Ubaguzi wa rangi ni mzizi wa umaskini wa Wamarekani wenye asili ya Afrika

Kama chanzo USA ni Ubaguzi wa rangi na chanzo cha Umaskini Haiti, Jamaika, Ghana, Nigeria, Tanzania na Afrika ni kipi? Kwa maana wote ni rangi moja lkn umasikini umetamalaki na ndiyo Bara masikini na la mwisho Duniani kwa kila kitu!
 
Duh ..ni kweli kazi zipo labda mtu mwenyewe afanye uhalifu utakompelekea kushindwa kuajiriwa!..

Naona baada ya Corona, watu walikuja na "the great resignation " watu wengi waliacha kazi hata baada ya mambo ya lockdown kuisha sijui tatizo lilikuwa nini?
 
Waarab hawahawa? Du hii kali
 

Walioacha kazi wengi ni uvivu tu na haikuwa AA pekee bali watu wote including mizungu.

Serikali pia ilichangia watu kuacha kazi sababu ilikua inatoa pesa kwa watu waliosimama kufanya kazi sasa mtu anaona kama nalipwa bure kwanini nifanye kazi?

Aidha kuna makampuni yanaajiri watu wenye criminal background wanatangaza kabisa ila bado mtu hataki kufanya kazi.

USA right now kuna over 11Million open positions from top positions to entry level ones, mtu unakosaje kazi?

It's not possible kukosa kazi Marekani na kuwa maskini ni kujitakia.

 

Muarabu koko wa Buza unaendelea kutetea miarabu hadi unatokwa jasho 🤣 🤣 miarabu must be proud of you Son.
 
Serikali inajitahidi kujali raia wao katika nyanja zote
 
Wamarekani weusi wengi wameona njia ya kutoboa katika maisha ni kupitia Muziki sanasana hip-hop, kuuza madawa ya kulevya na kuendesha magenge ya uhalifu kama wale Compton crips maana fursa zile kubwa naona wameanza kuachia sasa hv ila awali zilikuwa limited Sana mweusi kumiliki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Land of dreams and opportunities
 
Vipi kuhusu historical injustice? Hazichangii kuwafanya Blacks kuwa nyuma?

Ninaposema historical ni vitu kama slavery, Jim Crow etc. Maana issue kama elimu wakati mwingine ni historical; hata hapa Tz maeneo/jamii yaliyopata elimu mapema ndio zilistawi na kuwa zenye nguvu mpaka leo.
 
Kwahiyo tuwaabudu waarabu?
 
Aise bora ubaguliwe uko state na wazungu kuliko Hawa weusi wenzetu ccm wao ubaguzi wao ni kukuchuna Kila kitu ulichonacho imradi matumbo Yao yanashiba. Na shida ya tumbo halina aibu, leo linashiba kesho linataka Tena.
Hata Marekani wanachunwa kila kitu

Au hujasoma andiko
 
Nayo pia ni moja ya sababu lakini haizuii kwamba waafrika walibweteka sana
Sababu kabla ya wazungu kuja Afrika kuchukua watumwa weusi walianza kutumia watumwa wa kizungu kama wao vile vile..

Lakini swala la elimu ndiyo muhimu zaidi kuweza kufungua ufahamu wa binadamu yeyote yule sio mzungu wala mwafrika na hapo ndipo tulipopigwa utosini ndugu.
 
Ubaguzi wa rangi ni personal issue.
Systematic racism ni kama imepungua kwa asilimia kubwa..
Lakini hata sisi weusi tunabaguana wenyewe kwa wenyewe.
Hii tabia ya weusi kulialia hakutatusaidia mbona hukohuko USA weusi wengi ni matajiri wakubwa sana?
Ngozi nyeusi shida yake inaanzia kwenye ubongo
 
Peleka ujinga wako kuleee.
Mwarabu angetawala dunia tungelimia makalio.
Hujiulizi hata wakimbizi wa kiarabu wanakimbilia Ulaya mnaowaita makafikiri na sio kwa Waarabu wenzao?

Mwarabu sio mtu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…