Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mbaguzi sana huyu mzee ndiyo maana hafanikiwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi maskini tunaamini Rais pekee ndiyo ana akili timamu na anajua kila kituWatu wenye akili za kipumbavu kama nyie ndo mnao chelewesha maendeleo ya hii nchi, mmekalia kichamachama tu kisa tu kuna mahala unanufaika na vijisent kidogo.yaan kwa akili ya kawaida kabisa mnaona ni haki watu walochagua upinzani wasitatuliwe kero zao, wakat Watu hao wanalipa kodi.kwani hela zainazotumika kutatua hizo kero niza Chama Tawala/za Rais?acheni akili za kipumbavu badilikeni. Sijui hata kama huwa mnawaza kuibadilisha katiba kumpunguzia nguvu Rais? Rais hatakiwi kuwa final say kwa kila jambo, kuna mambo anatakiwa hawez kuyagusa kabisa kama ilivyo kwa Marekani au nchi zilizoendelea. Leo hii wamarekani hawampendi Trump lakini kutokana na katiba Yao ilivyo swala la maendeo Rais halimuhusu ndomana unaona Marekani iko vizuri kila state.sasa tukija kwetu hapa maendeleowyanapelekwa kwenye maeneo ya Chama Tawala, kama sio chama Tawala hamletewi maendeleo utafkiri hizo hela niza Chama/Rais na bado kuna mijitu kama nyie mnafurahia, mijitu kama nyie sijui kwanini Corona inawaacha mpaka Leo.
Amebaki kudhalilisha watu. OverNaona na wewe pia uwe muwazi na kulisema hili, Magufuli huwa hana busara wala hekima!. Katika matukio hayo mawili hebu angalia jinsi alivyo zuga baada ya kubaini kuwa kachanganya madesa..
Huo Upendo jamaa yetu hanaNingekuwa mimi ningewadhoofisha wapinzani kwa kuwapenda na sio kuwachukia,kila mtu ana mbinu zake.
Mbowe Lissu Mnyika Mdee Matiku Bulaya Msigwa Sugu Lema Sosopi njooni ikulu tuzungumze kuhusu mustakabali wa nchi yetu.
Maaalim Sefu Zitto Jussa Duni kujeni ikulu tuzungumze mawili matatu hii nchi ni yetu sote.
Bungeni nako hivyohivyo spika anakuwa Shehe naibu spika askofu
Hata uzugaji wake ulikuwa wa kiboya kweli, hata mtoto anaona.Amebaki kudhalilisha watu. Over
Hujui usemalo kwani akili zako ni za kupandia kitandani tu.Rais wetu ni mwanademokrasia nyie Wapinzani acheni kutafuta sababu za uwongo
Km mmeshindwa hoja mjipange 2025
Usimfananishe Elbashir na JPM. Kama ungekuwa kwenye umati wa watu wangekupiga mawe. Huyu ni kiongozi wa namna ya pekee.Hata Elibashir wa Sudan alikuwa na watetezi wapanga pointi kama za kwako.
Jukumu la serikali ni kukisanya kodi kisha kutumia kwani maendeleo ya wananchi, hakuna chama chochote chenye jukumu la kuzitumia kodi za wananchi, ni mjinga tu ambaye haelewi hili.Mleta mada huna hoja kabisa, unakalia majungu, mwageni data mmefanya nini tangu 2015? Mmekosa vitu vya kusema mmebakiza majungu, mnasubiri Jemedari wetu kasema nini ndiyo mnapata vya kuongea,
Dah..mkuu hii ni kweli?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yeye alikuwa mbunge wa chato toka 95, je alimaliza changamoto zao? Tena wananchi wake waliwahi kumpa Kero ya barabara, akawaambia wanye watandaze mavi yawe lami.
Jukumu la serikali ni kukisanya kodi kisha kutumia kwani maendeleo ya wananchi, hakuna chama chochote chenye jukumu la kuzitumia kodi za wananchi, ni mjinga tu ambaye haelewi hili.
Ni Rais wa nchi,iko hivyo miaka yote na itaendelea kuwa hivyo!Kila kona ya nchi Dkt Magufuli anahitajika akahutubie, kila anapopita watu nyomi
Usimfananishe Elbashir na JPM. Kama ungekuwa kwenye umati wa watu wangekupiga mawe. Huyu ni kiongozi wa namna ya pekee.
tindo hivi hata kwa akili ya kawaida unaweza kumfananisha Elbashir na JPM? Mtu ambae anajitolea kuwaletea maendeleo watanzania! Maana hata hizo tril 7 zinazojenga JNHPP angeamua kuzitia mfukoni msingejua chochote. Lakini uadilifu wake utawaletea neema watanzania.Hata Elbashir alikuwa na wapambe kama ww, na hiyo ndio sababu alikaa madarakani miaka 30. Na wakati Elbashir yuko kwenye madaraka, ingetokea umuongelee tofauti, wafuasi wake wangekupiga mawe. So hiki unachotetea hapa sio kigeni.
tindo hivi hata kwa akili ya kawaida unaweza kumfananisha Elbashir na JPM? Mtu ambae anajitolea kuwaletea maendeleo watanzania! Maana hata hizo tril 7 zinazojenga JNHPP angeamua kuzitia mfukoni msingejua chochote. Lakini uadilifu wake utawaletea neema watanzania.
