Ubakaji, ulawiti, ufiraji na ushoga havina uhusiano wowote na hormonal imbalance


Kwa UELEWA wako kitu gani kinakufanya usilale na mama au dada zako? Tuanzie hapa.
 
Ndo maana shetani anaitwa baba wa uongo
 

Hakuna busara kwenye uhalifu na uovu tena kwenye jinai kubwakubwa kama hizo.

Alafu SHERIA zipo kwaajili ya waliovuka mipaka na sio kuondoa tatizo kabisa.
Elewa kuwa tatizo la uovu lipo nafsini na mioyoni mwao Watu na sheria haipo kwaajili ya nafsi au moyo bali kwaajili ya mwili.

Tendo lolote litakalotokea kwenye mwili ndio sheria inadili nalo kwani huko ndio kuvuka mipaka.
Nafikiri umepata jibu kwa nini hayo mambo hayaishi
 
Haya tuletee video ya hao uliowataja wakifanya hivyo?
 
Ushoga,uteja,wizi,ukahaba,ulevi,nk yote haya yanaitwa magonjwa tabia yanatibika na mtu anapona kabisa anacha tabia hizo.
Haya yote ni matokeo ya kuuza nafsi Yako kwa shetani.
Ukiikomboa nasfi yako utu wako unarejeshwa utu means uwepo wa uungu ndani mwako.
 
Yaani maana ya mbakaji?
Shoga ni waliokubaliana wa jinsia moja.
Sasa maana ya mbakaji ni nini?

Anayetumia hiyari yake kumuingilia mtu kimabavu bila hiari ya anayembaka.

Shoga anayetumia hiyari yake kutumia viungo vyake isivyo halali
 
Vip kwa hapa bongo
Kwa bongo angalia wote wanaovaa mavazi ya kike wakiwa stejini, baada ya ritual huambiwa wafanye kitu chochote iwe kichekesho, igizo, au performance inayopotray u-kike, iwe kiatu, hereni, kipini puani, skirt, gauni, make up etc
 
Mbona utofauti upo hapo.
Kuna mmoja anatumia mabavu kuna wengine wanaamua kwa hiyari yao.

Hata Mbakaji anatumia hiyari yake kumbaka ambaye hayupo tayari.
Wakati shoga anatumia hiyari yake kwa kiungo chake isivyo halali. Anatamia mabavu kulazimisha Kiungo chake kufanya kazi isivyostahili (isivyo haki)

Bado huoni tatizo.
 
Hata Mbakaji anatumia hiyari yake kumbaka ambaye hayupo tayari.
Wakati shoga anatumia hiyari yake kwa kiungo chake isivyo halali. Anatamia mabavu kulazimisha Kiungo chake kufanya kazi isivyostahili (isivyo haki)

Bado huoni tatizo.
Point yangu ni utofauti.
Kuna ambaye anatumia nguvu na kuna wanaokubaliana.
Huoni utofauti hapo?
 
Shetani uwaingia watoto wangali wadogo kupitia vitu kama midoli,katuni,kuwazoeza michezo utotoni kupitia mashetani watu mfano ndugu,watoto wenzao mzazi kuwa makini kagua maisha ya watoto wako
Hakika mkuu, ahsante, ila pia niongezee huingia pia akiwa tumboni mwa mama akiwa mjamzito, kwa kuwa wana utambuzi wa kujua kuwa huyo anayezaliwa atakuwa na kipawa fulani (the chosen one)kikubwa hivyo kwa kumchafulia identity watakuwa wameweza kumpandikizia roho ya kujichukia,kujikataa na kujiona hafai. Kwa hiyo hawezi kuishi KUSUDI lake kikamilifu sababu always atakuwa kwenye hiding mode.
Shetani ni mwaribifu.
 
Kwa hiyo mkuu Jay z, Barack Obama na Papa Francis wote washafumuliwa marinda?

[emoji1][emoji1]
 
Cocastic akiingia kwenye mahakama ya watibeli hatoki salama mtekeleza hukumu niwe mimi
Badalaa ya kutekeleza hukumu, utaanza kunitamani na kutaka nikupee kiziboo.

Wee haya tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…