bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Sasa watu wasiofanana watakuwa vipi sawa,hata sisi tunaguana.Haiwezekani kumaliza ubaguzi wa rangi hapa Duniani
Utamaliza kwa maneno tu kinafiki lakini moyoni bado utakuwepo na haukuanza jana au leo
MFANO: Chukua watoto watatu yaani wa kihindi, kizungu na kiafrika...wapeleke porini huko waishi pamoja...baaadae yule wa kihindi na wa kizungu watakuwa pamoja muda wote na kumtenga yule Mweusi
Ubaguzi upo kwenye damu
Wa masaki hawezi kaa meza moja na WA buza,wa mjini umuona wakuja mshamba