Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Sio yeye pekee hata aliwafirimba wakawa kama yeye.Siafiki hili, kuhusu hisia kuto controlika ni uongo, maana Inakua ni maamuzi ya mtu.
Hebu eleza kabla ya kuwa Gay alikua vipi, na baadae akawaje?
Hivi na wewe huwa unaweza kuvutiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada au mama ako na kutaka ufanye nae tendo??.kwa uelewa wako unaweza kujikuta unavutiwa na kijana au binti yako akufire au umfire au mfirane, au umsage au akusage au msagane?
Wee mtibelii, mie nilishaacha kuzungumzia haya masuala, maana watu huwa hawana logic, wanakua na mhemko na hasira,
Kwa kifupii nimewaachia nyie muendelee na mnachokijua.
Hivi na wewe huwa unaweza kuvutiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na dada au mama ako na kutaka ufanye nae tendo??
Wanaume ndio chanzo cha yote, mkiacha tamaa za kuchungulia miku*du hamtaona mashoga.
Hao mashoga hawajisodomize wenyewe ni nyie ndo waharibifu
Si mkakae hata kesho, mnashindwa nn?Wanaume tukae iwekwe sheria ya kifo kwa shoga (muingiliwa na muingilia) alafu uone kama hizo homoni za wengine zitaleta shida
Si mkakae hata kesho, mnashindwa nn?
Unavyoongelea kifo, as if sasa hivi hakuna makosa adhabu yake ni kifo (kunyongwa)
Unadhan kuna mtu anatishika sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana yule Zitto huwezi kumuelewa, unajifanya mjuaji kumbe hollah,Mimi siwezi kwa sababu ninaamini timamu, hisia timamu, mwili timamu, nafsi timamu, na roho timamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee wee.Wapo wanaogopa kifo. Nazungumzia Watu wenye roho wa Mungu. Waovu hawaogopi kufa kwa sababu nafsi zao tayari zilishakufa.
Sio ajabu mtu kutaka kuwania shoga, au mchawi au mshirikina, au muuaji, au mlawiti au mfiraji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana yule Zitto huwezi kumuelewa, unajifanya mjuaji kumbe hollah,
Kwan mtu akiwa shoga ndo atavutiwa na baba au kaka ake?
Hata hao mashoga wana roho timamu, nafsi timamu, na hisia timamu pia.
Kuna mtu alikuambia juzi, akili zako ulikopeleka zirudishe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee wee.
Na niunafki kweli hujakoseaHawataki kusikia kabisa hili.
UNAFIKI unawasumbua.
01.Wapo ambao wamezaliwa na shida hiyo ya hormoneHuwezi ukawa timamu ukawa shoga.
Ndio maana hata watetezi wanakuambia kuwa ushoga ni tatizo la Homoni IMBALANCE jambo ambalo nakataa.
Kisayansi unlike charge attract like charge repeal.
Kiimani, Mwanaume hawezi na hatakiwi kuvutiwa na mwanaume mwenzake.
Hivyo kinachofanyika ni uhalifu na uasi.
01.Wapo ambao wamezaliwa na shida hiyo ya hormone
02.na wapo wenye tamaa tuu.
03.wapo pia walio haribiwa na ndugu wakajikuta wako hvyo
Sawa hao wa hormone hawajapenda kuwa hivyo na hawapendi hiyo hali
Hao ndiyo ukisikia mashetani.UBAKAJI, ULAWITI, UFIRAJI NA USHOGA HAVINA UHUSIANO WOWOTE NA HORMONAL IMBALANCE
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Angalizo: Asome mwenye umri kuanzia miaka 18.
Chini ya hapo awe chini ya uangalizi wa mzazi au mlezi
Kuna majitu ambayo yameshindwa kitabia, kimalezi na sasa yamekubuhu kwenye uchafu uliopitiliza, ni mashetani sasa. Wanajitetea kwa uzushi na uongo wa kijinga ili kuhalalisha tabia zao chafu.
Ushoga hauna tofauti na ulawiti au Ufiraji au ubakaji. Matendo ni yaleyale na yote yanahusisha kushindwa kudhibiti Mihemko ya kimwili lakini pia tamaa mbaya isiyo na mipaka inayohusu kufanya matendo machafu.
Jambo lolote linalohusu malezi halina uhusiano na mambo ya Homoni.
Mtu anayebaka huwezi sema amekumbwa na tatizo la homoni. Au mtu mfiraji au mlawiti huwezi sema amekumbwa na tatizo la ushoga.
Ushoga ni maamuzi wakati tatizo la homoni sio uamuzi wa mtu.
Shoga anauwezo wa kuacha kuwa shoga kama alivyokuwa na uamuzi wa kufanya ushoga.
Ni kama ishu ya Wanaume kupenda wanawake wengi. Hilo sio tatizo la homoni isipokuwa na maamuzi na kujiendekeza.
Watu wanaotetea mashoga ndio haohao wenye uwezo wa kutaka kulala na Baba au mama zao. Au wenye uwezo wa kutoka na mabinti au vijana wao.
Wanaume wanaotetea mashoga kikawaida ndio haohao wenye uwezo wa kufira au Kufirwa na vijana wao. Au ndio wale wajomba ambao wanafira Wapwa wao. Wala hakuna haja ya kupindisha maneno. Kwa sababu huo ndio ukweli.
Wamama wanaotetea Wasagaji ndio haohao ambao wanauwezo wa kuwasaga mabinti zao wa kuwazaa au mabinti kusaga mama zao waliowazaa. Au mashangazi kusaga mabinti wa Kaka zao.
