Uanasheria na Uanahabari wa Pasco Mayalla hauna faida yoyote kwa jamii; ni wa kuganga njaa tu

Watekaji wauaji mashetani wote wapo kimyume na Gwajima
 
Hajamkosoa,amempa mbadala coz anajua mamalaka ya mwenyekiti na Sasa Hana huruma kabisa!!
 
Ndugu yetu huyu amekuja na tamko la kumkosoa Gwajima juu ya masikitiko yake na ushauri alioutoa kwa serikali kuhusu utekaji unaoendelea.

Pasco ni mwanasheria, mtu ambaye anapaswa kuheshimu katiba na sheria. Kwa uanasheria wake tulitegemea amuunge mkono Gwajima kwa sababu licha tu ya kutumia haki ya kikatiba na kisheria kutoa maoni yake na kushauri serikali bali pia Gwajima ameonyesha masikitiko yake juu ya Haki ya Kuishi ambayo ni haki ya kikatiba na haki ya binadamu. Yaani mwanasheria anampinga mtu anayetetea haki ya kuishi?! Inasikitisha sana.

Pasco pia ni mwanahabari, mtu ambaye ulitegemea apaze sauti zetu na sauti ya Gwajima na kuhoji, lakini ndio kwaaanza.

Unajiuliza uanasheria wake una msaada gani kwa jamii?
Halafu that man is not lucky at all.
 
wasomi wengi tulio nao nchini hawan faida kwa taifa zaid ya matumbo yao.. anaebisha akawasikilize hoja za maprofesa hasa wale wa kijan ,, utaduwaa
 
Ndugu yetu huyu amekuja na tamko la kumkosoa Gwajima juu ya masikitiko yake na ushauri alioutoa kwa serikali kuhusu utekaji unaoendelea.

Pasco ni mwanasheria, mtu ambaye anapaswa kuheshimu katiba na sheria. Kwa uanasheria wake tulitegemea amuunge mkono Gwajima kwa sababu licha tu ya kutumia haki ya kikatiba na kisheria kutoa maoni yake na kushauri serikali bali pia Gwajima ameonyesha masikitiko yake juu ya Haki ya Kuishi ambayo ni haki ya kikatiba na haki ya binadamu. Yaani mwanasheria anampinga mtu anayetetea haki ya kuishi?! Inasikitisha sana.

Pasco pia ni mwanahabari, mtu ambaye ulitegemea apaze sauti zetu na sauti ya Gwajima na kuhoji, lakini ndio kwaaanza.

Unajiuliza uanasheria wake una msaada gani kwa jamii?
Mayalla kwa kisukuma maana yake ni njaa. Ogopa sana njaa.
 
Mtu kama huyu sasa apewe hata ukuu wa wilaya, ni changamoto sana..
 
Ndugu yetu huyu amekuja na tamko la kumkosoa Gwajima juu ya masikitiko yake na ushauri alioutoa kwa serikali kuhusu utekaji unaoendelea.

Pasco ni mwanasheria, mtu ambaye anapaswa kuheshimu katiba na sheria. Kwa uanasheria wake tulitegemea amuunge mkono Gwajima kwa sababu licha tu ya kutumia haki ya kikatiba na kisheria kutoa maoni yake na kushauri serikali bali pia Gwajima ameonyesha masikitiko yake juu ya Haki ya Kuishi ambayo ni haki ya kikatiba na haki ya binadamu. Yaani mwanasheria anampinga mtu anayetetea haki ya kuishi?! Inasikitisha sana.

Pasco pia ni mwanahabari, mtu ambaye ulitegemea apaze sauti zetu na sauti ya Gwajima na kuhoji, lakini ndio kwaaanza.

Unajiuliza uanasheria wake una msaada gani kwa jamii?
Gentleman,
kwani kutokumuunga mkono gwajima si ni heshima kwa katiba kwa mwananchi kutumia uhuru na haki ya kutoa maoni yake juu ya jambo fulani?

halafu mbona unaashiria chuki binafsi za wazi kabisaa dhidi ya maoni ya huyo muungwana ambayo ni tofauti na yako, au umetumwa gentleman?🐒
 
Wewe ni mtekaji na muuaji namba moja
 
Akimuunga mkono hwajima Unaweza kumlishia familia yake lakini?
 
Akihitaji kutekwa atatekwa tu
Wewe utakufa kabla hajatekwa kwa ushetani wenu unaelekea mwisho baada ya mungu kuuweka bayana kwa uwazi mkubwa , mda si mrefu mzimu wa magufuli na Alibadiri za wapenda haki zitawanyoosha mpotee Dr mpango atangazwe Rais wa mpito
 
Enzi za ujana wake alikuwa na tija ila nadhani baada ya kupata ajali ya pikipiki na kung'oka meno ikaondoka na sehemu ya tija yake.

Maana baada ya hapo sidhani hata yeye mwenyewe anajua anataka ama kusimamia nini.
Aling'oka meno tuu au pamoja na mkono mmoja kutokufanya kazi?
Mana namuona mkono mmoja haupo Sawa.
 
Huyo "kanjanja" ni wa kumzungumzia kweli? Ni kumpa "fame" tu kupata "airtime"! Nilichoka wiki ilopita alipokuwa akihojiwa startv ati akizungumzia hillsbrough disaster kwa kuiita sheffield wednesday uwanja ulioanzishwa siku ya jumatano ambapo timu za manchester,arsenal,chelsea zilikuwa zikicheza!!!
 
Back
Top Bottom