Wazazi wenyewe wanawala watoto zao majumbani. Matukio hayo kibao, hayasemwi tu.Miaka yetu tulikuwa na beach party
Lkn hakukuwa na mambo haya
Siku hizi ngono imekuwa ajira rasmi
Ngono inafanyika wazi na kutangazwa
Wazi kabisa
Kizaz cha sahv nakionea huruma
Ova
DuhBaba kama anamla binti yake, atakuwa na kauli ipi ya kumataza maasi? Ataweza vipi kumwambia sikununulii smartphone?
View attachment 2791151
Angalia huyu binti hapo amefanya sex mbele ya ndugu zake na wazazi bila kujua, anatoka akipandisha chupi na hawezi kusema kutokana na aibu:
Watu wanapokwenda beach, wasichana wengi wanapenda kuogelea na wengi wao hawajui, hivyo wale Beach Boys wanaokodisha maboya huingia nao kwenye maji kwa lengo la kuwafundisha.
“Kinachofuata sasa, Beach Boys hupeleka boya hadi kwenye kina kirefu, wakifika huko kijana huomba apewe penzi huku akimtishia mdada kuwa akigoma anamuachia afe.
“Mdada akijifanya mbishi anazamishwa, anakunwya maji kidogo kisha anaibuliwa, akishaona mlango wa kuzimu anakubali kiulainii. Kwa staili hii wadada wengi wamepewa mimba na kuambukizwa magonjwa.”
Mmoja wa mabinti aliyewahi kufanyiwa mchezo huo aliyeomba hifadhi ya jina lake alidai kuwa, kuna wakati alifika na wenzake kwa lengo la kufundishwa kuogelea lakini kilichompata hatasahau.
“Mimi kila wakati nikienda kule beach natamani sana kuogelea lakini nilikuwa siwezi ndo nikaambiwa wale vijana wanaokodisha yale maboya ukitaka wanakufundisha.
“Siku moja nikaenda pale, nikaongea na kijana mmoja ambaye alikubali kunifundisha kwa malipo ya shilingi elfu tano. Wakati ananifundisha akawa ananipeleka kwenye sehemu yenye maji mengi, tukaenda mbali sana ambako nisingeweza kurudi peke yangu.
“Huko akaanza kunitaka nimpe penzi huku akisema hata nisipomlipa, kwa kweli nilichangayikiwa. Wakati najifikiria alishaanza kunichezea kisha akanibaka,” alidai binti huyo.
Jamaa wanakosea humu comment negative sana na utakuta wao wana watoto wakike pia ndugu wa kike hovyo sanaAchana na huyu maana anaongea kama zile video za kutafuta views YouTube.
Ila kiukweli kuna namna Tanzania tunachukulia sexual abuse kama kitu cha kawaida hadi pale inapomkuta mtu wako wa karibu.
Ukifuatilia comments za humu ndio utaelewa
Wewe mheshimiwa Kuna Mambo ya msingi ya ku-deal nayoHbr za mchana.
Unanilaumu uki assume niliona? Lini kwanza? Naomba unipe ushirikiano basi hata kwa hatua hii. Ya jana tuipe jana na ya Leo tuipe Leo. Haya ndiyo maendeleo. Ahsante Sana. Vema tukichati kwenye namba hii 0765345777 tupange nishirikishe sekta husika tukae tuone la kufanya. Haya ndiyo maendeleo ambayo mm nayaamini.
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Hawa vijana ovyo sana! Serkali iwachukulie hatua kali!View attachment 2791151
Angalia huyu binti hapo amefanya sex mbele ya ndugu zake na wazazi bila kujua, anatoka akipandisha chupi na hawezi kusema kutokana na aibu:
Watu wanapokwenda beach, wasichana wengi wanapenda kuogelea na wengi wao hawajui, hivyo wale Beach Boys wanaokodisha maboya huingia nao kwenye maji kwa lengo la kuwafundisha.
“Kinachofuata sasa, Beach Boys hupeleka boya hadi kwenye kina kirefu, wakifika huko kijana huomba apewe penzi huku akimtishia mdada kuwa akigoma anamuachia afe.
“Mdada akijifanya mbishi anazamishwa, anakunwya maji kidogo kisha anaibuliwa, akishaona mlango wa kuzimu anakubali kiulainii. Kwa staili hii wadada wengi wamepewa mimba na kuambukizwa magonjwa.”
Mmoja wa mabinti aliyewahi kufanyiwa mchezo huo aliyeomba hifadhi ya jina lake alidai kuwa, kuna wakati alifika na wenzake kwa lengo la kufundishwa kuogelea lakini kilichompata hatasahau.
“Mimi kila wakati nikienda kule beach natamani sana kuogelea lakini nilikuwa siwezi ndo nikaambiwa wale vijana wanaokodisha yale maboya ukitaka wanakufundisha.
“Siku moja nikaenda pale, nikaongea na kijana mmoja ambaye alikubali kunifundisha kwa malipo ya shilingi elfu tano. Wakati ananifundisha akawa ananipeleka kwenye sehemu yenye maji mengi, tukaenda mbali sana ambako nisingeweza kurudi peke yangu.
“Huko akaanza kunitaka nimpe penzi huku akisema hata nisipomlipa, kwa kweli nilichangayikiwa. Wakati najifikiria alishaanza kunichezea kisha akanibaka,” alidai binti huyo.
hili linashangaza sana sema ndiyo AfrikaBado sana. Mpaka siku binti au dada anakumbwa na masaibu haya ndiyo mtu unashtuka. Mfumo dume bado unatawala japo nimeona hata baadhi ya wanawake wenyewe wanaunga mkono. Badooo!
