Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 25,050
- 45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Usiombe uwe bachela ni kazi si kidogo aisee
Jana kama mnavyojua ilikuwa ni Christmas hivyo asubuhi nimeenda zangu kanisani kama kawaida Kisha kwenye saa sita nikarudi zangu home nikiwa na mawazo nikale wapi maana magenge yote yalikuwa yamefungwa huku kitaa
Kwa mbali nikawa nasikia harufu la pilau mapishi flani kama kitanga au ya kondoa, niakaendelea kuvuta mda kama nusu saa mbele, ghafla nagongewa mlango ngongo mtumish chakula hiki hapa , eebhana ee hot pot limejaa pilau na makuku kuku siyo masupu supu mandizi ndizi siyo magimbi gimbi daah
Nikaanza kufukia mtumish mara paap ngongo mtumish fungua chakula hiki hapa , huyo alikuwa ni jirani yangu wa pili naye mwisilam, kuchek ni sahani moja imejaa matunda , imejaa mbogamboga pilau lenye rangi na minyama nyama
Kwahiyo mchana nimekula chakula cha waislam na usiku hivyo hivyo na mchana huu wa leo nimekula kwao hivyo hivyo kwenye sikukuu ambayo siyo hata ya kwao
Ujumbe wangu ishini na watu vizuri hamtakufa njaa achanen kujifanya manunda
LONDON BOY