Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

Nimecheka sana..ila wewe🀭
 
Tumuombee tu Kwa kweli
Ila Zamaradi alikua ktk mgogoro na familia yake haswaa wa kiimani ujue maana Jasiri hakua Muslim halafu kingine uhuni mwee yule baba nuksii,Sasa kuoa haoi anakula mzigo tu Ndo maana Alipotokea nnemba wa kukaya hakulaza Damu nadhani kigezo ni dini na Ndo maana walioana ghafla sana,Zama anahama Kwenye nyumba ya Ruge nadhani a week before Ndoa au alihama siku anaolewa akahamia Kule kwake kungine...!!!

Uzuri wa zama sio mtu wa kuongea madhaifu ya mmewe ujue ht km akishindwa ataondoka tu ila Mimi siombei waachane mwenzenu avumilie tu
 
Zamaradi ni shilole aliyechangamka na ni esha buheti aliyepooza!!!
 
Yaani diva alijua kunishangaza[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23]mganga alimuacha aropoke tu ,yaani jitu shirikina vile unajitangazia umma mmeachana naimani Abdul alituma majini yote kutoka baharini yamrudishe divaa
Sio akili yake Ile bwanaa !!!Shirki live ile
 
Ila nimegundua wanawake mnawivu sana na hamumpendi binti mketema, pamoja na kwamba Mume wake ndo kama hivyo lakini ndo alichokikuta, kama yeye target zake zilikua ni status kwa mtoto wa PM kumbe ndivyo sivyo hayo ni yake sasa.
Tunampenda sana na hatuna haja ya kumchukia Wala Nini ila kama kakosea ataambiwa tu...Aishi maisha yake Wala hakuna MTU atamuuliza kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…