Tulipokuwa kule Ukraine miaka ya nyuma, kwenye zile sherehe za kukaribisha mwaka mpya, jamaa walikuwa wakijitenga na kufanya za kwao kivyao.Wapemba wenyewe wabaguzi wakubwa.
Niambie mahusiano ya ndoa mpemba na mtanzania bara yapo? Jamaa wanatuona kinyaa sana kama tukitaka kuoa au kuolewa.
[emoji1] [emoji1] wazee wa fursa na wanajiona wametoka mbingu nyingine kabisa tofauti na sisi tena wanatuita waswahili mkuu.Tulipokuwa kule Ukraine miaka ya nyuma, kwenye zile sherehe za kukaribisha mwaka mpya, jamaa walikuwa wakijitenga na kufanya za kwao kivyao.
Lakini zikija hela za serikali walikuwa wepesi kujisogeza kwenye kikao cha wanafunzi na mwakilishi wa ubalozi. Roho ya ubaguzi haimuwachi mtu salama.
Kumbuka hizi ni nchi mbili hzilizoungana,MkuuTulipokuwa kule Ukraine miaka ya nyuma, kwenye zile sherehe za kukaribisha mwaka mpya, jamaa walikuwa wakijitenga na kufanya za kwao kivyao.
Lakini zikija hela za serikali walikuwa wepesi kujisogeza kwenye kikao cha wanafunzi na mwakilishi wa ubalozi. Roho ya ubaguzi haimuwachi mtu salama.
😀😀😀 punguza povu mkuu,Zanzibar ina watu milioni moja na nusu(1,500,000),Tanganyika kuna watu miliioni hamsini(50,000,000) sasa kila atokeae Tanganyika aajiriwe kweli zitabaki ajira kwa wazawa (Wazanzibari) hapo,??!tafakariNyinyi endeleeni kubaguana... maana hata ajira zenu ni za ubaguzi... mwisho pale utaona lazima uwe mzanzibar... wa bara hawaitajiki... shenzi kabisa, na huku tulitakiwa ajira ziwe hivyo... ubaguzi huu, ndio unafanya iwe rahisi ninyi kubaguana wenyewe kwa wenyewe
Bara kuna ukanda,alipokuwa waziri wa Fedha Mchaga,wizara yotu ilijaa wachaga,Sasa raisi msukuma,Bashite hakamatiki,watu wa mwanza hawavunjiwiWewe ni muongo na mzushi , bara watu wanaajiriwa kwa kufuata vigezo vya umri na vyeti alivyonavyo , mie jzijuzi wadogo zangu wameajiriwa
Nyerere alikuwa tapeli tu,yeye ndio kaanza kuibaguwa Zanzibar,matatizo yote yanayotokea Zanzibar kayasababisha NyerereMwal Nyerere alishasema mkianza kuwabagua wabara mtakuja upemba na uunguja, Waache kuwabagua wabara lasivyo dhambi hii itawatafuna daima
hakuna mantiki na ubaguzi ndipo unapo anzia... ndipo hapo baadhi ya mashirika waajiri kwa undugu, kujuana, nk... mwanzo wake ni huo... kama wote ni waTZ kuna haja gani ya kuangaliana idadi ya watu... sisi kabila letu ni wachache sana... naomba katika eneo letu ajira zitangazwe kwa ajiri yetu tu..! kabila letu tupo mia mbili tu... tofauti na wamasai, wachaga, wasukuma, wahaya wanyakyusa nk... hivyo mkija ktk eneo letu mzingatie idadi yetu....😀😀😀 punguza povu mkuu,Zanzibar ina watu milioni moja na nusu(1,500,000),Tanganyika kuna watu miliioni hamsini(50,000,000) sasa kila atokeae Tanganyika aajiriwe kweli zitabaki ajira kwa wazawa (Wazanzibari) hapo,??!tafakari
kwa ufupi ilikuwa makosa makubwa sana hizi nchi mbili kuungana..
