Ubakaji, ulawiti, ufiraji na ushoga havina uhusiano wowote na hormonal imbalance

Wewe ndio una uelewa mdogo sasa umeshasema dereva amekamatwa ana makosa anamuomba traffic apokee rushwa, sasa si anampa ili asipewe adhabu ya kuandikiwa cheti lakini si kwamba anapenda, ndio maana mwisho wa siku hao madereva huishia kulalamika

Hapo kwenye baba kumlawiti mtoto wake wa kiume ni kosa kama ambavyo baba kutembea na mtoto wake wa kike ni kosa, kwahiyo kosa hapo si hilo tendo lililofanyika bali ni aina ya watu wanaolifanya na uhusiano kati yao, huyo huyo baba hilo tendo akifanya na mwanaume mtu mzima mwenzie kwa makubaliano si kosa

Kuhusu ulawiti na ubakaji ndio nimesema ni kosa kwa sababu hapo mmoja anakuwa hajaridhia, haijalishi ni jinsia moja au jinsia tofauti as long as mmoja hajaridhia hilo ni kosa lakini kama wote wawili wameridhia hilo si kosa, kuhusu kujiua umeshasema kujiua ndio maana nikakuambia makosa yanayohukumiwa mara nyingi ni yale yanayopelekea kudhuru mtu moja kwa moja hata kama ni wewe mwenyewe

Ukiniambia mtu akitumia kiungo chake cha nyuma anakuwa anajidhuru hivyo anatakiwa ahukumiwe kwa hilo, basi itabidi tuanze na walevi na wavuta sigara maana sidhani kama kuna watu wanaodhuru viungo vyao kama hao, watu wanaokufa kisa mapafu au figo kuharibika ni wengi kuliko wanaokufa kutokana na madhara yanayosababishwa na ushoga

Wewe ndio hujui maana ya haki, hao mashoga wanatumia haki yao ya faragha kama ambavyo mwanaume na mwanamke wanavyotumia haki yao ya faragha, wewe una mamlaka gani ya kuingilia faragha yao wewe mtu akiingilia faragha yako unapofanya uzinzi utajisikiaje
 
Wenye watoto wa kiume tunaogopa hata kuchangia..Mungu atulindie wanetu na MABAZAZI
 

Kwa nini unafikiri ni kosa baba kulala na binti au kijana wake ilhali wanatumia hiyari yao?

Yaani kwa mfano Babaako na wewe muamue kwa hiyari yenu mfanyane, kwa nini unadhani ni kosa ilhali ni hiyari yenu?
 
Haya nasubiri anzia kokote but make sure hakuna kipengele utaruka 😂😂😂
Smart911 unajua venye niko kilaza mie Naomba ukuje kumpa mwongozo wa uzi mama la mama pullliiizzzzzzzzzzzzzzz !

Kwa akili zangu naona juzi kuna dogo alianzisha uzi kuhusu hormone imbalance ndio jamaa hapo kamjibu kusema ushoga Sijui usagaji ulawiti namengine yanayofanana nahayo hayana uhusiano ma na hormone imbalance!
 

Baba kulala na Mwanamke mwingine nje ya mke wake nalo ni kosa.

Wewe ni mke wa mtu alafu ukatumia hiyari yako kulala na mume wa Mwanamke mwenzako kwa hiyari ni kosa kisheria. Au hujui hilo?
 
Baba kulala na Mwanamke mwingine nje ya mke wake nalo ni kosa.

Wewe ni mke wa mtu alafu ukatumia hiyari yako kulala na mume wa Mwanamke mwenzako kwa hiyari ni kosa kisheria. Au hujui hilo?
Hilo ni kosa kisheria au ni kosa kitamaduni na mbona huwa hamkemei hilo badala yake ndio kwanza mnalipigia chapuo, hasa wanaume mnasema kwenu mwanamke mmoja hatoshi mwanaume lazima awe na michepuko, basi anzeni kuwahukumu wazinzi ndio mje kwa mashoga maana ushoga chanzo chake kikubwa ni uzinzi
 

Nimekuambia ni kosa kisheria kwa sababu uliuliza swali la kwanza kuhusu sheria.
Au unataka kujua ni sheria ipi na kifungu?

Mwanamke mmoja anatosha, anayesema hatoshi ndio ninyininyi mnaotetea uchafu kwa visingizio vya kijinga mara homoni, mara hiyari yaani kama Wendawazimu hivi
 
Huwachukii, huwezi kaa karibu nao.tukueleweje??
 
Hakuna anayetetea hapa ila tunajadili uhalisia hatuwezi kujidanganya kwamba eti mashoga wote wanasababishwa na external factors tu wakati hali halisi haiko hivyo, hata mimi mwanzo nilikuwa na mawazo kama yako ila mwisho wa siku nilipogundua ukweli ilinibidi nikubaliane nao tu maana hata nikikiukataa haibadili huo ukweli, ungekuwa uko vizuri kwenye masuala ya saikolojia na biolojia pengine ungeelewa wataalam wanachosema kuhusu hao watu but unfortunately mada zako nyingi huwa hazioneshi hilo
 

Mlete huyo mtaalamu wa biolojia na saikolojia aje tujadiliane naye maana yeye ndio tunaweza kujadiana naye kwa hoja.

Mwenzako nimemwambia aniambie maana ya homoni kakimbia mpaka sasa anatafuta maana ambayo hata motto wa kidato cha pili anajua
 
Mlete huyo mtaalamu wa biolojia na saikolojia aje tujadiliane naye maana yeye ndio tunaweza kujadiana naye kwa hoja.

Mwenzako nimemwambia aniambie maana ya homoni kakimbia mpaka sasa anatafuta maana ambayo hata motto wa kidato cha pili anajua
Hivi unafahamu kwamba kuna watu wanavutiwa na watu wa jinsia yao, tangu wakiwa wadogo tena wakiwa hawajawahi hata kufanya hiyo michezo, hili nalo kitaalam unaweza ukalielezeaje hebu lielezee bila kutumia mihemko mkuu

Wakati mwingine sidhani kama watu huwa wanakimbia mijadala fulani, ila huwa wanaamua tu kuachana nayo kwa kuona kuwa aidha wanaojadiliana nao hawana hoja, au wanakuwa wagumu kuelewa wanachoelezewa hivyo kuamua kubisha tu

Sababu hiyo maana ya hormone hata kama mtu angekuwa hajui sidhani kama angeshindwa hata kugoogle, kisha akarudi muendelee kujadiliana sioni kama ni kitu cha kumfanya mtu akimbie mada, sema ndio vile tena mtu akiacha kujadiliana basi tunaconclude ameshindwa na hana hoja
 
Umeeleweka taikoni wa fasihi
 
Naomba tafsiri ya Uasi na uhalifu tafadhari.
 
Pole Kwa waliokuzaa.
Kuzaa shoga ni zaidi ya pigo.

Ulisema tujadili kwa hoja naona unacheka cheka. Au ndio ushoga wenyewé unakuzidia?
Sasa huna hoja zaidi ya kuleta blaa blaa, kwann nisichekee?
Ushoga unizidie kwakoo wee? Hufiti hata kunisisimua nakuona km mwenzangu tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…