Ubaguzi umezidi, hamu ya kurudi nyumbani inanijia kwa kasi

Ubaguzi umezidi, hamu ya kurudi nyumbani inanijia kwa kasi

Wazungu si ndio mnawatukuza hapa jf kwamba ni watu wazuri?
 
Sisi waafrica tuanzishe kampeni wa kuwaita watu weupe nguruwe pindi wanapotubagua!! Kwa wao wanafanana sana na nguruwe has a kwa NGOZI na TABIA!!!
Mfano tuvae tishet zenye picha ya nguruwe na MTU mweusi ( mwafrica) yenye maneno "pigs stop harass beautiful Africans"
Au Pigs stop harass monkeys,!!!
Au Pigs and monkeys created by GOD!!!
 
Hii JF usiiichukulie siriaz sana mpenzi. Waeza kuta jamaa yuko hapo Ngaramtoni anavuta bangi ya Tarime...., inamdanganya yuko pembeni ya white house anasikiliza hotuba ya Joe Biden
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzuka Wanajamvi,

Kuna ubaguzi wa hali ya juu hasa kwa sisi Ma-nigger.

Sasa hivi eti sisi wote tuna Corona hata ukivaa maski wanaziba pua.

White nationalist and far right wanaendeleza propaganda zao za chuki eti tume kuja kuchukua social money (what is rightful there's) na mademu zao wenye.

Ni chuki kwenda mbele wanajaribu kuficha lakini utaona kwenye nyuso zao na fake smile.

Hawapendi na wanachukia Nigger akitembea kitaa anafuraha inawauma sana. Furaha yao tuwe tu tegemezi.

Ukinunua gari kali inawauma wamejiwekea imani potofu nigger hawezi kutoka watakuchunguza umeinunua kihalali? Na sasa hivi nampango kwa kujijitutuumua nichukue gari kali heshima iwepo.

Hawapendi kukuona smart, handsome na uko focused. Sehemu za kubeba box ni chuki kwenda mbele hasa mademu zao wanapovutiwa na wewe.

Vizingiti ni vingi kwa nigger tunaviruka sana lakini ni wakati sasa wa kurudi nyumbani.

Licha ya nyumbani kuna utopolo na mambo ya ajabu ajabu na ya kipuuz lakini Afadhali huko karibu na watu wako unaofanana nao, unaoongea nao lugha a moja mnafurahi japo wengi ni mitambo ya umbea majungu, hila, ghilba wivu lakini Uzuri nigger mwenzako unaweza kumcontrol tu vizuri na vijisenti vyako vya box ulivyorudi navyo ukivichenji nigger unamuwini tu kisaikolojia kiulaini.

Mmatumbi ni muoga sana ana nguvu mdomoni. Hajui kucheza na saikolojia kama mzungu. Mzungu anakuumiza kisaikolojia hadi unajichukia kwa sheria na policies zake. Mzungu ni mtu hatari sana kucheza na akili na mtu ambaye anauwezo wa kumwin kisaikolojia wengine ni hatari sana.

Nyumbani ni nyumbani tu licha ya wamatumbi wenzako kuwa wasumbufu kwa mambo ya hovyo hovyo wakining'iniza poumbou vibarazani na vijiwe vya umbea unaweza tu kuwa contain kwa ku create fear na hela zako za boksi na ma mikwara kibao.
Mimi sijamwelewa mleta uzi. Labda wenzangu mliomuelewa mnielemishe.

Haya maneno ya kibaguzi dhidi ya sisi wananchi ambao hatubahatika kuishi ughaibuni uliyoyaandika hapa chini yana tofauti gani na ubaguzi walio nao Wazungu unaowananga?

Kwa kutoa maneno fidhuli na ya kibaguzi dhidi ya sisi wananchi wenzako......je, huoni kuwa wewe ni mbaguzi zaidi hata kuzidi hao Wazungu ambao wanaowabagua ni watu wa rangi nyingine?

Licha ya nyumbani kuna utopolo na mambo ya ajabu ajabu na ya kipuuz lakini Afadhali huko karibu na watu wako unaofanana nao, unaoongea nao lugha a moja mnafurahi japo wengi ni mitambo ya umbea majungu, hila, ghilba wivu lakini Uzuri nigger mwenzako unaweza kumcontrol tu vizuri na vijisenti vyako vya box ulivyorudi navyo ukivichenji nigger unamuwini tu kisaikolojia kiulaini.

Mmatumbi ni muoga sana ana nguvu mdomoni. Hajui kucheza na saikolojia kama mzungu
. Mzungu anakuumiza kisaikolojia hadi unajichukia kwa sheria na policies zake. Mzungu ni mtu hatari sana kucheza na akili na mtu ambaye anauwezo wa kumwin kisaikolojia wengine ni hatari sana.
 
Pole sana kwa kuwa umeshawekeza vya kutosha..karibu tu bongo...tupambane na siasa maji taka
 
Nimekomaa sana. Nilisema labda niiende kuishi English speaking countries kama Canada au Australia mambo ni yale yale tu. Chuki na ubaguzi naskia huko Canada ubaguzi umetawala. Licha ya kutaka wahamiaji lakini wana deport sana hata ukiiba supermarket.
Vipi England?
 
