Jurjan my friend good to see youKama mnalijua hili, kwanini mnataka tufanane kwa haki ? Hii akiba tu, nimeweka kidokezo.
Turudi kwenye mada, mimi mke wangu wa pili ni Mmachame, ila tunawezana sababu na mimi siyo mtu mzuri kabisa.
Kuna jambo huwa mnalisahau mnapo ongelea haya mambo, nitawaambia.
Hivi huu ubaguzi wa makabila bado upo hadi leo?
Nimekutana hii clip ya baba akimuonya mwanae asimpeleke mchumba wake wa Machame kwake, toka siku nyingi nasikia tu Usioe wa Machame, wana Jf wachagga mtusaidie, wanawake wa machame waliwafanya nini wanaume wengine wa kichagga?! Mshana Jr hebu tusaidie.
Kwanini WACHAGA???Believe me issue Wala sio hela lazima Kuna issue kubwa Sana, roho ya mwanamke ukichoka manyanyaso Ni hatari sanaa.
Huko usukuman kila siku wanawake wanachomwa visu kisa unakuta sh 500 tu kila siku
Mara ndo balaa lakin kila siku wachaga tuu.
Mimi siyo rafiki yako, sijawahi kuwa na urafiki na mtoto wa kike. Hili tuliache halina msingi kwa muda huu. Almuhimu nimefurahi kukuona pia mrembo wa kani.Jurjan my friend good to see you
Hujaelewa hapa, hatuwezi kufanana kwa haki sababu kiasili maumbile yetu yako tofauti. Msingi wa haki hutegemea na maumbile. Ila kwa hadhi ya ubora kwa siai watu wa imani tunaamini ya kuwa hakuna mbora kwa mwingine isipokuwa yule ambaye ana mtii Mola muumba, hapa ndipo tunapata ubora, yaani wewe ukiwa Mmachame ila unamtii Mola wako, wewe ni bora kuliko Myahudi ambaye ni Mshirikina.Unataka tufanane tuweje na vikojoleo sawa au unamaanisha Nini?
Unaogopaje kitu ambacho lazima kitakukuta tu, sisi tunaogopa tutaonana vipi na Mola wetu kama hatujajiandaa vyema tukiwa hapa duniani, hili ndiyo huwa tunaliogopa na tunaogopa je haya matendo yetu mema tunayo yafanya je Mola wetu ameyakubali au vipi ? Sisi wenye akili timamu uoga wetu upo hapa.Wewe kumbe una wake wengi Hadi na mmachame umemuoa huogopi kuuliwa wewe maana watu waoga Sana.
Hakuna kiumbe makini kama mwanamke endapo ukimfunza mafunzo mema na akayafanyia kazi, hawezi kufanya upuuzi huo, hao wanao fanya hivyo ujue ni wajinga na hawana maarifa ya dini.Hebu sema wewe majibu ya hayo mwishoni.
Kwani damu ya period ni sumu???Hawa ndio wale nilisikia hawaoni kazi kukuchanganyia damu ya period kwenye chai ili upite na mia pale tu apatapo mtoto Wa kiume
Kwa sababu tupo exposed na tunafuatiliwa sanaa, lakin matukio yapo mengi mnoooo na yanatangazwa kila siku.
Umesema msingi wa haki unategemea maumbile kivipi na na Ni Nani ana haki kuliko mwingine kwa sababu yeye ana maumbile flani, na Ni Nani ana haki.Mimi siyo rafiki yako, sijawahi kuwa na urafiki na mtoto wa kike. Hili tuliache halina msingi kwa muda huu. Almuhimu nimefurahi kukuona pia mrembo wa kani.
Hujaelewa hapa, hatuwezi kufanana kwa haki sababu kiasili maumbile yetu yako tofauti. Msingi wa haki hutegemea na maumbile. Ila kwa hadhi ya ubora kwa siai watu wa imani tunaamini ya kuwa hakuna mbora kwa mwingine isipokuwa yule ambaye ana mtii Mola muumba, hapa ndipo tunapata ubora, yaani wewe ukiwa Mmachame ila unamtii Mola wako, wewe ni bora kuliko Myahudi ambaye ni Mshirikina.
Unaogopaje kitu ambacho lazima kitakukuta tu, sisi tunaogopa tutaonana vipi na Mola wetu kama hatujajiandaa vyema tukiwa hapa duniani, hili ndiyo huwa tunaliogopa na tunaogopa je haya matendo yetu mema tunayo yafanya je Mola wetu ameyakubali au vipi ? Sisi wenye akili timamu uoga wetu upo hapa.
