Ubaguzi wa kisiasa anaouonesha Magufuli hadi CCM wenyewe wanamshangaa

Hata treni ya Mkoloni tunapanda mpaka leo. Kumbe tulikodi Bombardier, nilidhani ni bure. Kwa taarifa yako, hata precision air na fast jet kabla ya figisu tulizipanda sana.
Unajiaibisha sana kusifia wakoloni. Any way chama chenu mna damu ya kusifia mabeberu na kuwapenda.
 
Kusema ukweli kuhusu wakoloni ni tofauti na kuwasifia. Nitakuwa mwendawazimu kujifanya nawachukia wakoloni, wakati weusi wenzetu wanafanya hivyo hivyo. Tena ni bora wakoloni kuliko kunyanyaswa na nyani wenzetu.
 
Najua umewewesuka na maporomoko ya kisisasa ya Chadema.
 
Kusema ukweli kuhusu wakoloni ni tofauti na kuwasifia. Nitakuwa mwendawazimu kujifanya nawachukia wakoloni, wakati weusi wenzetu wanafanya hivyo hivyo. Tena ni bora wakoloni kuliko kunyanyaswa na nyani wenzetu.
Mkuu tindo hamchoki kunung'unika, kulalama, kushutumu, kulaumu, kujisheua na kulialia kutafuta huruma ya jamii ndani na nje?

Lini mtaanzisha mada za kukijenga chama chenu kwa hoja zinazogusa jamii kwa ujumla badala ya hizo mnazodhani zinawajenga viongozi wenu, kumbe zinawadidimiza kama siyo kuwabomoa?

Kuna lipi upinzani umelifanyia Taifa hili japo kidogo, ikizingatiwa wana madiwani, wabunge kadhaa na wanaongoza Halmashauri za majiji ya TANZANIA?
 
Kwani makabulu hawakujenga barabara?, hawakujenga reli? Jambo la.msingi hapa tumapinga ubaguzi
Mkuu tindo hamchoki kunung'unika, kulalama, kushutumu, kulaumu, kujisheua na kulialia kutafuta huruma ya jamii ndani na nje?

Lini mtaanzisha mada za kukijenga chama chenu kwa hoja zinazogusa jamii kwa ujumla badala ya hizo mnazodhani zinawajenga viongozi wenu, kumbe zinawadidimiza kama siyo kuwabomoa?

Kuna lipi upinzani umelifanyia Taifa hili japo kidogo, ikizingatiwa wana madiwani, wabunge kadhaa na wanaongoza Halmashauri za majiji ya TANZANIA?
 
Mkuu tindo hamchoki kunung'unika, kulalama, kushutumu, kulaumu, kujisheua na kulialia kutafuta huruma ya jamii ndani na nje?

Lini mtaanzisha mada za kukijenga chama chenu kwa hoja zinazogusa jamii kwa ujumla badala ya hizo mnazodhani zinawajenga viongozi wenu, kumbe zinawadidimiza kama siyo kuwabomoa?

Kuna lipi upinzani umelifanyia Taifa hili japo kidogo, ikizingatiwa wana madiwani, wabunge kadhaa na wanaongoza Halmashauri za majiji ya TANZANIA?

Kabla Nyerere hajawa rais wakati yuko Tanu akipamana na wakoloni, alijenga madaraja na barabara ngapi mpaka wananchi wakamuamini wakampa nchi? Mkapa na Kikwete kuna miundombinu walijenga wakiwa madarakani, je wamejenga barabara za urefu gani baada ya kutoka madarakani, ili tujue ukiwa nje ya madaraka unaweza kujenga kitu cha maana?

Baada ya vyanzo vingi vya halmashauri kuchukuliwa na serikali kuu, hakuna chochote cha maana halmashauri zinaeweza kufanya, zaidi ya kusubiri pesa serekali kuu, na hizo hela zikienda kwenye halmashauri, ndio hiyo inaitwa kasi ya serikali ya Magufuli. Hilli wala halihitaji Elimu ya chuo kikuu kulifahamu.

Hatushutumu bali tunaweka wazi ukweli. Kuna tofauti ya kulalamika, kunung'unika nk. Sisi tunasema wazi serikali hii ya awamu ya tano, ina viongozi wenye ulevi na matumizi mabaya ya madaraka.
 
Alishasema yeye kichaa ....apelekwe Mirembe ndio maana anataka kukaa Dodoma
 
Tabutupu

Nakubaliana na wewe na kwamba ni wajibu wa Serikali kufanya hayo. Lakini la msingi lawama au kukosoa kuwe ni kama Serikali hatimizi wajibu huo wakati ndiyo inakusanya kodi.

Kukosoa pia kuwe ni kuhusu vipaumbele vya maendeleo km badala ya madaja hiyo pesa ingetumika kwa shughuli nyingine.

Tunachokisikia kutoka upinzani ni lawama tu, toka macheo hadi machweo. Tunahitaji kusikia kitu tofauti na hata hiyo fedha kidogo inayofika Halmashauri zinazongozwa ba upinzani itumike kwa vipaumbele vya maendeleo tofauti na vya Serikali, , vyenye tija zaidi.
 
Tumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapokuja swala la mitazamo ya kisiasa, kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi.

