Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Unajiaibisha sana kusifia wakoloni. Any way chama chenu mna damu ya kusifia mabeberu na kuwapenda.Hata treni ya Mkoloni tunapanda mpaka leo. Kumbe tulikodi Bombardier, nilidhani ni bure. Kwa taarifa yako, hata precision air na fast jet kabla ya figisu tulizipanda sana.
Unajiaibisha sana kusifia wakoloni. Any way chama chenu mna damu ya kusifia mabeberu na kuwapenda.
Najua umewewesuka na maporomoko ya kisisasa ya Chadema.Kusema ukweli kuhusu wakoloni ni tofauti na kuwasifia. Nitakuwa mwendawazimu kujifanya nawachukia wakoloni, wakati weusi wenzetu wanafanya hivyo hivyo. Tena ni bora wakoloni kuliko kunyanyaswa na nyani wenzetu.
Sijawahi kushuhudia mtu takataka na mwendawazimu kama wewe tangu jf iumbwe!Rais wetu ni mwanademokrasia nyie Wapinzani acheni kutafuta sababu za uwongo
Km mmeshindwa hoja mjipange 2025
Vipi kuna mwingine ashachukua fomu ya kugombea au ni yule yule tu aliejiprintia yake mwenyewe?Demokrasia ndani ya CCM inawatesa wasiokuwa nayo.
Mkuu tindo hamchoki kunung'unika, kulalama, kushutumu, kulaumu, kujisheua na kulialia kutafuta huruma ya jamii ndani na nje?Kusema ukweli kuhusu wakoloni ni tofauti na kuwasifia. Nitakuwa mwendawazimu kujifanya nawachukia wakoloni, wakati weusi wenzetu wanafanya hivyo hivyo. Tena ni bora wakoloni kuliko kunyanyaswa na nyani wenzetu.
Mkuu tindo hamchoki kunung'unika, kulalama, kushutumu, kulaumu, kujisheua na kulialia kutafuta huruma ya jamii ndani na nje?
Lini mtaanzisha mada za kukijenga chama chenu kwa hoja zinazogusa jamii kwa ujumla badala ya hizo mnazodhani zinawajenga viongozi wenu, kumbe zinawadidimiza kama siyo kuwabomoa?
Kuna lipi upinzani umelifanyia Taifa hili japo kidogo, ikizingatiwa wana madiwani, wabunge kadhaa na wanaongoza Halmashauri za majiji ya TANZANIA?

Kabla Nyerere hajawa rais wakati yuko Tanu akipamana na wakoloni, alijenga madaraja na barabara ngapi mpaka wananchi wakamuamini wakampa nchi? Mkapa na Kikwete kuna miundombinu walijenga wakiwa madarakani, je wamejenga barabara za urefu gani baada ya kutoka madarakani, ili tujue ukiwa nje ya madaraka unaweza kujenga kitu cha maana?
Baada ya vyanzo vingi vya halmashauri kuchukuliwa na serikali kuu, hakuna chochote cha maana halmashauri zinaeweza kufanya, zaidi ya kusubiri pesa serekali kuu, na hizo hela zikienda kwenye halmashauri, ndio hiyo inaitwa kasi ya serikali ya Magufuli. Hilli wala halihitaji Elimu ya chuo kikuu kulifahamu.
Hatushutumu bali tunaweka wazi ukweli. Kuna tofauti ya kulalamika, kunung'unika nk. Sisi tunasema wazi serikali hii ya awamu ya tano, ina viongozi wenye ulevi na matumizi mabaya ya madaraka.
Bahatimbaya sisi watanganyika ni viumbe, wazito kufahamu ndio maana huu utopolo wake unaendelea kila siku.Tumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapokuja swala la mitazamo ya kisiasa, kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi.
Tofauti na viongozi wengine, hata marais waliopita, Mheshimiwa hapa amefeli na inaonyesha anafanya makusudi.
Jana akiwa Msoga, diwani wa hilo eneo aliitwa atoe kero. Mh akadhani ni diwani toka chama cha Chadema kwa sababu hakuvaa sare ya CCM, akaamuru anyang'anywe mic na maneno makali juu lakini baada ya kuuliza chama gani akaambiwa ni wa CCM, mara moja akaamuru arudishiwe mic na aendelee kuongea.
Leo tarehe 29 June 2020 akiwa Kilosa akaanza kumponda mbunge wa eneo na kusema wananchi wa eneo hilo wanachagua kwa jazba akiamini mbunge wa eneo hilo ni wa Chadema. Anaongeza kwa kusema yeye angekua mbunge wa eneo hilo angekua amemaliza changamoto zote ila kwa sababu wananchi wanachagua kwa jazba na wanachagua wabunge sio, ndio maana bado changamoto zipo.
