Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Sio yeye pekee hata aliwafirimba wakawa kama yeye.Siafiki hili, kuhusu hisia kuto controlika ni uongo, maana Inakua ni maamuzi ya mtu.
Hebu eleza kabla ya kuwa Gay alikua vipi, na baadae akawaje?
Kwanza huyu mtu hakua muongeaji, alikua mpole alienda shule za uboyzini huko ndo akaanza hiyo michezo.
Kurudi mtaani alificha ficha lakini baada ya muda alianza kubadilika hasa kimaongezi, kutongoza hovyo wanaume wenzie na kuwahonga.
Wengine anawalewesha then anawapasulia yai.
Watu wazima walipomstukia akahamia kwa watoto, na sio kua hakua na wapenzi wa kariba yake. Alikua nao wengi tu ila tamaa tu.