Tofauti na viongozi wengine, hata marais waliopita, Mheshimiwa hapa amefeli na inaonyesha anafanya makusudi.

Jana akiwa Msoga, diwani wa hilo eneo aliitwa atoe kero. Mh akadhani ni diwani toka chama cha Chadema kwa sababu hakuvaa sare ya CCM, akaamuru anyang'anywe mic na maneno makali juu lakini baada ya kuuliza chama gani akaambiwa ni wa CCM, mara moja akaamuru arudishiwe mic na aendelee kuongea.

Leo tarehe 29 June 2020 akiwa Kilosa akaanza kumponda mbunge wa eneo na kusema wananchi wa eneo hilo wanachagua kwa jazba akiamini mbunge wa eneo hilo ni wa Chadema. Anaongeza kwa kusema yeye angekua mbunge wa eneo hilo angekua amemaliza changamoto zote ila kwa sababu wananchi wanachagua kwa jazba na wanachagua wabunge sio, ndio maana bado changamoto zipo.

Baadaye akauliza mbunge wa hapo anaitwa nani na wa chama gani? Wananchi wakamtaja na kumwambia anatoka chama chamapinduzi. Bila hata aibu akaanza kumsifia na kuahidi kuzimaliza changamoto hizo akisadiwa na waziri husika.

Wananchi wa Tanzania sio watoto wanajua na wanaelewa vizuri, wao wanapendana bola kujali vyama, dini wala kabila lakini bado kuna viongozi karne hii wanasimamia ubaguzi.

Naamini mh Rais ana nia njema na Tanzania, lakini bado ana nafasi ya kuondoa hurka hii ya ubaguzi hata kama chadema walimpa wakati mgumu 2015.

Rais ndio kiungo pekee cha kuwaunganisha Watanzania.

Sio sababu ya yeye kuendelea kubagua vyama vya upinzani hali kazi zake alizo zifanya zinaonekana.

Haya mambo madogodogo yanamuondolea kitu fulani kama kiongozi.

Tuungane kuupinga ubaguzi. Na asilazimishe vyama vya upinzania kupata ajenda.

View attachment 1493226

Prof Jay
View attachment 1493227
Bahatimbaya sisi watanganyika ni viumbe, wazito kufahamu ndio maana huu utopolo wake unaendelea kila siku.

Amekua mbunge wa chato miaka chungu zima, ila shida za wanachato bado zipo, baada ya urais ndio heka heka za maendeleo zimehamia chato. Ila kwa unafiki wake na uongooo ulio pitililiza kipimo cha utu uzima anaendeleza gilba zake.

Katika umri wangu huu sijawahi ona rais muongo nalaghai kwa kiwango hiki.

Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
 
Yeye alikuwa mbunge wa chato toka 95, je alimaliza changamoto zao? Tena wananchi wake waliwahi kumpa Kero ya barabara, akawaambia wanye watandaze mavi yawe lami.
Anaendekeza siasa za kishamba sana. Mbaya zaidi eti ni PhD holder [emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
 
Tumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapokuja swala la mitazamo ya kisiasa, kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi.

Tofauti na viongozi wengine, hata marais waliopita, Mheshimiwa hapa amefeli na inaonyesha anafanya makusudi.

Jana akiwa Msoga, diwani wa hilo eneo aliitwa atoe kero. Mh akadhani ni diwani toka chama cha Chadema kwa sababu hakuvaa sare ya CCM, akaamuru anyang'anywe mic na maneno makali juu lakini baada ya kuuliza chama gani akaambiwa ni wa CCM, mara moja akaamuru arudishiwe mic na aendelee kuongea.

Leo tarehe 29 June 2020 akiwa Kilosa akaanza kumponda mbunge wa eneo na kusema wananchi wa eneo hilo wanachagua kwa jazba akiamini mbunge wa eneo hilo ni wa Chadema. Anaongeza kwa kusema yeye angekua mbunge wa eneo hilo angekua amemaliza changamoto zote ila kwa sababu wananchi wanachagua kwa jazba na wanachagua wabunge sio, ndio maana bado changamoto zipo.

Baadaye akauliza mbunge wa hapo anaitwa nani na wa chama gani? Wananchi wakamtaja na kumwambia anatoka chama chamapinduzi. Bila hata aibu akaanza kumsifia na kuahidi kuzimaliza changamoto hizo akisadiwa na waziri husika.

Wananchi wa Tanzania sio watoto wanajua na wanaelewa vizuri, wao wanapendana bola kujali vyama, dini wala kabila lakini bado kuna viongozi karne hii wanasimamia ubaguzi.

Naamini mh Rais ana nia njema na Tanzania, lakini bado ana nafasi ya kuondoa hurka hii ya ubaguzi hata kama chadema walimpa wakati mgumu 2015.

Rais ndio kiungo pekee cha kuwaunganisha Watanzania.

Sio sababu ya yeye kuendelea kubagua vyama vya upinzani hali kazi zake alizo zifanya zinaonekana.

Haya mambo madogodogo yanamuondolea kitu fulani kama kiongozi.

Tuungane kuupinga ubaguzi. Na asilazimishe vyama vya upinzania kupata ajenda.

View attachment 1493226

Prof Jay
View attachment 1493227
Kwa sasa Magufuli Pombe ya kienyeji anafanya kazi nzuri.
 
Back
Top Bottom