Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Daima katika maisha ni bora kujifunza kukaa kimya ili angalau uweke shaka juu ya uelewa wako kuliko kuongea na kuondoa shaka yeyote juu upumbavu wako.

Kuna aina fulani ya picha Zamaradi alimjengea jamaa yake kiasi kwamba watu waliamini jamaa ni sophisticated na classy. Baada ya huo upuuzi alioandika picha halisi ya yeye ni mtu wa aina gani imetokea.

Kuiweka kiwepesi, jamaa ni bumunda aliepambwa aonekane keki na mkewe.

Kuna tofauti ndogo mno baina ya Mume wa Zamaradi na Uchebe wa Shilole. Mume wa Zamaradi ni vile amewekewa mipaka na mkewe katika maisha ya maigizo, lakini isingekuwa hivyo angekuwa kama Uchebe kutwa mitandaoni kuandika upuuzi.

Na hili la mumewe limedhihirisha pia kuwa Zamaradi ni mtu wa aina gani. Daima walio wamoja hukaa pamoja.

View attachment 2745605

Dah nimecheka sana 😄😄😄😄 eti jamaa ni bumunda aliepambwa aonekane keki na mkewe.
 
Kaka kwani haujasikia anaishi nyumba ya mke wake?

Na haujasikia hiyo nyumba ndiyo Zamaradi amechukulia mkopo kwa ajili ya kuendeshea Zamaradi TV?

Meanwhile Zamaradi alikuwa anajisifu kwamba hiyo TV amefunguliwa na mume wake...

Point hapa ni nini? Ni kwamba hawa the so called motivational speakers wana fake sana life.. Huenda wewe na mkeo mko vizuri sana kuwashinda wao, ila kwa sababu ya kufake maisha mnajihisi hamjafanya kitu maishani mwenu kumbe siyo kweli...
Kweli kabisa,kuchukua mkopo si tatizo.Hata kina Mengi walikopa.Tatizo ni Zamaradi kakopa Bank ,the anakuja mtandaoni kudanganya watu kuwa TV pale ni nguvu za mme wake huyu Shabani. Anauza nyumba, ananunua range,anakuja kudanganya public kuwa Range kanunuliwa na Shaban.Yaani watu wengine ikute wanajiona hawafai kwa kuamini vitu ambavyo kiuhalisia ni uongo.
 
Hawa motivational wives kuna trauma wanazijenga kwa wanawake ambao kwa namna moja ama ingine wanaume wao hawawapi support ama wanawapa support duni..

Au kwa kuona alichofanyiwa Zamaradi, basi wanajiona wao kama walikosea kuolewa hapo walipo..

Kumbe huenda wao wako vizuri kumshinda huyo motivational speaker..
 
Huu uandishi mnau-rate ngapi kwa scale ya 1 mpaka 10 wanajamvi.

Kumbe ndiyo maana haandikagi sana mitandaoni..

Ni bora aendelee kukaaga kimya tu, amfichie hizi aibu ndogondogo huyo overrated wife wake.

View attachment 2745599
Kwanza jamaa kuchukuwa single mother mwenye watoto ni shughuli! Walidai ni ndugu ya Mh Majaliwa! Ina maana shule haikupanda kabisa kabisa?!
Sijacheka, imenisikitisha sana sana uandishi wake...
 
Huu uandishi mnau-rate ngapi kwa scale ya 1 mpaka 10 wanajamvi.

Kumbe ndiyo maana haandikagi sana mitandaoni..

Ni bora aendelee kukaaga kimya tu, amfichie hizi aibu ndogondogo huyo overrated wife wake.

View attachment 2745599
Hiyo inaitwa social diversion ili muhame kwenye mada kuu.. manyumbu mlivyo wajinga mmeingia wote mtegoni na sasa mnajadili kuhusu mwandiko wa mume wa zamaradi, yaani na wewe mtoa mada ni nyumbu tayari.
 
Back
Top Bottom