Ubakaji, ulawiti, ufiraji na ushoga havina uhusiano wowote na hormonal imbalance

Labda mabasha.Una akili timamu unakuaje shoga Sasa.
Shoga ni mwanaume aliyeondolewa uanaume ( humiliation ritual au sadaka ya kujimaliza) uanaume ni utu wa ndani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna Dr tena mwenye masters yake, niliwahi fanya nae majadiliano kuhusu ushoga/mashoga, tena nilikazia angle ya kisayansi,
Alileta bla blah, mwshoe alihemkwa na kupovukwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan ikifika suala la gaysim, wanajitoa akili na kuwa weupee pee.
 
Wewe sasa ndo umenena, na Tz hii kitu hawataki bas Ushoga hawawezi pambana nao kamwee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanafunzi mmoja shoga wa Secondary ya Ilala alinitongoza na ahadi ya fedha nini nini tatizo?.
Tatizo wabongo ni ujuaji usio na mipaka, wanadhani ushoga ni sawa na wizi, au ujambazi, au kisa ni tamaa.

Wajuvi wa mambo, tunaamua kukaa kmyaa kuwaacha wao waendelee kupotoka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Punishment will not solve any problems because sexual orientation is a natural and inherent aspect of who someone is.
 
Haya mambo bhana kila mtu anaweza kuongea lake tu kadiri anavyojisikia, kwa sababu wengi huwa wanaongozwa na mihemko na hisia tu na si uhalisia, lakini mwisho wa siku haijalishi kila mtu anafikiria nini au anaongea bado haibadili hali halisi na ukweli utabaki pale pale tu

Kuna watu ambao wamezaliwa wanajikuta tu wanavutiwa na watu wa jinsia yao hata kabla hawajaanza kufanya hiyo michezo, na hata tukisema ni suala la malezi bado halina uhalisia kwa sababu unakuta kuna mtu kwao wamezaliwa sita, ila ni yeye tu au wawili tu ndio wana hayo mambo wengine wako sawa hawana matatizo

Hapo malezi yanaingiaje kwamba hao watoto wanakuwa wamelelewa tofauti au, sawa haya mambo yanachukiza ila hilo halifanya kila mtu aropoke lolote tu analojisikia kuhusu watu wa aina hiyo eti mradi tu na yeye aonekane anachukizwa, ni vyema tungeacha ujuaji tukasikiliza wataalam waliosomea hayo mambo na wanaoelewa hali halisi wanasemaje
 
Hata Mbakaji anatumia hiyari yake kumbaka ambaye hayupo tayari.
Wakati shoga anatumia hiyari yake kwa kiungo chake isivyo halali. Anatamia mabavu kulazimisha Kiungo chake kufanya kazi isivyostahili (isivyo haki)

Bado huoni tatizo.
Wee ni muongooo,
 
Ubakaji umechomekea tu ila lengo la uzi ni ushoga.

Ni kweli hawa watu hasa waliojiingiza huko hupenda kujitetea eti homoni sijui yeye alizaliwa hivyo ni uongo mkubwa, kwangu ushoga na usagaji huwa nahusianisha na ugonjwa wa akili..
Siafiki tu kwenye kuwaua maana hiyo sio suluhu na sio vizuri kumuua mtu kwa kitu ambacho hakikuathiri wewe moja kwa moja na pia ni ishu ambayo anaweza kubadilika.

Kifo ni adhabu kubwa sana, labda huyo shoga awe anahamasisha wengine, anaforce wengine kuingia huko.
 
Paragraph ya 2 imemaliza kila kitu, ila watu hawatakii ukweli na kuukubali.
 
Ushoga na usagaji sio ugonjwa wa akili? Hebu eleza kwa undani watu wapate uelewa.

Nataka kujifunza jambo mkuu.
 
Paragraph ya 2 imemaliza kila kitu, ila watu hawatakii ukweli na kuukubali.
Mmh bado sihafiki yani umezaliwa unataman jinsia yako😖😖..?

Mfano wewe cocastic ulizaliwa unatamani mwanaume mwenzako?
 
Ushoga na usagaji sio ugonjwa wa akili? Hebu eleza kwa undani watu wapate uelewa.

Nataka kujifunza jambo mkuu.
Tunahusisha na ugonjwa wa akili kwasababu uwezi kuwa rijali alafu uwe shoga kuna kitu kwenye mindset kili shake.
 
Na ww ni moja wao nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…