Ubaguzi wa kisiasa anaouonesha Magufuli hadi CCM wenyewe wanamshangaa

Ubaguzi wa kisiasa anaouonesha Magufuli hadi CCM wenyewe wanamshangaa

Mleta mada huna hoja kabisa, unakalia majungu, mwageni data mmefanya nini tangu 2015?? Mmekosa vitu vya kusema mmebakiza majungu, mnasubiri Jemedari wetu kasema nini ndiyo mnapata vya kuongea,
Cdm noma sana dah! Akili imewaruka watu
 
Mkuu wewe una muongelea Magufuli baba Jesca au Magufuli rais na mkuu wa nchi? Kama unamuongelea Magufuli rais na mkuu wa nchi ya Tanzania na huoni tatizo kwenye hiyo mikutano miwili aliyofanya basi nakushauri ukapime corona,utakuwa unaumwa
😂😂
Hapana mkuu, Niko imara ki Afya namshukuru Mungu! Ila tu hii ndio maana ya Upinzani mkuu
 
Ila hapo aliponyang'anywa mic si kwasababu alimuadentify kama ni diwani wa chama gani bali ni kwasababu huyo mzee anazunguka sana kujielezea.....

Raisi amekuja kwa ziara ya kushtukiza yeye anaanza kutoa salamu kwa ndugu na jamaa badala ya kwenda straight kwenye point iliyomleta anazunguka na kuleta mambo ya chama cha mapinduzi.....

Nyoosha maelezo, NASHUKURU MHESHIMIWA AND RAIS. CHANGAMOTO ZA WANANCHI ENEO LETU NI MOJA MBILI TATU, SISI KAMA VIONGOZI TUMEFANYA MOJA MBILI TATU KUKABIRIANA NA CHANGAMOTO HIZO NA TUMEKWAMIA HAPA.....

Sasa yeye anaanza, magufuri hoyeeeeeee kwann asishushuriwe....
Sasa kama alinyang'anywa mic kwa kuwa alikuwa akipoteza muda ni kwanini alirudishiwa baada ya kuonekana ni diwani wa ccm??
 
Tumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapo kuja swala la mitazamo ya kisiasa kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi.

Tofauti na viongozi wenyine hata marais waliopita, Mh hapa amefeli na inaonyesha anafanya makusidi.

Jana akiwa msoga diwani wa hilo eneo aliitwa atoe kero, Mh akadhani ni diwani toka chama cha chadema kwa sababu hakuvaa sare ya ccm, akaamuru anyang'anywe mic na maneno makali juu lakini baada ya kuuliza chama gani akaambiwa ni wa ccm, mara moja akaamuru arudishiwe mic na aendelee kuongea.

Leo tarehe 29 June 2020 akiwa kilosa akaanza kumponda mbunge wa eneo na kusema wananchi wa eneo hilo wanachagua kwa jazba akiamini mbunge wa eneo hilo ni qa chadema. Anaongeza kwa kusema yeye angekua mbunge wa eneo hilo angekua amemaliza changamoto zote ila kwa sababu wananchi wanachagua kwa jazba na wanachagua wabunge sio ndio maana bado changamoto zipo.

Baadae akauliza mbunge wa hapo anaitwa nani na wa chama gani? Wananchi wakamtaja na kumwambia anatoka chama chamapinduzi.. Bila hata aibu akaanza kumsifia na kuahidi kuzimaliza changamoto hizo akisadiwa na waziri husika.

Wananchi wa Tanzania sio watoto wanajua na wanaelewa vizuri, wao wanapendana bola kujali vyama, dini wala kabila lakini bado kuna viongozi karne hii wanasimamia ubaguzi.

Naamini mh Rais ana nia njema na Tanzania, lakini bado ana nafasi ya kuondoa hurka hii ya ubaguzi hata kama chadema walimpa wakati mgumu 2015.

Rais ndio kiungo pekee cha kuwaunganisha watanzania .

Sio sababu ya yeye kuendelea kubagua vyama vya upinzani hali kazi zake alizo zifanya zinaonekana.

Haya mambo madogodogo yanamuondolea kitu fulani kama kiongozi.

Tuungane kuupinga ubaguzi. Na asilazimishe vyama vya upinzania kupata ajenda

Prof Jay

Tuna kiongozi wa hovyo zaidi kuwahi kutokea na ni hatari kwa amani ya nchi yetu.
 
hayo mazuri aliyo yafanya kwanza hayapo kabaki kudhalilisha watu tu kwenye majukwaa kwa kutumia kofia ya madaraka aliyo nayo..

yeye anafanya kampeni huku wengine amewafunga mikono huku tukitegemea kuwa uchaguzi utakuwa huru na wahaki
 
Tumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapo kuja swala la mitazamo ya kisiasa kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi.

Tofauti na viongozi wenyine hata marais waliopita, Mh hapa amefeli na inaonyesha anafanya makusidi.

Jana akiwa msoga diwani wa hilo eneo aliitwa atoe kero, Mh akadhani ni diwani toka chama cha chadema kwa sababu hakuvaa sare ya ccm, akaamuru anyang'anywe mic na maneno makali juu lakini baada ya kuuliza chama gani akaambiwa ni wa ccm, mara moja akaamuru arudishiwe mic na aendelee kuongea.