Hakuna kiumbe makini kama mwanamke endapo ukimfunza mafunzo mema na akayafanyia kazi, hawezi kufanya upuuzi huo, hao wanao fanya hivyo ujue ni wajinga na hawana maarifa ya dini.
Unataka kuniambia matukio ya hivyo hayajawahi kutokea popote zaidi ya kwa huyo?!
Hana hata 100 huyo mwanae anawaza kuuawa? Atauwawa na shida zao tu nyingiiii.USIMLETE!!
Muko exposed kiaje?Kwa sababu tupo exposed na tunafuatiliwa sanaa, lakin matukio yapo mengi mnoooo na yanatangazwa kila siku.
Tena alogwe huko nje afe taratibu, mke ndani kashajichokea umalaya wake atasingiziwa.
Na kikubwa kinachofanya wachaga waonekane wabaya Ni hawez kukubali kunyanganywa Mali za watoto wake. Akishakataa tu kutoa Mali lazima aambiwe ameua
Mimi nimeshakatika kule karibu na mto katereroMkuu kaoe huko halafu ulete mrejesho hapa jamvini ama uje kuwaambia wajukuu zako Ushauri mzuri. Nina imani hii itapendezaje
We huoni nchi nzima imesimama kisa hiyo voice note iliyotoka, na hata thread za wachaga huku jamii forum Ni nyingi mnoooo
Kawaida umbile la mwanaume ni ushupavu, ujasiri na ukakamavu. Kwa umbile hili mwanaume akapewa jukumu la kutafuta na kurudi kuiletea familia chakula, kuisimamia na kuitunza.Umesema msingi wa haki unategemea maumbile kivipi na na Ni Nani ana haki kuliko mwingine kwa sababu yeye ana maumbile flani, na Ni Nani ana haki.
Hapa hujasoma ibara vizuri ukaielewa, niliandika ya kuwa hakuna hora zaidi ya mwingine isipokuwa yule ambaye ni mtiifu kwa Mola wake, hata kama ni mmachame kama ni mchamungu yeye ni bora kuliko myahudi popote alipo, kwahiyo haijalishi mwanaume, au mwanamke,haikalishi ni mweupe au mweusi au mwekundu.Umesema mwanamke atii Mola ndio anakuwa Bora vipi role ya mwanaume,
Hapa inabidi uniambie, hao watu wanajuaje lipi baya na lipi zuri, na uniambie akilo inamuongoza vipi mtu katika mema na mabaya peke yake ? Hilo ulitakiwa ulifikirie kwa umakini ndiyo ujenge hii hoja.pia Kuna watu wanaishi vizuri tu bila kuamini huyo mola unaye msemea nawanaishi vizuri tu.
Wema si kufanya lile linalo onekana jema kwa watu, wema ni kupatia katika lile jema unalo lifanya.Pia usisahau wapagani, waabudu miungu au miti unawaweka kundi gani hapo?
Juzi nilikufundisha jambo moja naimani kama ungemakinika nalo, usiandika hayanilikwambia imani nazo hithibitishwa na kuna imani sahihi, ambazo zimejengeka katika elimu na ushahidi na kuna imani potofu ambazo zimejengeka katika ujinga, hawaa za nafsi na ushirikina.So hii issue ni so broad depending na unaamini Nini na standing yako basi hyo tu kusema eti haki hutolewa kisa maumbile chineeeke oooh
Mi napenda sana nyeupe kuiita nyeupe, hao wanaonyanyasa na kufikia kuua wake zao siwasapoti ila sijawazungumzia kwa sababu nadhani nitakuwa nje ya mada.Unataka kuniambia matukio ya hivyo hayajawahi kutokea popote zaidi ya kwa huyo?!
Huko Mara na usukuman wanawake wangap wanauawa na watoto kisa sh 1000 au wivu tu was kijinga???
Hao waliopo kwenye mada una uhakika na hizo tuhuma?? Dadako akiolewa uchagani akapata mtoto wa kike utamuita muuaji?Mi napenda sana nyeupe kuiita nyeupe, hao wanaonyanyasa na kufikia kuua wake zao siwasapoti ila sijawazungumzia kwa sababu nadhani nitakuwa nje ya mada.
Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
Bibie labda itakuwa naandika kwa lugha ninayo ielewa mwenyewe, naomba nikuulize swali dogo sana.Nini na standing yako basi hyo tu kusema eti haki hutolewa kisa maumbile chineeeke oooh
Ulizia wasomali ukabila balaaa