Si kweli Mbona humu watu hamtumii common sense kufikiria jambo dogo, umeshajiuliza kuna wageni wangapi wanawake wanatoka mikoani na kutembelea hizo beach za Dar es salaam na hawana taarifa hizi za unyanyasajiDada zetu nao wana shida mkuu...
Hakuna beach ambayo unaenda usiskie hizi story...
Ni vile nayeye anakuwa amewiwa kufanya hivo... its to sad
Hapa sasa wazazi wa kizazi hiki watapona lawama kweli? Nn maoni yako hapa nduguKizazi hiki cha singeli amapiano
Kinaleleka kwani
Kishapotea kwanza hawasiki hawaambiliki
Ova
Hawa vijana ovyo sana! Serkali iwachukulie hatua kali!
View attachment 2791228
Mkuu isijekuwa una Poor Brain, hivi mtu amefanyiwa kitendo kama hivyo na hajapenda ataona aibu kuripoti?Tunaanza na nyie chipukizi ili tujue walimu wenu wapo wapi na tunawapataje...
Ndiyo. Afrika yetu hii tunajuana sisi kwa sisi...hili linashangaza sana sema ndiyo Afrika
Unaendeleaje Brother
Mkuu DSM wageni wanashuka kila siku. inawezekana kabisa Mwajuma alienda mtembelea ndugu yake wa mbagala toka songea hana taarifa za hii michezo.Hivi watu huwa mnawezaje kuona mtu anafanyiwa uhalifu kama huo na mkakaa kimya mkatulia kabisa? Yaan kumbe ndo maana watu wazima mnajifungia ndani kuogopa vijana wenye miaka 11 walioshika mapanga mnawaita panya rodi, uhalifu huwa unakomaa kwa kuchekea mambo ya kipuuzi kama haya, watu hamuwezi kabisa kushirikiana kutokomeza mambo haya?
Ila Hawa dada zetu nao sometimes ni tatizo mimi huko cocobeach huwa siendi lakini najua wanawake wanabakwa na hao Beach Boys kwa mbinu hizohizo sasa mwanamke anaeenda inamaana kweli huwa hana taarifa kuwa huwa wenzake wanafanyiwa nini?
Mm ndiyo naliona hapa pamoja na kuwa tumetangaza Sana mifumo ya mawasiliano kwa matukio ya ukatili wa kijinsia. Sasa kuna wakati natoka naenda speed kwenye tukio, nakuta eti watu walikuwa wanaigiza, jamii inaanza na mimi "waziri gani anafuatilia maigizo"[emoji848] ijapokuwa ni maigizo ya hovyo. Ndiyo Sasa nimesema, kuwa sawa taarifa hapa zimetolewa, je Hawa manusura wako wapi ? Waje kwangu mm nataka niwasikie kwa Siri wanitumie sms 0765345777.Mimi ngoja niandike niamini naye mwandikia ni waziri. Picha ya huyo kijana inaonekana hapo wazi na haya mambo yamekuwa ynazungumzwa kwa muda mrefu sana lakini hili la mtoto wa kike kufanyiwa hadharani na unamuona anatoka akiwa shocked ni zaidi ya ukatili. Naomba sana uanze na huyu kijana anayeonekana kwenye picha iwe funzo kwa wengine huyu ni mbakaji tena anaonekana tu wala sio mara ya kwanza. Naomba sana sheria kali sana zichukuliwe ni hatari. Unaweza kusikia mambo haya yanafanyika kwa siri lakini haya yako public na hii clip imetembea bahati mbaya sana hatujasikia sauti ya ukali kutoka mamlaka kuliongelea hili.
Kuna mambo nyie kama serikaliHapa sasa wazazi wa kizazi hiki watapona lawama kweli? Nn maoni yako hapa ndugu
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Hivi unadhani kwa nini wizara na wadau wanayo program ya kuwekeza kwenye afya na maendeleo ya vijana balehe? Hao vijana balehe wa kuwapa afya tunawafikiaje kama hatuji humu kusikia haya matatizo Ili tupeleke huduma za outreach Hadi huko waliko sijui beach wajue?Wewe mheshimiwa Kuna Mambo ya msingi ya ku-deal nayo
Hao wameamua wenyewe, wametoka wanapoenda wanapajua
Mji unawatu wenye uhitaji wengi kuliko hao mnaotaka kuwaangaikia
Well said MkuuHivi unadhani kwa nini wizara na wadau wanayo program ya kuwekeza kwenye afya na maendeleo ya vijana balehe? Hao vijana balehe wa kuwapa afya tunawafikiaje kama hatuji humu kusikia haya matatizo Ili tupeleke huduma za outreach Hadi huko waliko sijui beach wajue?
Swali la pili; hayo makundi maalumu mengine hujaona uhusiano wa tabia hizi ambazo zinazalisha mimba za utotoni na vifo vya mapema na kuacha watoto tegemezi kwenye makao ya watoto takribani 400 sasa?
Kumbe kama hatuji humu kuelimisha jamii iache haya mambo hayo makundi mengine yanayogeuka kuwa maalumu tunayadhibiti vipi? Na hiyo program ya vijana itafanikiwa vipi?
Tafadhali naomba maoni yako kama humu uwepo wangu ni bure ni left kabisa
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app