Ubachela kazi sana Mimi mkristo lakin Chrismas nimekula vya kula vya waislam

Ubachela kazi sana Mimi mkristo lakin Chrismas nimekula vya kula vya waislam

We piga dico hayo mengine waachie wajinga

Me mwenyewe juzi nimeenda kumsalimia rafiki yangu muislam nikapokelewa vizuri nikaletewa chapati na chai nzito yenye harufu murua
Arf et anatokea mjinga mmoja anayejiona ndg yake mtu anakukataza kula?
Kaka mashekh wakishina ubwabwa wao wana bwabwaja tu
 
Back
Top Bottom