Mkuu upo sahihi. Lakini nadhani waswahili tuna shida ya attitude. Ukienda na akili ya maisha ya kibongo bongo lazima huko nje utafeli tuu. waAfrica wengi ambao nimekutana nao, kwanza tunapenda attention na recognition-tunapoyapatia maisha....

Mimi wakati naenda nje for the first time, nilijiwekea kichwani kwamba naenda kutafuta maisha. Maamuzi nimeyafanya mimi sikulazimishwa. Huwezi amini, kwa sababu mind yangu nili-iset, sijawahi kuhisi kwamba nabaguliwa kwa sababu ya ngozi yangu (na nimekaa some of the countries famous kwa ubaguzi both in North America and Europe). Hiyo attitude imenilinda mpaka leo.

Ukisikiliza media sana na story za vijiweni, utajikuta maisha unayachukia ghafla (kikubwa ni kutambua kwamba experience ya kila mtu ni tofauti). US kila mtu anajua kuna ubaguzi. SA, Germany, UK, France, kote huko ubaguzi upo. Lakini pia, ni nchi ambazo ukipambana utafanikiwa sana tuu. na wapo wengi ambao wamefanikiwa.

Siku zote nikiwa nje nilikuwa najiuliza, will I be better off nikirudi bongo? Jibu la hili swali lazima uwe nalo mda wote wa maisha yako. Kila nikikumbuka maisha niliyopitia kutafuta ajira baada ya degree ya UDSM? Nilikuwa njisemea hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!

I always consider my life experience in Europe and North America positively.

Leo nikikutana na kijana mdogo ananiomba ushauri wa kwenda nje kutafuta maisha..nitamwambia nenda! kikubwa kuwa na malengo na uende huko ukiwa bado na nguvu..siyo kwenda kuwa mzigo wa serikali na walipa kodi.
Maelezo mazuri mkuu , mimi ninachokitafuta ni connection tu mkuu, je ni kitu kjnachowezekana tukitafuta huku JF? Unaweza nipa mwanga , na siwi tukasake life !
Shukrani
 
Unawabaguaje?
Nimejipanga sijawahi kufanya kazi zisizo na heshima zinazofanya watu wabaguliwe kirahisi.

Sijakaa mitaa ambayo ina wabaguzi.

Sina tabia ya kushobokea watu nisiowajua na wasionijua wanipende. Ukiwa na tabia hii watu wanaweza kukubagua kwa sababu hawakujui tu, yani hata mweupe wasiyemjua watambagua, kwa sababu hawamjui, wewe ukaona wanakubagua kwa sababu mweusi.

Mimi ni mtu wa kufanya kazi zangu, kuishi maisha yangu, sina muda mwingi wa kubaguliwa.

Nimechagua kufanya kazi inayoheshimika watu ninaofanya nao kazi wananiheshimu.

Na siku wakionesha kutoniheshimu nina uwezo wa kuacha kazi mara moja kuendelea na biashara zangu au kufanya kazi nyingine.

Pia, sehemu nilipo kuna sheria kali dhidi ya ubaguzi, na ubaguzi unaonekana kuwa ni tusi kubwa.

Nina network ndefu ya highly trained and highly successful and supportive progressive black professionals ambao wanaweza kunishauri vizuri sehemu nitakapohitaji ushauri. Hivyo matatizo yangu siwezi kumpelekea mbaguzi anibague zaidi.

Watu wengine wanaweza kulalamika kubaguliwa, kumbe wao wenyewe ndio wana matatizo hawajawabagua wabaguzi vya kutosha.

Ukienda kuishi katikati ya neo-nazis lazima wakubague.

Ukifanya kazi za kupanga maboksi supermarket uwezekano wa kubaguliwa ni mkubwa.

Hata ukirudi Bongo, kama hujajipanga, utabaguliwa na wahindi na Waafrika wenzako.
 
Nimejipanga sijawahi kufanya kazi zisizo na heshima zinazofanya watu wabaguliwe kirahisi.

Sijakaa mitaa ambayo ina wabaguzi.

Sina tabia ya kushobokea watu nisiowajua na wasionijua wanipende. Ukiwa na tabia hii watu wanaweza kukubagua kwa sababu hawakujui tu, yani hata mweupe wasiyemjua watambagua, kwa sababu hawamjui, wewe ukaona wanakubagua kwa sababu mweusi.

Mimi ni mtu wa kufanya kazi zangu, kuishi maisha yangu, sina muda mwingi wa kubaguliwa.

Nimechagua kufanya kazi inayoheshimika watu ninaofanya nao kazi wananiheshimu.

Na siku wakionesha kutoniheshimu nina uwezo wa kuacha kazi mara moja kuendelea na biashara zangu au kufanya kazi nyingine.

Pia, sehemu nilipo kuna sheria kali dhidi ya ubaguzi, na ubaguzi unaonekana kuwa ni tusi kubwa.

Nina network ndefu ya highly trained and highly successful and supportive progressive bkack professionals ambao wanaweza kunishauri vizuri sehemu nutakapohitaji ushauri. Hivyo matatizo yangu siwezi kumpelekea mbaguzi anibague zaidi.