Mkuu hii ni kuhusu nchi sio kabila,Zanzibar ni nchi sio jimbo,kuna ajira nyingi Tanganyika zinatolewa kwa watanganyika tu,umeshawahi kusikia mkuu wa Jeshi,mkuu wa Polisi,mkuu wa Magereza,waziri mkuu, nk. kupatiwa mtu kutoka Zanzibar, tangu muungano huu uanze,??!hivi sasa mmekwenda mbali hata bidhaa za Zanzibar hamtaki ziuzwe Tanganyikahakuna mantiki na ubaguzi ndipo unapo anzia... ndipo hapo baadhi ya mashirika waajiri kwa undugu, kujuana, nk... mwanzo wake ni huo... kama wote ni waTZ kuna haja gani ya kuangaliana idadi ya watu... sisi kabila letu ni wachache sana... naomba katika eneo letu ajira zitangazwe kwa ajiri yetu tu..! kabila letu tupo mia mbili tu... tofauti na wamasai, wachaga, wasukuma, wahaya wanyakyusa nk... hivyo mkija ktk eneo letu mzingatie idadi yetu....
huu ni upuuzi, hata kama kulinda ajira sio kwa namna hiii... ndio maana leo wanajijua wao ni wangapi, na ni rahisi kuleta choko choko za ubaguzi nk... lakini kungekuwa na muingiliano haswa haya ya sisi na wao yasinge tokea... kumbuka huko nyuma wakoloni walikuwa wana amisha na kuchanganya watu toka maeneo tofauti ili kuepusha migogoro isiyio ya lazima...
ebu tafakari na wewe hii... mkuuu kwania njeama tu...
Mkuu hii ni kuhusu nchi sio kabila,Zanzibar ni nchi sio jimbo,kuna ajira nyingi Tanganyika zinatolewa kwa watanganyika tu,umeshawahi kusikia mkuu wa Jeshi,mkuu wa Polisi,mkuu wa Magereza,waziri mkuu, nk. kupatiwa mtu kutoka Zanzibar tangu muungano huu uanze,hivi sasa mmekwenda mbali hata bidhaa za Zanzibar hamtaki ziuzwe Tanganyika
Kwani watanganyika hawajijui wako wangapi!?hakuna nchi isiojua raia wake wako wangapi,nchi inatakiwa ijue vile vile raia wake wasiokuwa na kazi wako wangapi..
Huu mungano unvunike tu hauna maana yoyote..,Mkijazana Zanzibar watoto wetu tutawapa kazi gani?Wazanzibari walioko Tanganyika wengi wao wanajitegemea kibiashara,hawategemei ajira za serikali ya Mungano
Sawa mkuu,nimekufahamu,lakini wazenji wenyewe kutokana na historia ya nchi yao hawakubali kuwa Zenji sio nchi ila ni sehemu ya nchi..Mkuu kwangu sina la kusema hapo, ila ni kwasababu ya sheria na taratibu na zaweza kubadilika vilevile... hivyo ukifahamu hilo utajua vilevile ukubwa wa nchi husika na mipaka ya uwakilishi na utawala wa kiongozi wao... kwangu zenji sio nchi ila ni sehemu ya nchi.hi hawana hadhi ya nchi kimataifa wana hadhi ya nchi kitaifa na kisiasa...
katika suala la wakuu wa majeshi sizani kama kuna sheria inakataza wao kuwa ktk hizo nafasi... ndio maana tuna ona kulikuwa na rais Mwinyi aliye ongoza sehemu zote kwa nyakati tofauti...
Ahahahaha eti ajira ya mkuu wa majeshi, mkuu wa polisi , mkuu wa magereza....Akili ndogo sana wewe, embu tueleze na sisi tunawezaje kuomba hizo ajira hapo juu ,......Kwa mawazo haya mtaburuzwa mpaka pale mtakapojitambua.Mkuu hii ni kuhusu nchi sio kabila,Zanzibar ni nchi sio jimbo,kuna ajira nyingi Tanganyika zinatolewa kwa watanganyika tu,umeshawahi kusikia mkuu wa Jeshi,mkuu wa Polisi,mkuu wa Magereza,waziri mkuu, nk. kupatiwa mtu kutoka Zanzibar, tangu muungano huu uanze,??!hivi sasa mmekwenda mbali hata bidhaa za Zanzibar hamtaki ziuzwe Tanganyika
Kwani watanganyika hawajijui wako wangapi!?hakuna nchi isiojua raia wake wako wangapi,nchi inatakiwa ijue vile vile raia wake wasiokuwa na kazi wako wangapi..
Huu mungano unvunike tu hauna maana yoyote..,Mkijazana Zanzibar watoto wetu tutawapa kazi gani?Wazanzibari walioko Tanganyika wengi wao wanajitegemea kibiashara,hawategemei ajira za serikali ya Mungano..
