ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Dogo vp umeanza kulia lia kizembe....
tulia ubaguliwe...
tulia ubaguliwe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadosi wamejaa huko ni wabaguzi sana wanajiona nao wazunguNimekomaa sana. Nilisema labda niiende kuishi English speaking countries kama Canada au Australia mambo ni yale yale tu. Chuki na ubaguzi naskia huko Canada ubaguzi umetawala. Licha ya kutaka wahamiaji lakini wana deport sana hata ukiiba supermarket.
Sasa ulitaka canada wapokee waiziNimekomaa sana. Nilisema labda niiende kuishi English speaking countries kama Canada au Australia mambo ni yale yale tu. Chuki na ubaguzi naskia huko Canada ubaguzi umetawala. Licha ya kutaka wahamiaji lakini wana deport sana hata ukiiba supermarket.
Hapo umechemka kuhusu mipini wapo wazungu wengi wamejaliwa, ungesema wachina, waarabu na wahindi ningekuelewa wengi vibamia, muulize mange kimambi anasema black wengi ni vibamia kuliko wazunguSafari hii wameshindwa kusingizia kwamba corona imetoka afrika. Wapuuzi sana hwa jamaa, wake zao wanazimikia wabeba boxes kwa sababu jamaa zao pini zao ni vibamia. Ovyo tu hao.
Haya yote unayosema tangu zamani yalikuwepo ulikuwa 'huyaoni' tu. Sasa hivi umri wako umesogea ndio maana unaanza kuangalia vitu kwa mtazamo tofauti. Utashangaa tu ghafla hata stress zinazidi na una-mind kila kitu kisa kafanya mzungu. Kama unaweza rudi nyumbani kama huwezi pambana na maisha hizo ni changamoto ndogo ndogo tu.Mzuka Wanajamvi,
Kuna ubaguzi wa hali ya juu hasa kwa sisi Ma-nigger.
Sasa hivi eti sisi wote tuna Corona hata ukivaa maski wanaziba pua.
White nationalist and far right wanaendeleza propaganda zao za chuki eti tume kuja kuchukua social money (what is rightful there's) na mademu zao wenye.
Ni chuki kwenda mbele wanajaribu kuficha lakini utaona kwenye nyuso zao na fake smile.
Hawapendi na wanachukia Nigger akitembea kitaa anafuraha inawauma sana. Furaha yao tuwe tu tegemezi.
Ukinunua gari kali inawauma wamejiwekea imani potofu nigger hawezi kutoka watakuchunguza umeinunua kihalali? Na sasa hivi nampango kwa kujijitutuumua nichukue gari kali heshima iwepo.
Hawapendi kukuona smart, handsome na uko focused. Sehemu za kubeba box ni chuki kwenda mbele hasa mademu zao wanapovutiwa na wewe.
Vizingiti ni vingi kwa nigger tunaviruka sana lakini ni wakati sasa wa kurudi nyumbani.
Licha ya nyumbani kuna utopolo na mambo ya ajabu ajabu na ya kipuuz lakini Afadhali huko karibu na watu wako unaofanana nao, unaoongea nao lugha a moja mnafurahi japo wengi ni mitambo ya umbea majungu, hila, ghilba wivu lakini Uzuri nigger mwenzako unaweza kumcontrol tu vizuri na vijisenti vyako vya box ulivyorudi navyo ukivichenji nigger unamuwini tu kisaikolojia kiulaini.
Mmatumbi ni muoga sana ana nguvu mdomoni. Hajui kucheza na saikolojia kama mzungu. Mzungu anakuumiza kisaikolojia hadi unajichukia kwa sheria na policies zake. Mzungu ni mtu hatari sana kucheza na akili na mtu ambaye anauwezo wa kumwin kisaikolojia wengine ni hatari sana.
Nyumbani ni nyumbani tu licha ya wamatumbi wenzako kuwa wasumbufu kwa mambo ya hovyo hovyo wakining'iniza poumbou vibarazani na vijiwe vya umbea unaweza tu kuwa contain kwa ku create fear na hela zako za boksi na ma mikwara kibao.