Baadaye akauliza mbunge wa hapo anaitwa nani na wa chama gani? Wananchi wakamtaja na kumwambia anatoka chama chamapinduzi. Bila hata aibu akaanza kumsifia na kuahidi kuzimaliza changamoto hizo akisadiwa na waziri husika.
Wananchi wa Tanzania sio watoto wanajua na wanaelewa vizuri, wao wanapendana bola kujali vyama, dini wala kabila lakini bado kuna viongozi karne hii wanasimamia ubaguzi.
Naamini mh Rais ana nia njema na Tanzania, lakini bado ana nafasi ya kuondoa hurka hii ya ubaguzi hata kama chadema walimpa wakati mgumu 2015.
Rais ndio kiungo pekee cha kuwaunganisha Watanzania.
Sio sababu ya yeye kuendelea kubagua vyama vya upinzani hali kazi zake alizo zifanya zinaonekana.
Haya mambo madogodogo yanamuondolea kitu fulani kama kiongozi.
Tuungane kuupinga ubaguzi. Na asilazimishe vyama vya upinzania kupata ajenda.
View attachment 1493226
Prof Jay
View attachment 1493227
Anaendekeza siasa za kishamba sana. Mbaya zaidi eti ni PhD holder [emoji1][emoji1][emoji1]Yeye alikuwa mbunge wa chato toka 95, je alimaliza changamoto zao? Tena wananchi wake waliwahi kumpa Kero ya barabara, akawaambia wanye watandaze mavi yawe lami.
Demokrasia ya lumumba fomu imetoka moja tuRais wetu ni mwanademokrasia nyie Wapinzani acheni kutafuta sababu za uwongo
Km mmeshindwa hoja mjipange 2025
Kwa sasa Magufuli Pombe ya kienyeji anafanya kazi nzuri.Tumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapokuja swala la mitazamo ya kisiasa, kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi.
Tofauti na viongozi wengine, hata marais waliopita, Mheshimiwa hapa amefeli na inaonyesha anafanya makusudi.
Jana akiwa Msoga, diwani wa hilo eneo aliitwa atoe kero. Mh akadhani ni diwani toka chama cha Chadema kwa sababu hakuvaa sare ya CCM, akaamuru anyang'anywe mic na maneno makali juu lakini baada ya kuuliza chama gani akaambiwa ni wa CCM, mara moja akaamuru arudishiwe mic na aendelee kuongea.
Leo tarehe 29 June 2020 akiwa Kilosa akaanza kumponda mbunge wa eneo na kusema wananchi wa eneo hilo wanachagua kwa jazba akiamini mbunge wa eneo hilo ni wa Chadema. Anaongeza kwa kusema yeye angekua mbunge wa eneo hilo angekua amemaliza changamoto zote ila kwa sababu wananchi wanachagua kwa jazba na wanachagua wabunge sio, ndio maana bado changamoto zipo.
Baadaye akauliza mbunge wa hapo anaitwa nani na wa chama gani? Wananchi wakamtaja na kumwambia anatoka chama chamapinduzi. Bila hata aibu akaanza kumsifia na kuahidi kuzimaliza changamoto hizo akisadiwa na waziri husika.
Wananchi wa Tanzania sio watoto wanajua na wanaelewa vizuri, wao wanapendana bola kujali vyama, dini wala kabila lakini bado kuna viongozi karne hii wanasimamia ubaguzi.
Naamini mh Rais ana nia njema na Tanzania, lakini bado ana nafasi ya kuondoa hurka hii ya ubaguzi hata kama chadema walimpa wakati mgumu 2015.
Rais ndio kiungo pekee cha kuwaunganisha Watanzania.
Sio sababu ya yeye kuendelea kubagua vyama vya upinzani hali kazi zake alizo zifanya zinaonekana.
Haya mambo madogodogo yanamuondolea kitu fulani kama kiongozi.
Tuungane kuupinga ubaguzi. Na asilazimishe vyama vya upinzania kupata ajenda.
View attachment 1493226
Prof Jay
View attachment 1493227
Ni ulimbukeni tuu na ushamba bado vina mtesaaHio ya Kilosa leo niliona nikashangaa sana. Jamaa anaonyesha chuki ya wazi kabisa, halafu alipouliza ni wa chama gani alipoambiwa CCM akazuga.
Wanafiki,wazandiki na madikteta ndio walivyoHuwa nashangaa kanisani anafata nini
PumbafRais wetu ni mwanademokrasia nyie Wapinzani acheni kutafuta sababu za uwongo
Km mmeshindwa hoja mjipange 2025
Jibu hojaMleta mada huna hoja kabisa, unakalia majungu, mwageni data mmefanya nini tangu 2015? Mmekosa vitu vya kusema mmebakiza majungu, mnasubiri Jemedari wetu kasema nini ndiyo mnapata vya kuongea,