhoji, lakini ndio kwaaanza.

Unajiuliza uanasheria wake una msaada gani kwa jamii?
Mkuu pole kwakuchelewa kuujua unafiki wa Sukusus.
 
Chochote watachomfanyia Gwajima kwa Sasa watapata Laana kuwa toka kwenye damu za waliotekwa na kuuawa pia wapenda haki Duniani ambao wanaandamana mioyoni juu ya udhalimu wa Serikali ya ccm iliyojaa vitendo haramu vya kishetani
Wale Huwa hawajali chochote linapokuja swala la kutetea na kulinda maslahi yao
 
Kwa sasa majini wabaya pepo wabaya ibirisi mashetani wote wapo ccm kwa Amos makala akiongoza kwa kufuja pesa za walipa kodi kuwanunulia magalasa G55 kuwasokomeza huko ubwabwa chauma kisha pesa nyingi kugawana na mbowe binafsi, huku chawaccm wakipewa bilion 15 kazi maalum kuwahujumu kuwadhoofisha chadema, pesa inayotumika kuihujumu chadema ni kubwa na kama ingekuwa imeelekezwa kwenye maendeleo ccm wasingekuwa wanahaha kuwaua kuwateka kuwabambikia kesi za uongo chadema, maendeleo yangewauza yenyewe
 
Back
Top Bottom