DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Miaka yetu tulikuwa na beach party
Lkn hakukuwa na mambo haya

Siku hizi ngono imekuwa ajira rasmi
Ngono inafanyika wazi na kutangazwa
Wazi kabisa
Kizaz cha sahv nakionea huruma

Ova
Wazazi wenyewe wanawala watoto zao majumbani. Matukio hayo kibao, hayasemwi tu.
 
Baba kama anamla binti yake, atakuwa na kauli ipi ya kumkataza maasi? Ataweza vipi kumwambia sikununulii smartphone?
 
Acheni utani utafundishwa kuogelea kwa siku moja? Hao wanapenda mgegedo na wengine ni wauzaji tu kwahiyo sidhani kama kuwaonea huruma ni jambo sahihi
View attachment 2791151
Angalia huyu binti hapo amefanya sex mbele ya ndugu zake na wazazi bila kujua, anatoka akipandisha chupi na hawezi kusema kutokana na aibu:

Watu wanapokwenda beach, wasichana wengi wanapenda kuogelea na wengi wao hawajui, hivyo wale Beach Boys wanaokodisha maboya huingia nao kwenye maji kwa lengo la kuwafundisha.

“Kinachofuata sasa, Beach Boys hupeleka boya hadi kwenye kina kirefu, wakifika huko kijana huomba apewe penzi huku akimtishia mdada kuwa akigoma anamuachia afe.

“Mdada akijifanya mbishi anazamishwa, anakunwya maji kidogo kisha anaibuliwa, akishaona mlango wa kuzimu anakubali kiulainii. Kwa staili hii wadada wengi wamepewa mimba na kuambukizwa magonjwa.”

Mmoja wa mabinti aliyewahi kufanyiwa mchezo huo aliyeomba hifadhi ya jina lake alidai kuwa, kuna wakati alifika na wenzake kwa lengo la kufundishwa kuogelea lakini kilichompata hatasahau.

“Mimi kila wakati nikienda kule beach natamani sana kuogelea lakini nilikuwa siwezi ndo nikaambiwa wale vijana wanaokodisha yale maboya ukitaka wanakufundisha.

“Siku moja nikaenda pale, nikaongea na kijana mmoja ambaye alikubali kunifundisha kwa malipo ya shilingi elfu tano. Wakati ananifundisha akawa ananipeleka kwenye sehemu yenye maji mengi, tukaenda mbali sana ambako nisingeweza kurudi peke yangu.

“Huko akaanza kunitaka nimpe penzi huku akisema hata nisipomlipa, kwa kweli nilichangayikiwa. Wakati najifikiria alishaanza kunichezea kisha akanibaka,” alidai binti huyo.​
 
Achana na huyu maana anaongea kama zile video za kutafuta views YouTube.
Ila kiukweli kuna namna Tanzania tunachukulia sexual abuse kama kitu cha kawaida hadi pale inapomkuta mtu wako wa karibu.

Ukifuatilia comments za humu ndio utaelewa
Jamaa wanakosea humu comment negative sana na utakuta wao wana watoto wakike pia ndugu wa kike hovyo sana
 
Mijibaba kutembea na vitoto ni kawaida tu. Mijimama na mijishangazi kutembea na vitoto ni kawaida tu.

Nani wa kumfunga kengele mwenzake?
 
Hbr za mchana.

Unanilaumu uki assume niliona? Lini kwanza? Naomba unipe ushirikiano basi hata kwa hatua hii. Ya jana tuipe jana na ya Leo tuipe Leo. Haya ndiyo maendeleo. Ahsante Sana. Vema tukichati kwenye namba hii 0765345777 tupange nishirikishe sekta husika tukae tuone la kufanya. Haya ndiyo maendeleo ambayo mm nayaamini.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Wewe mheshimiwa Kuna Mambo ya msingi ya ku-deal nayo
Hao wameamua wenyewe, wametoka wanapoenda wanapajua

Mji unawatu wenye uhitaji wengi kuliko hao mnaotaka kuwaangaikia
 
View attachment 2791151
Angalia huyu binti hapo amefanya sex mbele ya ndugu zake na wazazi bila kujua, anatoka akipandisha chupi na hawezi kusema kutokana na aibu:

Watu wanapokwenda beach, wasichana wengi wanapenda kuogelea na wengi wao hawajui, hivyo wale Beach Boys wanaokodisha maboya huingia nao kwenye maji kwa lengo la kuwafundisha.

