Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujumbe sahihi hufikishwa kwa lugha sahihi,
Sometimes mtu unaweza kudharaulika kwa uandishi wako tu,
Uandishi hutoa picha halisi ya kujua jinsi mtu huyo alivyo.
😁👏Utani wa ngumi uhuuu 😂
Wanamdharau jamaa ilihali akaunt zao hao wasomi hazisomi hata 1m.Uzuri anajiamin kusoma sio dili hata kuna watu hawahasoma na wanakunja mamilion
Lazima umuhelewe 🤣Muhesimu mutu atakama hajuhi kuadika.
Mimi memuhelewa uyo muhadisi wa abali
Lazima umuhelewe 🤣
Lazima utetee maana uandishi mnafanana.Ma PHD huwa wanapata shida sana kusoma ndio maana wanalalamika
Kaka kwani haujasikia anaishi nyumba ya mke wake?[emoji23][emoji23][emoji23] na Kun watu wanamzidi uelewa sana huyo jamaa na hawana maisha kabisa...
Uandishi sasaHuu uandishi mnau-rate ngapi kwa scale ya 1 mpaka 10 wanajamvi.
Kumbe ndiyo maana haandikagi sana mitandaoni..
Ni bora aendelee kukaaga kimya tu, amfichie hizi aibu ndogondogo huyo overrated wife wake.
View attachment 2745599
Hakuna aliyemdharau.... Na hakuna mahali suala la pesa limezungumziwa kwenye content ya uzi..Wanamdharau jamaa ilihali akaunt zao hao wasomi hazisomi hata 1m.
Mimi siwezi zarau mtu asiye jua kuandika na kusoma kwasababu anaye nipa madili za mamilion ni jamaa yangu mkongomani nayeye hajui kusoma wala kuandika
Hapewe mahuha yake mehupe kama hunga wa mayindiHuu uandishi mnau-rate ngapi kwa scale ya 1 mpaka 10 wanajamvi.
Kumbe ndiyo maana haandikagi sana mitandaoni..
Ni bora aendelee kukaaga kimya tu, amfichie hizi aibu ndogondogo huyo overrated wife wake.
View attachment 2745599
Na ndumba piaHalafu hapo kwenye waraka wake kaisema familia ya Ruge,eti hawajawahi kuleta hata chupi,kamsema Kusaga alikataa kutoa ada na kamsema Ruge alikufa bila kuacha mambo sawa. Kasahau kuwa anaishi kwenye nyumba iliyojengwa na marehemu Ruge. Ila sema ninasikia wanaume wa kutoka Lindi na Mtwara wapo vizuri sana kwenye bed.
hayo ni maisha yake, ila kinahconikera mimi ni pale anapotumia kivuli cha pm majaliwa kufanya kiburi na manyanyaso. unakumbuka kipindi kile kamtishia mtu bastole, kwanza hajakutana na wanaume wamtwange huyo kiburi chote kingeisha.Huu uandishi mnau-rate ngapi kwa scale ya 1 mpaka 10 wanajamvi.
Kumbe ndiyo maana haandikagi sana mitandaoni..
Ni bora aendelee kukaaga kimya tu, amfichie hizi aibu ndogondogo huyo overrated wife wake.
View attachment 2745599
Hahahah kwani uandishi una shida gani mkuu?Lazima utetee maana uandishi mnafanana.
Mwandiko hulet pesaWanamdharau jamaa ilihali akaunt zao hao wasomi hazisomi hata 1m.
Mimi siwezi zarau mtu asiye jua kuandika na kusoma kwasababu anaye nipa madili za mamilion ni jamaa yangu mkongomani nayeye hajui kusoma wala kuandika