Uandikishaji majengo nyumba kwa nyumba kuanza karibuni

Uandikishaji majengo nyumba kwa nyumba kuanza karibuni

Sheria inasemaje kuhusu kila nyumba kulipa kodi, iwe kwenye surveyed or unsurveyed areas? Is this not against the law?
hivi ile kodi ya visima iliishia wapi? kwamba kila mwenye kisima kwake alipie kodi ya maji.
 
Nani ataverify kiwango cha kodi? maana mimi naweza kusema nalipa elfu 50 kwa mwezi.
Nyumba nyingi za kawaida zinalipiwa sh.10,000/= kwa mwaka. Za udongo zinalipiwa sh.5000/= bilashaka maghorofa yanalipiwa zaidi. Kwa mujibu wa Jafo, ambaye aliagiza nyumba zote nchini kusajiliwa mpaka kufikia tarehe 28 Februari, kila nyumba ya tofali itatakiwa kulipiwa kodi.
 
Nyumba nyingi za kawaida zinalipiwa sh.10,000/= kwa mwaka. Za udongo zinalipiwa sh.5000/= bilashaka maghorofa zinalipiwa zaidi. Kwa mujibu wa Jafo, ambaye aliagiza nyumba zote nchini kusajiliwa mpaka kufikia tarehe 28 Februari, kila nyumba ya tofali itatakiwa kulipiwa kodi.
Ohoo unazungumzia kodi ya ardhi na jengo kumbe mie nilijua House Rent ambayo ndio inakatwa kodi.
 
wamewatukana wazungu waliokuwa wana2apa pesa za bure wamewakatia mirija wanatugeukia sisi.
 
... juzi niliwasiliana na jamaa zangu vijijini huko; kila nyumba na kila banda pote pote lilipo ndani ya mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (TANZANIA BARA) linaingizwa kwenye rejesta kuu ili lilipe kodi. Kodi ni wajibu wa kila mtanzania aliyefikisha 18. Kila mtu atafikiwa.
KODI ni kipato..kama huna kipato hulipii kodi (kijijini)
 
wamewatukana wazungu waliokuwa wana2apa pesa za bure wamewakatia mirija wanatugeukia sisi.
... mchuma janga hula na wa kwao; wahenga hawajawahi kufanya mistake katika fasihi elimishi.
 
KODI ni kipato..kama huna kipato hulipii kodi (kijijini)
... ziko kodi za aina kadhaa; zinazotokana na vipato na zisizotokana na vipato. Kipande cha ardhi hata kama hakikuingizii kipato unapaswa kukilipia kodi; vivyo hivyo kwa nyumba hata kama ni ya makazi tu. Hivi unajua kuliwahi kuwa na kodi hadi za redio na kichwa? Kichwa kinakuingizia kipato gani hadi ukilipie kodi?
 
kodi ya kichwa,redio baiskeli ni za kikoloni.....
 
KODI ni kipato..kama huna kipato hulipii kodi (kijijini)
kipato kinakuja kama wenye mamlaka wametengeneza mazingira ya ajira na uwekezaji. sasa nchi hii viongozi wanatamani 'matajiri waishi kama mashetani' unategemea raia wake watakuwa na kipato cha kueleweka kiasi cha kuwarundikia kodi wakati hawana kazi?
 
Ukiachan na hilo pia nyumba zinazopangishwa kuna kodi zina takiwa kulipiwa kodi ya zuio la asilimia kumi ya kodi iliyolipwa, mfano kama wewe umelipa milioni tatu kodi, untakiwa uzuie laki 3, umpatie mwenye nyumba Milioni 2.7, na hiyo nyingine upeleke TRA kisha umrudishie mwenye nyumba cheti cha kuonyesha kodi ya serikali uliyomkata umeifikisha...tutafika huko, na usije kushangaa unaitwa mkwepa kodi
 
Back
Top Bottom