Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Mkuu umeamua kutuchambua..... yaani mtu ukimsikia anaongea kama cherehani ila mpe aandike sasa.
 
Ila kusema ukweli Marehemu Ruge ni mtu aliyetengeneza maisha ya watu wengi huku akifeli maisha yake binafsi. Hii kitaalam sijui tunaweza kuielezeaje
 
Ile Familia ya kina Ruge siku wakiamua kumchamba kisomi sijui ataficha wapi sura yake...
Halafu Ruge aliacha watoto wengine wawili mmoja ni mkubwa ambaye mama yake ni mke wa RDj Rommy na mwingine last born ana mama yake nimemsahau jina watoto wote hao wanasoma Feza na sijawahi kuona mama zao wakilalamika kuhusu matunzo. Huyu Shabani Madobe anawasimanga watoto anaolea hadi mambo ya chupi sijui. Aibu nimeona mimi.
 

Mbona shabani madobe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…