Kuburuzwa gani uko mkuu mbon kila kitu kipo wazi? Kwani sheria zinasemaje? Mnaizarau znz nakusema kuwa sio nchi ati ni mkoa lakin nakuwa mkoa kwake kama mnavyojidai unawanyosha watanganiykaa kisawa sawa kwenye sheria zake ndo kama ivo hamna haki ya kumiliki ardhi znz ajira zisizo za Mungano pia haziwahusu lakin vyote ivo mznz aikiwa bara ana haki navyo endelezen siasa uchwara kwa kuwafaidisha wanasiasaAhahahaha eti ajira ya mkuu wa majeshi, mkuu wa polisi , mkuu wa magereza....Akili ndogo sana wewe, embu tueleze na sisi tunawezaje kuomba hizo ajira hapo juu ,......Kwa mawazo haya mtaburuzwa mpaka pale mtakapojitambua.
Natumaini ulichokiandika unakielewa vizuri, Tanzania ya enzi za uhuru sio hii ya Magufuli.Bara kuna ukanda,alipokuwa waziri wa Fedha Mchaga,wizara yotu ilijaa wachaga,Sasa raisi msukuma,Bashite hakamatiki,watu wa mwanza hawavunjiwi
Nyerere alikuwa tapeli tu,yeye ndio kaanza kuibaguwa Zanzibar,matatizo yote yanayotokea Zanzibar kayasababisha Nyerere
Sawa mkuu,nimekufahamu,lakini wazenji wenyewe kutokana na historia ya nchi yao hawakubali kuwa Zenji sio nchi ila ni sehemu ya nchi..
Mimi binafsi naamini Zanzibar ni nchi huru iliyoungana na nchi huru inayoitwa Tanganyika ukapitikana umoja wa nchi inayoitwa Jamuhuri wa mungano wa Tanzania
Zanzibar ina Raisi wake,mawaziri wake,Bendera yake,Bunge lake,katiba yake nk,hivi mkuu unajua kuwa sheria za Zenji na Tanganyika nyingi zinapingana!??
Sawa mkuu hayo ni mawazo yako,Imekuwa uzuri umeitaja Kisiwa cha Mafia kwani Zanzibar ikijitoa katika hii kadhia ya Mungano tutakipigania kisiwa chetu cha Mafia kirudi nyumabani kwenye mamlaka ya Zanzibar,ndugu zetu wa mafia mnawatesa sana hata hawasikiki kapisa katika ramani ya Tanzania..kama hili lipo basi ni uzaifu mkubwa sana... ni sawa na moshi kuwa na sheria zao... alafu pia kuna sheria au katiba ya JMT... sasa utajiuliza hii katiba ina apply wapi? kama ni bara pekee y? kama bara na zenji? mbona kuna huu utofauti? na miungano yote ndio ipo hivi... zanziba ni kaeneo tu kama mafia, kisiju ukerewe, kemondo nk... na wameungana kama dodoma, mtwara, mbeya, moshi nk walivyo ungana kutengeneza tanzania... hii mikoa mingine ingekataa kuwa sehemu ya tanzania nazani tungepata ka nchi ndani ya nchi nyingine, yaani nchi iliyo zungukwa na nchi moja pande zote... kama lethoto nk...
Magufuli ndio raisi mbovu hajawahi kutokea Tanzania,hivi sasa watanzania wamegawanyika kidini na kikabila mambo kama haya hayajawahi kuwepo Tz,Mauaji ya kisiasa ni kitu kipya kabisa TZNatumaini ulichokiandika unakielewa vizuri, Tanzania ya enzi za uhuru sio hii ya Magufuli.
Natumaini unaelewa nguvu ya ubepari na ujamaa iliyokuwepo enzi zile za miaka ya 1960, Lumumba aliuwawa na ushahidi mpaka leo haujapatikana.
Mkuu lakini si hizi nchi zimeungana kama Zanzibar imeshawahi kutoa raisi wa Tanzania kwanini ajira kama hizo waspewe wazanzibari,mkuu wa majeshi au wa Polisi awe anatoka Mjini Magharib,kuna ubaya gani..?Ahahahaha eti ajira ya mkuu wa majeshi, mkuu wa polisi , mkuu wa magereza....Akili ndogo sana wewe, embu tueleze na sisi tunawezaje kuomba hizo ajira hapo juu ,......Kwa mawazo haya mtaburuzwa mpaka pale mtakapojitambua.