PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Ukisikia mwanamke anasema "mimi kwake sijafuata mali wala muonekano, mimi nampenda vilevile alivyo". basi huyo mwanamke ndiyo huyu sasa.Huu uandishi mnau-rate ngapi kwa scale ya 1 mpaka 10 wanajamvi.
Kumbe ndiyo maana haandikagi sana mitandaoni..
Ni bora aendelee kukaaga kimya tu, amfichie hizi aibu ndogondogo huyo overrated wife wake.
View attachment 2745599
Mwambieni jamaa ajishikilie vizuri kwa huyo dem. Huyo dem anampenda huyo jamaa kiukweli hasa, so jamaa asije akajisahau akaharibu.
Dem anampenda jamaa yake kiasi kwamba wala hata hahitaji kumfanyia editing, wala nini