Cdm noma sana dah! Akili imewaruka watuMleta mada huna hoja kabisa, unakalia majungu, mwageni data mmefanya nini tangu 2015?? Mmekosa vitu vya kusema mmebakiza majungu, mnasubiri Jemedari wetu kasema nini ndiyo mnapata vya kuongea,
😂😂Mkuu wewe una muongelea Magufuli baba Jesca au Magufuli rais na mkuu wa nchi? Kama unamuongelea Magufuli rais na mkuu wa nchi ya Tanzania na huoni tatizo kwenye hiyo mikutano miwili aliyofanya basi nakushauri ukapime corona,utakuwa unaumwa
Asante kwa kujibu hojaRais wetu ni mwanademokrasia nyie Wapinzani acheni kutafuta sababu za uwongo
Km mmeshindwa hoja mjipange 2025
Mkuu Kama upinzani wa Tanzania ndo huu wa kujitoa ufahamu,Basi tubadiri tu katiba turudi kwenye chama kimoja😂😂
Hapana mkuu, Niko imara ki Afya namshukuru Mungu! Ila tu hii ndio maana ya Upinzani mkuu
Sasa kama alinyang'anywa mic kwa kuwa alikuwa akipoteza muda ni kwanini alirudishiwa baada ya kuonekana ni diwani wa ccm??Ila hapo aliponyang'anywa mic si kwasababu alimuadentify kama ni diwani wa chama gani bali ni kwasababu huyo mzee anazunguka sana kujielezea.....
Raisi amekuja kwa ziara ya kushtukiza yeye anaanza kutoa salamu kwa ndugu na jamaa badala ya kwenda straight kwenye point iliyomleta anazunguka na kuleta mambo ya chama cha mapinduzi.....
Nyoosha maelezo, NASHUKURU MHESHIMIWA AND RAIS. CHANGAMOTO ZA WANANCHI ENEO LETU NI MOJA MBILI TATU, SISI KAMA VIONGOZI TUMEFANYA MOJA MBILI TATU KUKABIRIANA NA CHANGAMOTO HIZO NA TUMEKWAMIA HAPA.....
Sasa yeye anaanza, magufuri hoyeeeeeee kwann asishushuriwe....
Tuna kiongozi wa hovyo zaidi kuwahi kutokea na ni hatari kwa amani ya nchi yetu.Tumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapo kuja swala la mitazamo ya kisiasa kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi.
Tofauti na viongozi wenyine hata marais waliopita, Mh hapa amefeli na inaonyesha anafanya makusidi.
Jana akiwa msoga diwani wa hilo eneo aliitwa atoe kero, Mh akadhani ni diwani toka chama cha chadema kwa sababu hakuvaa sare ya ccm, akaamuru anyang'anywe mic na maneno makali juu lakini baada ya kuuliza chama gani akaambiwa ni wa ccm, mara moja akaamuru arudishiwe mic na aendelee kuongea.
Leo tarehe 29 June 2020 akiwa kilosa akaanza kumponda mbunge wa eneo na kusema wananchi wa eneo hilo wanachagua kwa jazba akiamini mbunge wa eneo hilo ni qa chadema. Anaongeza kwa kusema yeye angekua mbunge wa eneo hilo angekua amemaliza changamoto zote ila kwa sababu wananchi wanachagua kwa jazba na wanachagua wabunge sio ndio maana bado changamoto zipo.
Baadae akauliza mbunge wa hapo anaitwa nani na wa chama gani? Wananchi wakamtaja na kumwambia anatoka chama chamapinduzi.. Bila hata aibu akaanza kumsifia na kuahidi kuzimaliza changamoto hizo akisadiwa na waziri husika.
Wananchi wa Tanzania sio watoto wanajua na wanaelewa vizuri, wao wanapendana bola kujali vyama, dini wala kabila lakini bado kuna viongozi karne hii wanasimamia ubaguzi.
Naamini mh Rais ana nia njema na Tanzania, lakini bado ana nafasi ya kuondoa hurka hii ya ubaguzi hata kama chadema walimpa wakati mgumu 2015.
Rais ndio kiungo pekee cha kuwaunganisha watanzania .
Sio sababu ya yeye kuendelea kubagua vyama vya upinzani hali kazi zake alizo zifanya zinaonekana.