Kwani hapa Tanzania tunatawaliwa na dikteta mpaka useme hamna uhuru? Hii nchi inatawaliwa kwa misingi ya Katiba na sheria za nchi. Kuleta maendeleo lazima kuendane na utawala wa sheria, ndio maana upo hapo unatoa maoni yako bila bugudha.Inaonekana hujui unaloongea nadhani, nenda Sudan ukaangalie kama Elbashir naye hujafanya miradi ya maendeleo. Hivi unadhani unaweza ukawa kiongozi wa nchi na usitekeleze mradi wowote wa maendeleo? Kama miradi ya maendeleo ndio inaonyesha kujitokea, basi wazungu waliojenga reli, tena zaidi ya moja, ranchi, mashule, hospitali nk, hao walijitolea sana. Inaonekana hujui tofauti ya wajibu na kujitolea. Leo hii Mkapa, Kikwete au Mwinyi wakitekeleza mradi wa maendeleo ndio watakuwa wamejitolea maana hawako madarakani.
Nenda Ethiopia hapo, utawala uliopita umefanya miradi mikubwa ya maendeleo, wana shirika kubwa la ndege nk. Je utawala wao ulikuwa unawafanya nini wananchi wak? Kiongozi mpya wa Ethiopia alipoingia juzi madarakani si ndio karudisha uhuru wa wananchi wake.
tindo hivi hata kwa akili ya kawaida unaweza kumfananisha Elbashir na JPM? Mtu ambae anajitolea kuwaletea maendeleo watanzania! Maana hata hizo tril 7 zinazojenga JNHPP angeamua kuzitia mfukoni msingejua chochote. Lakini uadilifu wake utawaletea neema watanzania.
Tumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapokuja swala la mitazamo ya kisiasa, kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi.
Tofauti na viongozi wengine, hata marais waliopita, Mheshimiwa hapa amefeli na inaonyesha anafanya makusudi.
Jana akiwa Msoga, diwani wa hilo eneo aliitwa atoe kero. Mh akadhani ni diwani toka chama cha Chadema kwa sababu hakuvaa sare ya CCM, akaamuru anyang'anywe mic na maneno makali juu lakini baada ya kuuliza chama gani akaambiwa ni wa CCM, mara moja akaamuru arudishiwe mic na aendelee kuongea.
Leo tarehe 29 June 2020 akiwa Kilosa akaanza kumponda mbunge wa eneo na kusema wananchi wa eneo hilo wanachagua kwa jazba akiamini mbunge wa eneo hilo ni wa Chadema. Anaongeza kwa kusema yeye angekua mbunge wa eneo hilo angekua amemaliza changamoto zote ila kwa sababu wananchi wanachagua kwa jazba na wanachagua wabunge sio, ndio maana bado changamoto zipo.
Baadaye akauliza mbunge wa hapo anaitwa nani na wa chama gani? Wananchi wakamtaja na kumwambia anatoka chama chamapinduzi. Bila hata aibu akaanza kumsifia na kuahidi kuzimaliza changamoto hizo akisadiwa na waziri husika.
Wananchi wa Tanzania sio watoto wanajua na wanaelewa vizuri, wao wanapendana bola kujali vyama, dini wala kabila lakini bado kuna viongozi karne hii wanasimamia ubaguzi.
Naamini mh Rais ana nia njema na Tanzania, lakini bado ana nafasi ya kuondoa hurka hii ya ubaguzi hata kama chadema walimpa wakati mgumu 2015.
Rais ndio kiungo pekee cha kuwaunganisha Watanzania.
Sio sababu ya yeye kuendelea kubagua vyama vya upinzani hali kazi zake alizo zifanya zinaonekana.
Haya mambo madogodogo yanamuondolea kitu fulani kama kiongozi.
Tuungane kuupinga ubaguzi. Na asilazimishe vyama vya upinzania kupata ajenda.
Prof Jay
Tumia common sense. Unaweza kuwafananisha JPM na Elbashir? Kama viongozi wanaolingana kimaadili?JPM ni chamtoto kwa elbashiri.. nenda sudan kaone maendeleo aliyo yaleta elbashiri.. sudan ni nusu dubai