Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Ruge alikua na Phina mango toka siku kadondoka bongo,mocassin mchongoko na suti bwangaenzi hizo.
Hilo chochoro alilipata tu kupooza hewa baada ya phina kutambaa na mzungu.
Boss Ruge nae kajitahidi Kwa Wadada..Kwa Zama ndo alitulia japo shoo za nje kama Kawa na mpk kuzaa wale watoto wengine wanaolingana na watoto wake
 
Nimesoma nimebaki gaahhh.....ngachoka mama!!!
Yaani Zama Yuko uchi aseehhh
Kaaibika Bora wangemlipa tu kaka wa watu au angekaa kimya baasi
 
Kwani Zamaradi anadaiwa na nan au ni kijana yupi anatakiwa amlipe?
Kaka uko Dunia ya wapi mpk kamtia mdai ndani
Anadaiwa na direkta wake almost 19m,dogo kaona hali ngumu kaenda kuweka Bondi kompyuta ya ofisi wakamtishiaaa tishia ndo akaenda Kwa Mange kumwaga upupu mara paaap dogo ndani Polisi kawe hapo,ndo chanzo Cha stori za Zama na mmewe hiko broooo
 

Aiseh!
 
Mimi bado ntamlaumu jamaa kwa kujiharibia status yake iliopambwa sana na mkewe na maisha haya kwani kurudi darasani bei gani mtu ukajua kuandika vizuri.
Mwamba alipambwa sana kumbe kiazi dah noma. Mitandao injua kuaibisha sana.
Mwamba alitakiwa apige kimya raia wasingemshtukia,ona sasa kaharibu,wale waliosemaga ukimya ni jibu hawakukosea
 
@Nyamizi kama Nyamizi [emoji2] halafu unaweza kukuta wewe ni swahiba wake wa karibu sana
 
Wanamantaine status kumbe wanaumia kwa ndani,maisha ya kupretend sio mazuri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…