Ubaguzi umezidi, hamu ya kurudi nyumbani inanijia kwa kasi

Kama rudi numbani mkuu uje ule bata achana nao wanazingua sana
 
Pole sana Nigga
 
Unaingia supermarket unasikia "look at those monkeys[emoji205]", una smile then unamwambia mshkaji "look at those pigs"...wanakasirika, una smile...unanunua bidhaa zako unasepa. Kwa sisi ma "last born" kukaa nje ni utumwa. My **yrs experience ni utumwa tu, home is better.
 
Upo sahihi mkuu mm wakati nafika SA kuna maeneo maandishi ya white only ndio walikua wametoa ila ukiangalia kwa ukaribu zaidi utaona maana ni maneno yaliyokua yamechimbwa kwenye chuma harafu nikutane na ubaguzi wa aina yeyote ile siwezi kushangaa anabaguliwa Samuel Eto wanamlipa mabillion na wanajua anaembagua Eto ni msaka nyoka tuu kisa mweupe nishangae mimi kubaguliwa kutakua kuna tatizo hapo...
 
Karibu chaka gumu aka kidimbwi...

ukija huku ujikaze usiwe laini laini vinginevyo utageuza haraka urudi ulipotoka..
maajabu sasa, hapa hapa Bongo kuna watu wameigeuza bongo kuwa Europe yaani wanaishi kweli sio masikhara....

La msingi usiwe mvivu, tia mimba dada zao uzalishe vya kutosha..mfano hapo mkiwa diaspora 100 wa kiume tunategemea kila mmoja kwa uchache aache mbegu 30... in total mkiondoka mtaacha vijana wetu 3000...nao wakifanya yao baada ya miaka kadhaa nusu ya population wanakuwa vijana wetu....
 
Nimekomaa sana. Nilisema labda niiende kuishi English speaking countries kama Canada au Australia mambo ni yale yale tu. Chuki na ubaguzi naskia huko Canada ubaguzi umetawala. Licha ya kutaka wahamiaji lakini wana deport sana hata ukiiba supermarket.
Hahaha...sasa kwa nini uibe?!!
 
Hii JF usiiichukulie siriaz sana mpenzi. Waeza kuta jamaa yuko hapo Ngaramtoni anavuta bangi ya Tarime...., inamdanganya yuko pembeni ya white house anasikiliza hotuba ya Joe Biden
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]acha ujinga baasi!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wizi ni wizi tu!hukumu ni hyooo!kwa nini uibe?!hakuna justification ya wizi hata ukiiba penseli ni mwizi!

Jifunze juishi kwa tararibu na sheria
 
Kiranga nimekupenda bure
 
Na huku wewe kama Sio Chama Changu, Dini yangu, Kabila langu au wewe ni mbara mimi Mzanzibar lazima takubagua tu..., Ule Upendo tuliokuwa tunajivunia Afrika nzima ndio tunamalizia kuuzika polepole
 
Komaa kijana,ubaguzi upo kila sehemu,wewe angalia kilichokupeleka,kila nchi kuna ubaguzi wa aina yake,ubaguzi ni ubaguzi tu sio lazima uwe wa skin colour,

Box tunakomaa nalo kama kawa tu,na ubaguzi tumeuzibia masikio,na week-end ni starehe kama zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…