Muogope sana mtu ambaye ni shoga. Ni kama Mbakaji au mlawiti. Hana tofauti na mnyama kwa sababu hawana uwezo wa kujidhibiti. Wanaongozwa na tamaa.
Huwezi tamani Kufirana na mwanaume mwenzako alafu ukasema ni tatizo la homoni. Alafu Watu wakutetee kama Watu hao sio wapenzi wa jambo hilo. Hiyo haiwezekaniki kabisa.
Unajua binadamu hutetea jambo ambalo anamaslahi nalo iwe moja kwa moja au kwa kificho.
Wapo wanaogopa au kuona aibu kuwa mashoga na hivyo hujificha kwenye kutetea mashoga huku wao wakijifanya sio mashoga ili jambo hilo likizoeleka au kukubalika iwe rahisi kwao kujiingiza humo.
Nina kuhakikishia kuwa siku ushoga ukikubalika kwenye jamii na duniani. Utashangaa Baba na kijana wake wanafirana. Au Mama na binti yake wanasagana.
Hilo litatokea kwa hakika kwa sababu kama mtu ameshindwa kujizuia tamaa yake mpaka amekuwa shoga atawezaje kujizuia kumfiraau Kufirwa na Baba au kijana wake? Au atawezaje kujizuia kusagwa au kumsaga mama au binti yake. Hiyo haiwezekaniki.
Kikawaida Watibeli, sheria ya mashoga inafahamika, Ni Kifo bila kujali ni Mimi mwenyewe, mtoto wangu, Baba au ndugu yeyote. Halikadhalika na wasagaji. Ni kifo tuu. Ni kama Wabakaji na walawiti na wafiraji nao ni kifo tuu.
Nafahamu shetani na waovu hutetea haki za waovu ili kujilinda wao na kizazi chao.
Hata hivyo nafahamu wapo Mashoga ambao chanzo cha ushoga wao ni kulawitiwa na Baba au Wajomba au kaka zao kwa muda mrefu kimabavu mpaka wameathirika kisaikolojia.
Hawa ni kesi nyingine. Hawa wachukuliwe kwa matibabu lakini lazima wataje waliowabaka au kuwalawiti ili hao waliowalawiti na kuwabaka wachukuliwe hatua kali.
Hata hivyo inawezekana mtu akawa shoga kisha akasingizia chanzo cha ushoga wake ni kulawitiwa kwa muda mrefu alafu akataja mtu ambaye marehemu.
Au akamsingizia mtu ambaye hata hajawahi kufanya jambo hilo.
Hivyo ni lazima uwekwe utaratibu mzuri wa kudili na matukio haya.
Nawatakia jumapili njema!
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Hao ndiyo ukisikia mashetani.
Mabaya yote duniani yanaanzia kwao.
Kitu kinachoitwa "new world order" ni ushetani mkubwa sana. Kimeanzishwa na mazayuni wasiokuwa na dini, wakijificha nyuma ya "uyahudi" lakini si waumini kabisa wa mafundisho ya Torati ya wayahudi:
View attachment 2879206
Hao elewa kuwa ni mashoga wanaoutetea ushoga.Alafu kuna hizi mbuzi zinazoitwa Wasomi uchwara ambazo kazi yao ni kukariri tuu.
Mtu anasema wapo Watu wanazaliwa wakiwa mashoga, mwanaume kuwa na hisia na mwanaume mwenzake. Na wanasema ni tatizo la kihomoni kwa hiyo mwanaume anakuwa na kiwango kikubwa cha homoni za Estrogen.
Ukiwauliza na wale wanaovutiwa na kulala na wanyama wanakuwa na kiwango gani cha homoni wanabaki kupiga blah!blah!
Alafu hawaoni shida mtu kuwa shoga lakini muda huohuo wanaona shida Baba akimfira au Kufirana na kijana wake. Hiyo hawaiti tena Homoni.
Uone yalivyomajinga
Hao elewa kuwa ni mashoga wanaoutetea ushoga.
We jamaa unachekesha sana nikajua ni mtu reasonable kumbe mweupe kabisa. Kwamba Springer na NIH sio reputable journals? Unajua process za kupublish wewe? Au unadhani ukikusanya data tu inapitishwa? Mpaka hapa nimeshajua huna elimu ya kutosha otherwise ungekua unaelewa springer ni nini.Acha uongo, kijenetiki unajua Unazungumzia mambo usiyoyaelewa.
Kiwango cha testosterone au estrogen kuwa nyingi hakumfanyi mtu kuwa na Hisia na mambo ya ushoga hakuna kitu kama hicho.
Haya kwa mfano wale wanaotaka kufira au Kufirwa na wanyama nao utafiti wao unasema testosterone au estrogen zao zipo High?
Yaani kuna Watu akili zenu ni fupi licha ya kuwa mmeenda shule.
Ndio maana ambao hawajaenda shule wanawadharau.
FaizaFoxy
Yaani useme testosterone au estrogen zikizidi mtu anavutiwa na jinsia nyingine na utafiti uchwarwa uliofanywa na mashoga na wewe kwa akili zako ndogo umeingia kingi.
Hizo tafiti kila siku nazifanya.
Najua mtu au taasisi inaweza kuwa na agenda ya kupromoti jambo fulani na wakafanya utafiti na kudanganya dunia kwa agenda zao
Hivyo sio kila tafiti ni kweli. Tumia akili Budah!