Yaani alijua kumkomesha jamani daahh...siku wamerudiana anahojiwa Kawa mpoleee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nkasema Mganga karudisha imani Kwa wateja na mganga methali ya mganga hajigani ikafaa[emoji23]hapana chezea mganga.
Naona mganga alikaa akasema ngoja amalize kuongea nimshughulikie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dhambii jamani daahhh....unamuuza shoga Ako mfano kabisa mweeeeKikubwa maokoto tu
Muombe msamaha hamis mwinjuma kwenye hiliETI TANGU LINI KINA SHABANI, KINA HAMISI WAKAJUA KUANDIKA?
TUANZIE HAPO
HATA DARASA LA SABA KUMALIZA NI MTIHANI.
Kumbe Zama aliacha chuo? Afu akaenda wapiii?Aliacha chuo Zama hakumaliza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna mabwakuuu.Khaa,kumbe na Chuo kaliishia njiani? Ila kidada kina roho mbaya sana,sijui hajioni na alivyo sasa.Jinsi anavyojaribu kutuonyesha yupo vizuri sana na watoto wake kusoma FIS utadhani hapo shuleni wanaosoma ni watoto wake tu.Nilihudhuria mahafari na mwanae pia alikuwa anagraduate.
Wazazi tulimpendekeza yeye ndiyo atoe nasaha kwa niaba yetu kumbe waliompendekeza walijua kina penda sifa hizi.Tangu hili sakata litokee tunakuwa tunapigiana simu na kucheka hatari.Mama muwakilishi wetu katudharirisha sana[emoji3][emoji3]
Mil 20, duuuh watu wana hela wallah.Kuna Feza za aina mbili.
Kuna feza za mtaala wa necta ambazo ada ni around milioni nane kwa mwaka
Na kuna feza za mtaala wa cambridge ambazo ada ni around milioni 20 kwa mwaka.
Watoto wa zamaradi wanasoma za mtaala wa cambridge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimesoma Mange kashusha historia fupi ya Shaban na ina make sense aisee.Zama aliamini kabisa kaolewa na nephew wa PM.Sasa kila kitu hadharani kumbe ni mtoto wa Sangoma kutoka Ndanda na hana undugu wowote na PM.Haya maisha ukijifanya mjuaji watu wanafungua mafile yako vizuri tu.Sasa Shaban zile mbwembwe za mpwa wake PM zimemalizwa kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa fundi garage na HKL wapi na wapi???amezoea lete 16 lete 18 fixed,,,lete 20 combine baaaasi ndo kizungu Chao na elimu yao ilipoishia
Mil 20, duuuh watu wana hela wallah.
Kwa hiyo kukimbia Magomeni kujihamishia kote kwenye apartment ya gharama, mganga anaenda huko huko🤣 Mwisho wa hili penzi utakuwa kilio kikubwa Kwa Diva.[emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23]mganga alimuacha aropoke tu ,yaani jitu shirikina vile unajitangazia umma mmeachana naimani Abdul alituma majini yote kutoka baharini yamrudishe divaa
Sio akili yake Ile bwanaa !!!Shirki live ile
Na kujambiana🤣🤣💖mama k umetisha. Halafu uliniacha hoi uliposema ambition ya dogo Ni kula wali wa Nazi na samaki tu.
Akarudi dar kutangaza C2C mara akakutana na Ruge wakalana akapeleka cloudsKumbe Zama aliacha chuo? Afu akaenda wapiii?
Sio kidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna mabwakuuu.
Acha kabisa [emoji3526][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mil 20, duuuh watu wana hela wallah.
Yaani mganga anaenda huko huko mganga ni marioo pro max....Kwa hiyo kukimbia Magomeni kujihamishia kote kwenye apartment ya gharama, mganga anaenda huko huko[emoji1787] Mwisho wa hili penzi utakuwa kilio kikubwa Kwa Diva.
[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na kujambiana[emoji1787][emoji1787][emoji178]
Alikuwa mtoto wa mganga shule angapata muda sasa ngapi? Nani angetumwa kuchimba mizizi msituni na kuongeza makali huko sumbawanga😄😄😄😄😄Huyu kweli alikuwa mlisha Ng'ombe wa kwa waziri mkuu.Maana angekuwa mpwa basi angepelekwa hata Memkwa.
Manake huitaji jicho la rohoni kujua Yule Sheikh hampendi Diva, Yani hata kuigiza hawezi....Naye tumuweke kwenye maombi🤣🤣Yaani mganga anaenda huko huko mganga ni marioo pro max....
Yaani Diva Jana ujanja Kwa yule kaka!kaingia mtumbwi wa vibwengo kabisaa!!!
[emoji38][emoji38][emoji38]
Ndo maana baba levo alimchana Siku Ile Ile aliyoandika magezeti yake hakumbakisha
Ila Kazi ya kuchimba mizizi imemlipa kajua dawa 🤣🤣Alikuwa mtoto wa mganga shule angapata muda sasa ngapi? Nani angetumwa kuchimba mizizi msituni na kuongeza makali huko sumbawanga😄😄😄😄😄