Watu wengine wanaweza kulalamika kubaguliwa, kumbe wao wenyewe ndio wana matatizo hawajawabagua wabaguzi vya kutosha.

Ukienda kuishi katikati ya neo-nazis lazima wakubague.

Ukifqnya kazi za kuoanga maboksi supermarket uwezekano wa kubaguliwa ni mkubwa.

Hata ukirudi Bongo, kama hujajipanga, utabaguliwa na wahindi na Waafrika wenzako.
Nimekuelewa
 
Siyo kupenda wizi. Kuna makosa mengine ni ya kusamehe. Yani unaiba supermarket unadepotiwa hapana. Wizi supermarket kutukana iyo ni offence siyo crime.

Rape, murder, bodily arm, driving carelessly and causing accident hapo sawa deportation labda itahusika.
Unamdeporr mtu kwa commit offence kwa kuiba supermarket kweli iyo inaleta mantiki.?
Dah mkuu umenikumbusha jamaa yangu alikuwa anafanya job bakery akaiba mkate dah jamaa akatemwa .
 
Kuna kipindi nilikuwa naendesha Counter balance maSkin heads watatu wakaleta za kuleta nikatembeza mkono wa haja na kazi wakafukuzwa daadek!

Wakaanza kunitafuta kwa lengo eti wanifinish off waliambulia kukimbia Club😁 wenyewe hii Dunia ni Mapambano
Pande zipi hiyo Babu?
 
Nimejipanga sijawahi kufanya kazi zisizo na heshima zinazofanya watu wabaguliwe kirahisi.

Sijakaa mitaa ambayo ina wabaguzi.

Sina tabia ya kushobokea watu nisiowajua na wasionijua wanipende. Ukiwa na tabia hii watu wanaweza kukubagua kwa sababu hawakujui tu, yani hata mweupe wasiyemjua watambagua, kwa sababu hawamjui, wewe ukaona wanakubagua kwa sababu mweusi.

Mimi ni mtu wa kufanya kazi zangu, kuishi maisha yangu, sina muda mwingi wa kubaguliwa.

Nimechagua kufanya kazi inayoheshimika watu ninaofanya nao kazi wananiheshimu.

Na siku wakionesha kutoniheshimu nina uwezo wa kuacha kazi mara moja kuendelea na biashara zangu au kufanya kazi nyingine.

Pia, sehemu nilipo kuna sheria kali dhidi ya ubaguzi, na ubaguzi unaonekana kuwa ni tusi kubwa.

Nina network ndefu ya highly trained and highly successful and supportive progressive bkack professionals ambao wanaweza kunishauri vizuri sehemu nutakapohitaji ushauri. Hivyo matatizo yangu siwezi kumpelekea mbaguzi anibague zaidi.

Watu wengine wanaweza kulalamika kubaguliwa, kumbe wao wenyewe ndio wana matatizo hawajawabagua wabaguzi vya kutosha.

Ukienda kuishi katikati ya neo-nazis lazima wakubague.

Ukifqnya kazi za kuoanga maboksi supermarket uwezekano wa kubaguliwa ni mkubwa.

Hata ukirudi Bongo, kama hujajipanga, utabaguliwa na wahindi na Waafrika wenzako.
Kweli Kabisa, wakati flani Shobo za kijingajinga zinafanya mtu ubaguliwe
 
Mkuu umefikaje huko ulaya na mimi nije nina milion moja mfukoni niongeze milioni ngapi nifike uko kama vipi weka namba yako nikutumie uthibitishe kama ni ya kweli au ya bandia.
 
Usirudi na stori tu kaka.. Hebu watie mimba kama watano hivi ndio urudi.. Labda katatokea kaobama toka kwako mkuu..
 
Siyo kupenda wizi. Kuna makosa mengine ni ya kusamehe. Yani unaiba supermarket unadepotiwa hapana. Wizi supermarket kutukana iyo ni offence siyo crime.

Rape, murder, bodily arm, driving carelessly and causing accident hapo sawa deportation labda itahusika.
Unamdeporr mtu kwa commit offence kwa kuiba supermarket kweli iyo inaleta mantiki.?

Unawapangia adhabu? Kwamba ukiiba supermarket usamehewe? Lengo la kuwa depot wezi wa supermarket ni kukomesha tabia ya wizi. Ukiweza kuiba supermarkets hutashindwa kuiba na kwingineko. Wizi ni wizi tu hata kama kaiba pipi
 
Nimekomaa sana. Nilisema labda niiende kuishi English speaking countries kama Canada au Australia mambo ni yale yale tu. Chuki na ubaguzi naskia huko Canada ubaguzi umetawala. Licha ya kutaka wahamiaji lakini wana deport sana hata ukiiba supermarket.
Canada hadi wadosi nao eti wanajifanya kuwabagua black,kuna mdosi alijichanganya kwa mwana m1 mdosi maji aliita mma kichapo alichochezea,halafu ajabu white wote walioshuhudia tukio wakawa upande wa mwana 😀
 
Back
Top Bottom