Leo tarehe 29 June 2020 akiwa kilosa akaanza kumponda mbunge wa eneo na kusema wananchi wa eneo hilo wanachagua kwa jazba akiamini mbunge wa eneo hilo ni qa chadema. Anaongeza kwa kusema yeye angekua mbunge wa eneo hilo angekua amemaliza changamoto zote ila kwa sababu wananchi wanachagua kwa jazba na wanachagua wabunge sio ndio maana bado changamoto zipo.

Baadae akauliza mbunge wa hapo anaitwa nani na wa chama gani? Wananchi wakamtaja na kumwambia anatoka chama chamapinduzi.. Bila hata aibu akaanza kumsifia na kuahidi kuzimaliza changamoto hizo akisadiwa na waziri husika.

Wananchi wa Tanzania sio watoto wanajua na wanaelewa vizuri, wao wanapendana bola kujali vyama, dini wala kabila lakini bado kuna viongozi karne hii wanasimamia ubaguzi.

Naamini mh Rais ana nia njema na Tanzania, lakini bado ana nafasi ya kuondoa hurka hii ya ubaguzi hata kama chadema walimpa wakati mgumu 2015.

Rais ndio kiungo pekee cha kuwaunganisha watanzania .

Sio sababu ya yeye kuendelea kubagua vyama vya upinzani hali kazi zake alizo zifanya zinaonekana.

Haya mambo madogodogo yanamuondolea kitu fulani kama kiongozi.

Tuungane kuupinga ubaguzi. Na asilazimishe vyama vya upinzania kupata ajenda

Prof Jay

acha uwongo jamaa alitaka kutumi muda vibaya, katakiwa aseme shida za soga yeye anashikashika kiuno tu
 
Demokrasia ndani ya ccm inawatesa wasio kuwa nayo
Demokrasia hiyo, ya mtu mmoja kusema uteuzi wako, utategemea nimeamkaje?!! Hahaaaa!! Muulize yule shyrose banji!! yaani wana ccm wengi kwa sasa wana muogopa jiwe kuliko hata mungu!!
 
Fanya mazuri mengi sana,ila usije ukabugi ukaleta ubaguzi,mema yote yataoneka si kitu chochote,Kuna tofauti gani kati ya ubaguzi wa rangi na ubaguzi wa itikadi?(vyama vya siasa) kwangu mimi naona ubaguzi wa rangi na ubaguzi wa itikadi za vyama ni kitu kimoja,ubaguzi uliotia fora ni ule wa bunge la sabufa,inaniuma sana kuona ccm wanajiona wao ndio walioiumba Tanzania halafu wale wa vyama vingine wamepewa hifadhi na waumbaji,ukiwa mpenda haki na huna maslahi yoyote na Ccm kamwe huwezi kukubaliana na ubaguzi wa namna hii.
 
Chadema ni kitu kinachomnyima usingizi mwenyekiti wetu hilo wanaccm wote tunalitambua
Ningekuwa mimi ningewadhoofisha wapinzani kwa kuwapenda na sio kuwachukia,kila mtu ana mbinu zake.
Mbowe Lissu Mnyika Mdee Matiku Bulaya Msigwa Sugu Lema Sosopi njooni ikulu tuzungumze kuhusu mustakabali wa nchi yetu.
Maaalim Sefu Zitto Jussa Duni kujeni ikulu tuzungumze mawili matatu hii nchi ni yetu sote.
Bungeni nako hivyohivyo spika anakuwa Shehe naibu spika askofu
 
Je mleta mada hayo ni ya kweli? Kama ndivyo basi Tz imepoteza nafazi yake kimataifa! Maendeleo hayana chama sasa vipi tena ubaguzi wa wazi wazi?
 
Mleta mada huna hoja kabisa, unakalia majungu, mwageni data mmefanya nini tangu 2015? Mmekosa vitu vya kusema mmebakiza majungu, mnasubiri Jemedari wetu kasema nini ndiyo mnapata vya kuongea,

Watu wenye akili za kipumbavu kama nyie ndo mnao chelewesha maendeleo ya hii nchi, mmekalia kichamachama tu kisa tu kuna mahala unanufaika na vijisent kidogo.yaan kwa akili ya kawaida kabisa mnaona ni haki watu walochagua upinzani wasitatuliwe kero zao, wakat Watu hao wanalipa kodi.kwani hela zainazotumika kutatua hizo kero niza Chama Tawala/za Rais?acheni akili za kipumbavu badilikeni. Sijui hata kama huwa mnawaza kuibadilisha katiba kumpunguzia nguvu Rais? Rais hatakiwi kuwa final say kwa kila jambo, kuna mambo anatakiwa hawez kuyagusa kabisa kama ilivyo kwa Marekani au nchi zilizoendelea. Leo hii wamarekani hawampendi Trump lakini kutokana na katiba Yao ilivyo swala la maendeo Rais halimuhusu ndomana unaona Marekani iko vizuri kila state.sasa tukija kwetu hapa maendeleowyanapelekwa kwenye maeneo ya Chama Tawala, kama sio chama Tawala hamletewi maendeleo utafkiri hizo hela niza Chama/Rais na bado kuna mijitu kama nyie mnafurahia, mijitu kama nyie sijui kwanini Corona inawaacha mpaka Leo.
 
Back
Top Bottom