Hahahah,Huo muda wa kuandika hiyo insha umeutoa wapi badala ya kubeba box ewe Nigger?
Kweli Mmatumbi ni Mmatumbi tu, maneno meeengi kuliko vitendo.
Unavyosema ni kweli. Siku za mwanzo mwanza nilikuwa na munkari ya kubeba boksi mbaya. Sasa hivi yani imenitoka. Nakumbuka nilimchekesha supervisor wangu nataka kusafisha mall yote pekee yangu na nilikuwa serious supervisor chekaa balaaHaya yote unayosema tangu zamani yalikuwepo ulikuwa 'huyaoni' tu. Sasa hivi umri wako umesogea ndio maana unaanza kuangalia vitu kwa mtazamo tofauti. Utashangaa tu ghafla hata stress zinazidi na una-mind kila kitu kisa kafanya mzungu. Kama unaweza rudi nyumbani kama huwezi pambana na maisha hizo ni changamoto ndogo ndogo tu.
Wewe ungependa Race yako iwe dominated na race nyingine kwa kigezo chochote kile??..Mzuka Wanajamvi,
Kuna ubaguzi wa hali ya juu hasa kwa sisi Ma-nigger.
Sasa hivi eti sisi wote tuna Corona hata ukivaa maski wanaziba pua.
White nationalist and far right wanaendeleza propaganda zao za chuki eti tume kuja kuchukua social money (what is rightful there's) na mademu zao wenye.
Ni chuki kwenda mbele wanajaribu kuficha lakini utaona kwenye nyuso zao na fake smile.
Hawapendi na wanachukia Nigger akitembea kitaa anafuraha inawauma sana. Furaha yao tuwe tu tegemezi.
Ukinunua gari kali inawauma wamejiwekea imani potofu nigger hawezi kutoka watakuchunguza umeinunua kihalali? Na sasa hivi nampango kwa kujijitutuumua nichukue gari kali heshima iwepo.
Hawapendi kukuona smart, handsome na uko focused. Sehemu za kubeba box ni chuki kwenda mbele hasa mademu zao wanapovutiwa na wewe.
Vizingiti ni vingi kwa nigger tunaviruka sana lakini ni wakati sasa wa kurudi nyumbani.
Licha ya nyumbani kuna utopolo na mambo ya ajabu ajabu na ya kipuuz lakini Afadhali huko karibu na watu wako unaofanana nao, unaoongea nao lugha a moja mnafurahi japo wengi ni mitambo ya umbea majungu, hila, ghilba wivu lakini Uzuri nigger mwenzako unaweza kumcontrol tu vizuri na vijisenti vyako vya box ulivyorudi navyo ukivichenji nigger unamuwini tu kisaikolojia kiulaini.
Mmatumbi ni muoga sana ana nguvu mdomoni. Hajui kucheza na saikolojia kama mzungu. Mzungu anakuumiza kisaikolojia hadi unajichukia kwa sheria na policies zake. Mzungu ni mtu hatari sana kucheza na akili na mtu ambaye anauwezo wa kumwin kisaikolojia wengine ni hatari sana.
Nyumbani ni nyumbani tu licha ya wamatumbi wenzako kuwa wasumbufu kwa mambo ya hovyo hovyo wakining'iniza poumbou vibarazani na vijiwe vya umbea unaweza tu kuwa contain kwa ku create fear na hela zako za boksi na ma mikwara kibao.
Wangari Maathai kwa kweli hapo na mimi hawa vijana siwaelewi. Hivi kwa wengi wetu humu watoto wa wakulima....unapata luxury au courage wapi kufikiria the so called ubaguzi? hakuna popote maisha yalipo marahisi. Njoo bongo JPM alikuwa ana nanga watumishi wa umma....nikuteue halafu utangaze upinzani kwamba wameshinda? Imagine na huyo ni the so qualified mwajiriwa...Kweli aloshiba hamjui mwenye njaa..hv wakikubagua wewe kitu gani kinamiss!!
Njoo basi tule mtori tu nyama tutazikuta chini! Ungekuwa mwanangu ningekuachia laana mbaafu🥵
Mzuka Mwana!Mzuka Wanajamvi,