Ubaguzi wa rangi ni mzizi wa umaskini wa Wamarekani wenye asili ya Afrika

Watu wanachukulia poa swala la jamii fulani kunyimwa fursa ya kusoma; lakini ni kitu kikubwa sana. Takwimu zinasema zaidi ya asilimia 80 wa watoto huwa wanakuwa na elimu inayolingana au kuwazidi wazazi wao; sasa kama asilimia kubwa ya black parents wote wako jela, hao watoto watakuwa wapi?

Nakumbuka documentary moja, dogo ana miaka 17 kaingia jela kwa armed robbery mtu wa kwanza kukutana naye ni baba yake. Yule mzee alilia sana.

Over time naamini mambo yatabadilika tu. Ila bado blacks wana kazi ngumu
 
Nawaza tu, hizo Billions za dola Marekani waazowapa Ukraine zingeweza kufuta hali hii ya umaskini kwa raia wao weusi kwa kiwango kikubwa.
US wananiachaga hoi hapo tu,ndani kwao watu hawana pa kulala msosi wa kudandia lkn wao kila uchwao wanadhamin vurugu ktk nchi za wenzao
 
Ukiwaambia wale mabinti wanaopelekwa kwenda kufanyishwa kazi za ndani uarabuni kitu kama hicho haki wanaweza wakakumwagia maji waliyooshea uchi zao.!!

Mtu anayefahamu ukatili ambao waarabu waliwafanyia waafrika enzi za utumwa pia hawezi kamwe akakuelewa kwa andiko lako hilo.
 

HApana mkuu, kinachowatesa watu weusi U.S ni kutaka utajiri wa haraka.
 
Black American ni katika watu wa ovyo kabisa kwenye ulimwengu, Niwavivu, wapenda short cut, akili zao zinawaza kula bata tu badala ya kufanya kazi. Kazi yao ni kulialia na kutilisha huruma tu. Inakuaje mtu anatoka Bongo na weusi wake kama Kante anakwenda U.S na anapiga maisha wakati wao wamezaliwa pale na wana fursa kibao za uzawa wanaishia kulialia tu kwamba wanabaguliwa. Ni moja ya watu hopeless kabisa kwenye dunia.
 
Tena hakuna wabaguzi duniani zaidi ya Wabantu, yote kwa ajili ya "inferior complex" waliyonayo. Hapa pwani ya Afrika mashariki Wabantu ni wakuja tu, hawana asili napo. Akasome historia fala huyo.

Wanajua yote haya ila chuki zimewajaa vifuani mwao,,na ndio maana hawaendelei
 
Ya kanisa yanatoka wapi tena, mimi ninaongelea biashara ya utumwa na ukatili waliofanyiwa waafrika na waarabu lakini wewe unaleta mambo ambayo hayapo.

Waafrika waliopelekwa utumwani Asia uzao wao uko wapi si wanaume wote walihasiwa na waarabu.

Hivi vitu unaongea je! Una ushahidinavyo? Lete picha OG ya waarabu wakiwatesa wabantu!!!


Kama wewe ni kidume lete huo ushahidi
 
Nani alipiga picha enzi hizo.

Sasa unashutumu jamii wakati ushahidi wenyewe huna!!! Chuki zenu na ndio maana hamuendelei. Olenimala nkoi?? Au nikutafsirie kwa kisukuma???
 
Wanajua yote haya ila chuki zimewajaa vifuani mwao,,na ndio maana hawaendelei
Tena ukweli ni kuwa hakuna wenye chuki na ubaguzi duniani kama wabantu, pwani ya Afrika Mashariki walikuja kama wageni, wamewakuta wapole na walozowea kupokea wageni kila aina, wakawa kazi yao kuua na kula watu, historia ina ushahidi kabisa.

Licha ya kujaaliwa kuunda vyuma basi walichokiunda zaidi ni mikuki, mishale na zana za kuulia watu kwa uhunzi wao. Unafikiri wataendelea namna hiyo, wana roho za kichawi na ujinga wa asili.AlhamduliLlah, waliostaarabika ni wale tu waliojaaliwa kuiona Nuru ya Uislam.

AlhamduliLlah nshukuru vizazi vya mbabu na mabibi zangu vilijaaliwa kuiona Nuru ya Uislaam mapema sana.
 
Mindset slavery of its kinds....!
 
Ulishawahi sikia shuhuda za wale wadada wanaoenda kufanya kazi arabuni mkuu?
 
Mwarabu ana utu gani? Roho ya mwarabu mbaya kuliko mzungu zaidi ya yote mzungu ndio race inayotutumikisha sote hata huyo mwarabu kwa mzungu kaufyata kimya kama sio yeye

Mti wenye matunda hupigwa mawe, endelea kukariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…