“Kinachofuata sasa, Beach Boys hupeleka boya hadi kwenye kina kirefu, wakifika huko kijana huomba apewe penzi huku akimtishia mdada kuwa akigoma anamuachia afe.

“Mdada akijifanya mbishi anazamishwa, anakunwya maji kidogo kisha anaibuliwa, akishaona mlango wa kuzimu anakubali kiulainii. Kwa staili hii wadada wengi wamepewa mimba na kuambukizwa magonjwa.”

Mmoja wa mabinti aliyewahi kufanyiwa mchezo huo aliyeomba hifadhi ya jina lake alidai kuwa, kuna wakati alifika na wenzake kwa lengo la kufundishwa kuogelea lakini kilichompata hatasahau.

“Mimi kila wakati nikienda kule beach natamani sana kuogelea lakini nilikuwa siwezi ndo nikaambiwa wale vijana wanaokodisha yale maboya ukitaka wanakufundisha.

“Siku moja nikaenda pale, nikaongea na kijana mmoja ambaye alikubali kunifundisha kwa malipo ya shilingi elfu tano. Wakati ananifundisha akawa ananipeleka kwenye sehemu yenye maji mengi, tukaenda mbali sana ambako nisingeweza kurudi peke yangu.

“Huko akaanza kunitaka nimpe penzi huku akisema hata nisipomlipa, kwa kweli nilichangayikiwa. Wakati najifikiria alishaanza kunichezea kisha akanibaka,” alidai binti huyo.​
Hawa vijana ovyo sana! Serkali iwachukulie hatua kali!
 
Dada zetu nao wana shida mkuu...
Hakuna beach ambayo unaenda usiskie hizi story...
Ni vile nayeye anakuwa amewiwa kufanya hivo... its to sad
Si kweli Mbona humu watu hamtumii common sense kufikiria jambo dogo, umeshajiuliza kuna wageni wangapi wanawake wanatoka mikoani na kutembelea hizo beach za Dar es salaam na hawana taarifa hizi za unyanyasaji

Tubadirike Mkuu yaani binti aombe kufundishwa kuogelea then mfundishaji afanye nae ngono awe amependa, what's kind of thinking unaitumia ?
 
Tunaanza na nyie chipukizi ili tujue walimu wenu wapo wapi na tunawapataje...
Mkuu isijekuwa una Poor Brain, hivi mtu amefanyiwa kitendo kama hivyo na hajapenda ataona aibu kuripoti?

Kwani kutoka hapo Kawe beach hadi kituo cha polisi Kawe ni kilomita ngapi?

Hao wanawake wanafurahia Kitombo cha baharini acheni waenjoy.

Wakionekana wanajitetea kwamba walilazimishwa kumbe walipenda.
 
Hayo ya cocobeach ni madog sana, tena hiyo imekuwa beach ya walalahoi. Nenda beach za Kigamboni huko, zote zina vibanda vya kukodisha kulana, na watoto huko wanapelekwa na wazazi wao.

Njoo uzione "beach picnic" za Boza Beach. Kama ni mtu unayejiheshimu na mwenye maadili mema hukai hata dakika kumi. Ni maajabu.

Si wahindi, si Waarabu si wazungu. Kuna vibanda huko vya 100,000 kwa siku moja. Sasa nambie watu wa 'circle" ipi wanaokwenda huko?

Huko ndiyo ukisikia beach ya matawi.
 
Hivi watu huwa mnawezaje kuona mtu anafanyiwa uhalifu kama huo na mkakaa kimya mkatulia kabisa? Yaan kumbe ndo maana watu wazima mnajifungia ndani kuogopa vijana wenye miaka 11 walioshika mapanga mnawaita panya rodi, uhalifu huwa unakomaa kwa kuchekea mambo ya kipuuzi kama haya, watu hamuwezi kabisa kushirikiana kutokomeza mambo haya?

Ila Hawa dada zetu nao sometimes ni tatizo mimi huko cocobeach huwa siendi lakini najua wanawake wanabakwa na hao Beach Boys kwa mbinu hizohizo sasa mwanamke anaeenda inamaana kweli huwa hana taarifa kuwa huwa wenzake wanafanyiwa nini?
Mkuu DSM wageni wanashuka kila siku. inawezekana kabisa Mwajuma alienda mtembelea ndugu yake wa mbagala toka songea hana taarifa za hii michezo.
 
