Sijashuhudia, na wala sina hakika kama wako hivyo
Je! Huku huoni yanayotokea? Kabla hujashutumu waarabu, angalia ya hapa kwanza.
Kwahiyo wewe unafuata mkumbo sio,,nimekuomba ushahidi huna, sasa unaniambia kila mtu anafahamu, kufahamu sio tatizo,,,je! Ushahidi upo?