Ubaguzi wa kisiasa anaouonesha Magufuli hadi CCM wenyewe wanamshangaa

Nchi maskini tunaamini Rais pekee ndiyo ana akili timamu na anajua kila kitu
 
Huo Upendo jamaa yetu hana
 
Rais wetu ni mwanademokrasia nyie Wapinzani acheni kutafuta sababu za uwongo
Km mmeshindwa hoja mjipange 2025
Hujui usemalo kwani akili zako ni za kupandia kitandani tu.
Ubaguzi wa kiitikadi
ukandamizaji wa wapinzani
kuua demokrasia
ukanda

ukabila
ni mambo ambayo yametamalaki sana awamu hii na ni dalili mbaya kabisa tuendako.
 
Mleta mada huna hoja kabisa, unakalia majungu, mwageni data mmefanya nini tangu 2015? Mmekosa vitu vya kusema mmebakiza majungu, mnasubiri Jemedari wetu kasema nini ndiyo mnapata vya kuongea,
Jukumu la serikali ni kukisanya kodi kisha kutumia kwani maendeleo ya wananchi, hakuna chama chochote chenye jukumu la kuzitumia kodi za wananchi, ni mjinga tu ambaye haelewi hili.
 
Yeye alikuwa mbunge wa chato toka 95, je alimaliza changamoto zao? Tena wananchi wake waliwahi kumpa Kero ya barabara, akawaambia wanye watandaze mavi yawe lami.
Dah..mkuu hii ni kweli?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Upo sahihi. Akili za mataga bure kabisa.. eti chadema ionyeshe wapi imejenga barabara.. kwani chadema ina kusanya kodi?

Mataga wanajibinua makalio eti wajenga barabara na reli wakati huo ni wajibu wao kama kwenda chooni..

Mbona mkienda kunya hamleti kelele ?
Jukumu la serikali ni kukisanya kodi kisha kutumia kwani maendeleo ya wananchi, hakuna chama chochote chenye jukumu la kuzitumia kodi za wananchi, ni mjinga tu ambaye haelewi hili.
 
Anasema eti angekuwa Mbunge angetatua zile kero.
Hivi tangu awe Mbunge wa chato kwa muda wa miaka 20 alikomesha umaskini
 
Usimfananishe Elbashir na JPM. Kama ungekuwa kwenye umati wa watu wangekupiga mawe. Huyu ni kiongozi wa namna ya pekee.

Hata Elbashir alikuwa na wapambe kama ww, na hiyo ndio sababu alikaa madarakani miaka 30. Na wakati Elbashir yuko kwenye madaraka, ingetokea umuongelee tofauti, wafuasi wake wangekupiga mawe. So hiki unachotetea hapa sio kigeni.
 
Hata Elbashir alikuwa na wapambe kama ww, na hiyo ndio sababu alikaa madarakani miaka 30. Na wakati Elbashir yuko kwenye madaraka, ingetokea umuongelee tofauti, wafuasi wake wangekupiga mawe. So hiki unachotetea hapa sio kigeni.
tindo hivi hata kwa akili ya kawaida unaweza kumfananisha Elbashir na JPM? Mtu ambae anajitolea kuwaletea maendeleo watanzania! Maana hata hizo tril 7 zinazojenga JNHPP angeamua kuzitia mfukoni msingejua chochote. Lakini uadilifu wake utawaletea neema watanzania.
 

Inaonekana hujui unaloongea nadhani, nenda Sudan ukaangalie kama Elbashir naye hujafanya miradi ya maendeleo. Hivi unadhani unaweza ukawa kiongozi wa nchi na usitekeleze mradi wowote wa maendeleo? Kama miradi ya maendeleo ndio inaonyesha kujitokea, basi wazungu waliojenga reli, tena zaidi ya moja, ranchi, mashule, hospitali nk, hao walijitolea sana. Inaonekana hujui tofauti ya wajibu na kujitolea. Leo hii Mkapa, Kikwete au Mwinyi wakitekeleza mradi wa maendeleo ndio watakuwa wamejitolea maana hawako madarakani.

Nenda Ethiopia hapo, utawala uliopita umefanya miradi mikubwa ya maendeleo, wana shirika kubwa la ndege nk. Je utawala wao ulikuwa unawafanya nini wananchi wak? Kiongozi mpya wa Ethiopia alipoingia juzi madarakani si ndio karudisha uhuru wa wananchi wake.
 
Kwani hapa Tanzania tunatawaliwa na dikteta mpaka useme hamna uhuru? Hii nchi inatawaliwa kwa misingi ya Katiba na sheria za nchi. Kuleta maendeleo lazima kuendane na utawala wa sheria, ndio maana upo hapo unatoa maoni yako bila bugudha.
Kusema wakoloni walileta maendeleo hii pia inadhihirisha upofu wako wa kisiasa na kukariri upuuzi wa Tundu Lissu. Mkoloni alijenga reli na barabara ili ainyonye nchi yetu. Mapato yote yalienda kwao huko ulaya. Sasa hivi mapato yote yanabaki hapa Tanzania. Kwa hiyo acha kukariri siasa za kitoto.
 
JPM ni chamtoto kwa elbashiri.. nenda sudan kaone maendeleo aliyo yaleta elbashiri.. sudan ni nusu dubai
 
Mimi nashauri watu wawe wanamwangalia Rais kwa jicho ambalo ni MEGA na si kwenye vitu ambyo ni marginals. Tunatakiwa tuwe na jicho kama la Dk Wilbroad Slaa, kabisa.
 
Umesikia na si ni walamba viatu kama Dr slaa kwa njaa xake.
Mimi nashauri watu wawe wanamwangalia Rais kwa jicho ambalo ni MEGA na si kwenye vitu ambyo ni marginals. Tunatakiwa tuwe na jicho kama la Dk Wilbroad Slaa, kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…