Mimi ngoja niandike niamini naye mwandikia ni waziri. Picha ya huyo kijana inaonekana hapo wazi na haya mambo yamekuwa ynazungumzwa kwa muda mrefu sana lakini hili la mtoto wa kike kufanyiwa hadharani na unamuona anatoka akiwa shocked ni zaidi ya ukatili. Naomba sana uanze na huyu kijana anayeonekana kwenye picha iwe funzo kwa wengine huyu ni mbakaji tena anaonekana tu wala sio mara ya kwanza. Naomba sana sheria kali sana zichukuliwe ni hatari. Unaweza kusikia mambo haya yanafanyika kwa siri lakini haya yako public na hii clip imetembea bahati mbaya sana hatujasikia sauti ya ukali kutoka mamlaka kuliongelea hili.
Mm ndiyo naliona hapa pamoja na kuwa tumetangaza Sana mifumo ya mawasiliano kwa matukio ya ukatili wa kijinsia. Sasa kuna wakati natoka naenda speed kwenye tukio, nakuta eti watu walikuwa wanaigiza, jamii inaanza na mimi "waziri gani anafuatilia maigizo"[emoji848] ijapokuwa ni maigizo ya hovyo. Ndiyo Sasa nimesema, kuwa sawa taarifa hapa zimetolewa, je Hawa manusura wako wapi ? Waje kwangu mm nataka niwasikie kwa Siri wanitumie sms 0765345777.

Nataka tuwe na kitu mkononi kabisa, kwa nini hawataki kujitokeza? Labda Leo niwasubiri nitawasikia.

Lakini na watoto wa kiume pia, mababa wa kesho, hivi hii siyo wanajidhalilisha pia? Hapa si wanadhalilika wote?

Mwisho; hii video naipeleka mahali sahihi wakafuatilie. Ila mm nasubiri hao manusura naomba wanifikie tafadhali.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Wewe mheshimiwa Kuna Mambo ya msingi ya ku-deal nayo
Hao wameamua wenyewe, wametoka wanapoenda wanapajua

Mji unawatu wenye uhitaji wengi kuliko hao mnaotaka kuwaangaikia
Hivi unadhani kwa nini wizara na wadau wanayo program ya kuwekeza kwenye afya na maendeleo ya vijana balehe? Hao vijana balehe wa kuwapa afya tunawafikiaje kama hatuji humu kusikia haya matatizo Ili tupeleke huduma za outreach Hadi huko waliko sijui beach wajue?

Swali la pili; hayo makundi maalumu mengine hujaona uhusiano wa tabia hizi ambazo zinazalisha mimba za utotoni na vifo vya mapema na kuacha watoto tegemezi kwenye makao ya watoto takribani 400 sasa?

Kumbe kama hatuji humu kuelimisha jamii iache haya mambo hayo makundi mengine yanayogeuka kuwa maalumu tunayadhibiti vipi? Na hiyo program ya vijana itafanikiwa vipi?

Nimejifunza pia kuwa, kumbe wengi wetu hatuyafahamu makundi maalumu ya jamii ni yepi na chimbuko la baadhi ya walio kwenye hayo makundi ni wepi na kwamba, huenda pia hatufahamu kwamba, tusipojenga utotoni na ujanani ndiyo kwa upande mwingine tunachochea zaidi Kasi ya kuwa na wengi walio kwenye makundi maalumu.

Watu wengi wanajua labda makundi maalumu sijui ni wenye nini tu..... Tupitie pite kwenye taarifa za wizara huko tujue Ili tudhibiti tupunguze .

Tafadhali naomba maoni yako kama humu uwepo wangu ni bure ni left kabisa

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Hivi unadhani kwa nini wizara na wadau wanayo program ya kuwekeza kwenye afya na maendeleo ya vijana balehe? Hao vijana balehe wa kuwapa afya tunawafikiaje kama hatuji humu kusikia haya matatizo Ili tupeleke huduma za outreach Hadi huko waliko sijui beach wajue?

Swali la pili; hayo makundi maalumu mengine hujaona uhusiano wa tabia hizi ambazo zinazalisha mimba za utotoni na vifo vya mapema na kuacha watoto tegemezi kwenye makao ya watoto takribani 400 sasa?

Kumbe kama hatuji humu kuelimisha jamii iache haya mambo hayo makundi mengine yanayogeuka kuwa maalumu tunayadhibiti vipi? Na hiyo program ya vijana itafanikiwa vipi?

Tafadhali naomba maoni yako kama humu uwepo wangu ni bure ni left kabisa

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Well said Mkuu

Ni muhimu kuendelea kuwapa Elimu ili waweze kujitambua.

Wanasema Samaki mkunje angali Mbichi
 
Back
Top Bottom