Haya mambo madogodogo yanamuondolea kitu fulani kama kiongozi.
Tuungane kuupinga ubaguzi. Na asilazimishe vyama vya upinzania kupata ajenda
Prof Jay
Huyu Nduli mnafiki sana huyu mkimuacha awamu ya pili mtalia machozi.Huwa nashangaa kanisani anafata nini
Huyu Nduli mnafiki sana huyu mkimuacha awamu ya pili mtalia machozi.
Tuendelee kuwaelimisha wenzetu manake kuna ujinga mwingi mno kati ya watu.Twamtoaje?
Tuendelee kuwaelimisha wenzetu manake kuna ujinga mwingi mno kati ya watu.
acha uwongo jamaa alitaka kutumi muda vibaya, katakiwa aseme shida za soga yeye anashikashika kiuno tuTumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapo kuja swala la mitazamo ya kisiasa kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi.
Tofauti na viongozi wenyine hata marais waliopita, Mh hapa amefeli na inaonyesha anafanya makusidi.
Jana akiwa msoga diwani wa hilo eneo aliitwa atoe kero, Mh akadhani ni diwani toka chama cha chadema kwa sababu hakuvaa sare ya ccm, akaamuru anyang'anywe mic na maneno makali juu lakini baada ya kuuliza chama gani akaambiwa ni wa ccm, mara moja akaamuru arudishiwe mic na aendelee kuongea.
Leo tarehe 29 June 2020 akiwa kilosa akaanza kumponda mbunge wa eneo na kusema wananchi wa eneo hilo wanachagua kwa jazba akiamini mbunge wa eneo hilo ni qa chadema. Anaongeza kwa kusema yeye angekua mbunge wa eneo hilo angekua amemaliza changamoto zote ila kwa sababu wananchi wanachagua kwa jazba na wanachagua wabunge sio ndio maana bado changamoto zipo.
Baadae akauliza mbunge wa hapo anaitwa nani na wa chama gani? Wananchi wakamtaja na kumwambia anatoka chama chamapinduzi.. Bila hata aibu akaanza kumsifia na kuahidi kuzimaliza changamoto hizo akisadiwa na waziri husika.
Wananchi wa Tanzania sio watoto wanajua na wanaelewa vizuri, wao wanapendana bola kujali vyama, dini wala kabila lakini bado kuna viongozi karne hii wanasimamia ubaguzi.
Naamini mh Rais ana nia njema na Tanzania, lakini bado ana nafasi ya kuondoa hurka hii ya ubaguzi hata kama chadema walimpa wakati mgumu 2015.
Rais ndio kiungo pekee cha kuwaunganisha watanzania .
Sio sababu ya yeye kuendelea kubagua vyama vya upinzani hali kazi zake alizo zifanya zinaonekana.
Haya mambo madogodogo yanamuondolea kitu fulani kama kiongozi.
Tuungane kuupinga ubaguzi. Na asilazimishe vyama vya upinzania kupata ajenda
Prof Jay
Demokrasia hiyo, ya mtu mmoja kusema uteuzi wako, utategemea nimeamkaje?!! Hahaaaa!! Muulize yule shyrose banji!! yaani wana ccm wengi kwa sasa wana muogopa jiwe kuliko hata mungu!!Demokrasia ndani ya ccm inawatesa wasio kuwa nayo
Ningekuwa mimi ningewadhoofisha wapinzani kwa kuwapenda na sio kuwachukia,kila mtu ana mbinu zake.Chadema ni kitu kinachomnyima usingizi mwenyekiti wetu hilo wanaccm wote tunalitambua
Naona na wewe pia uwe muwazi na kulisema hili, Magufuli huwa hana busara wala hekima!. Katika matukio hayo mawili hebu angalia jinsi alivyo zuga baada ya kubaini kuwa kachanganya madesa..Jibu hoja kama ilivyo letwa..
video siipo umeweka angalia vizuri tena kisha eleze ulichoona na kuelewa,Kwa nini baada ya kuambiwa ni ccm akamrudisgia mic
Mleta mada huna hoja kabisa, unakalia majungu, mwageni data mmefanya nini tangu 2015? Mmekosa vitu vya kusema mmebakiza majungu, mnasubiri Jemedari wetu kasema nini ndiyo mnapata vya kuongea,