Ubakaji, ulawiti, ufiraji na ushoga havina uhusiano wowote na hormonal imbalance

Kwann isiingie akilini? Hivi rafiki wa shoga anayekaa nae mchana, na huyu jamaa anaye mlala usiku yupi ana afadhari?

UNAFIKI wabongo unawasumbua.
Kuhusu unafiki nakubaliana na wew bongo tunaongoza Kwa A+
 
Alafu unaposema ilipaswa ungetakiwa uwaambie sasa hao waliofanya huo utafiti ambayo assessment Yao ilikuwa wanaobakwa wafanya uchunguzi ndani ya huo familia waone kama hawatapata majibu yaleyale.
We jamaa Hujitambui, ukileta claim umeleta uzi wwe ndio unapaswa ulete ushahidi? Wewe ndio umedai mashoga wanaweza ingilia wazazi au watoto wao ndio nakuuliza umetoa wapi hiyo evidence?

Leta ushahidi hapa kwamba uwepo wa 10% ya mashoga umeleta ulawiti kwa 10% ndani ya familia. Sio unaongea maneno kutoka hewani alafu unadhani wote humu maboya tu.

Mnakuza sana mambo ya ushoga bila sababu, mnadhani mnapinga ila ni kama ndio mnapromote tu kwa kuonyesha ni KUBWA sana.
 
Umemjibu vyema kbsa
 

Hiyo uliyoinukuu hapa sio utafiti bali ni nadharia tuu.
Nikakuongezea tuu kuwa kwenye tafiti zipo tafiti Fake zinazolenga kuhamasisha agenda Fulani.

Ndio nikakuuliza, unajua False Research Finding?
Unajua wadhamini wa tafiti wanaweza kuathiri research na kutoa majibu ya uongo?

Ninyi ndio Watu ambao mkiambia witu mnameza kama vilivyo pasipo kutumia akili ya kawaida

Umesema mtu kutamani mtu 2a jinsia nyingine kingono ni ishu ya Homoni. Mimi nimekupinga.

Sijui hata kama unajua maana ya Homoni
 
Nakubaliana na hii hoja
 
Kingine tafiti 3 zinakuambia 90% ya mashoga wana low levels za testosterone alafu mtu uliyeishia la Saba unabisha unataka tuamini maneno yako yasiyo na evidence zaidi ya hisia?

Aisee wewe jamaa ni kituko!!

Level ya testosterone haina uhusiano wowote na Ishu ya ushoga.
Sijui kama unajua maana ya Homoni.
 
Jamaa unamjibu kwa facts ila yeye analeta porojo bila ushahidi
 
Nikakuongezea tuu kuwa kwenye tafiti zipo tafiti Fake zinazolenga kuhamasisha agenda Fulani.
Ndio maana nikasema wewe sio msomi, ukiwa msomi utajua REPUTABLE journals ni zipi kuna Elsevier, Springer, Taylor and Francis n.k hizo huwezi publish uongo maana zinapitia mikono mingi ya maprofessors. So haziwezi tumika kuspread uongo
 
Wewe unachojaribu kufanya ni kulazimisha dhambi zote zifanane kitu ambacho kwa sheria za kidunia hakipo na ndio maana kila kosa lina adhabu na hukumu yake, aliyeua na aliyetapeli wote wametenda makosa ila hawawezi kuchukuliwa sawa wala kuhukumiwa sawa, unfortunately dunia inahukumu makosa ambayo yanapelekea kudhuru watu moja kwa moja na siyo hayo makosa ambayo watu wanaamua wafanye nini na viungo vyao
 
Ndio maana nikasema wewe sio msomi, ukiwa msomi utajua REPUTABLE journals ni zipi kuna Elsevier, Springer, Taylor and Francis n.k hizo huwezi publish uongo maana zinapitia mikono mingi ya maprofessors. So haziwezi tumika kuspread uongo

Umekuwa brainwashed
Hakuna taasisi duniani isiyoweza kudanganya.
Na kama hizo taasisi ndio zimeandika hiki unachokitetea hapa basi ni ushahidi tosha kuwa hizo taasisi zinauongo pia kwa sababu unachoeleza hapa ni uongo.

Homoni hazisababishi au sio chanzo cha tabia fulani.
Tabia ipo chini ya udhibiti wa ubongo.
Na ubongo ndio Organs pekee inayodhibiti hizo homoni.

Ndio nikakuuliza unajua maana ya homoni?
 
Testosterone ni homoni haihusiani na kuwa chanzo au sababu ya tabia au hulka.
Mbona kichwa ngumu kijanq
Mimi nimeshakujibu kwa tafiti tatu za kitaalamu zinazoonyesha "Male homos have lower testosterone concentration as compared to heterosexual men" sasa ni kazi yako wewe kukosoa kwa ushahidi wa kitaalamu sio maneno hewa.
 
Huyo anakabiliwa hata mambo asiyoyajua.

Shoga ni mtu aliyeamua kwa hiari yake kuwa shoga full stop.
Akiamua kuacha anaacha.
Mtu akiamua kuliwa kinyeo aachwe aliwe kwa raha zake.

Kinyeo hakihitaji mjadala wa kisayansi au wa kisheria. Unapoteza muda.

Hata wewe ukiliwa kinyeo siwezi kuuliza au kukuhoji.

Kinyeo ni chako, yanihusu nini kikiliwa?
 

Dhambi na makosa ni uamuzi.

Kosa la rushwa mara nyingi ni maamuzi ya Watu wawili.
Dhambi na uhalifu ni uamuzi wa hiyari.
 
Mimi nimeshakujibu kwa tafiti tatu za kitaalamu zinazoonyesha "Male homos have lower testosterone concentration as compared to heterosexual men" sasa ni kazi yako wewe kukosoa kwa ushahidi wa kitaalamu sio maneno hewa.

Ndio nikakuambia uwepo au kutokuwepo kwa testosterone hauna uhusiano na tabia ya ushoga.
Ushoga ni tabia ambayo chanzo cha tabia sio homoni
Wapi huelewi
 
Mtu akiamua kuliwa kinyeo aachwe aliwe kwa raha zake.

Kinyeo hakihitaji mjadala wa kisayansi au wa kisheria. Unapoteza muda.

Hata wewe ukiliwa kinyeo siwezi kuuliza au kukuhoji.

Kinyeo ni chako, yanihusu nini kikiliwa?

Wewe ukimla au ulikuwa kinyeo na kijana wako huoni kuna tatizo?
Ninyi waovu mnashida sana
 
Homoni ni kisingizio

Swali ni je , kuna homoni inayochochea mtu kufira ama kufirwa?

Au wanawake wanaofirwa nao wana hormonal imbalance au?

Au uraibu wa punyeto nao ni homoni?

Hizo ni tabia tuu zinazoleta uraibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…