Unyama waliofanya waarabu kwenye biashara haramu ya utumwa kila mtu anafahamu tena iko ducumented kabisa.Sasa unashutumu jamii wakati ushahidi wenyewe huna!!! Chuki zenu na ndio maana hamuendelei. Olenimala nkoi?? Au nikutafsirie kwa kisukuma???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unyama waliofanya waarabu kwenye biashara haramu ya utumwa kila mtu anafahamu tena iko ducumented kabisa.Sasa unashutumu jamii wakati ushahidi wenyewe huna!!! Chuki zenu na ndio maana hamuendelei. Olenimala nkoi?? Au nikutafsirie kwa kisukuma???
Hao hao wabantu ndio wenyeji wa mwambao wa Afrika Mashariki, waarabu walikuja wakawakuta.Its history, Read; eastern Africa - Northeastern Bantu
Mbantu ni wakuja tu Pwani ya Afrika Mashariki, jiulize sasa, ni nani mwenyeji wa Pwani ya Afrika Mashariki?
Ulishawahi sikia shuhuda za wale wadada wanaoenda kufanya kazi arabuni mkuu?
Unyama waliofanya waarabu kwenye biashara haramu ya utumwa kila mtu anafahamu tena iko ducumented kabisa.
Wewe kama sio wale waarabu wa sikonge au kakonko au nzega sijui
Wote ni wabaguzi, ila hoja yangu ni kwamba wewe umewatetea waarabu kana kwamba ni malaika.Sijashuhudia, na wala sina hakika kama wako hivyo
Je! Huku huoni yanayotokea? Kabla hujashutumu waarabu, angalia ya hapa kwanza.
Kwahiyo wewe unafuata mkumbo sio,,nimekuomba ushahidi huna, sasa unaniambia kila mtu anafahamu, kufahamu sio tatizo,,,je! Ushahidi upo?