Hivi unadhani kwa nini wizara na wadau wanayo program ya kuwekeza kwenye afya na maendeleo ya vijana balehe? Hao vijana balehe wa kuwapa afya tunawafikiaje kama hatuji humu kusikia haya matatizo Ili tupeleke huduma za outreach Hadi huko waliko sijui beach wajue?
Swali la pili; hayo makundi maalumu mengine hujaona uhusiano wa tabia hizi ambazo zinazalisha mimba za utotoni na vifo vya mapema na kuacha watoto tegemezi kwenye makao ya watoto takribani 400 sasa?
Kumbe kama hatuji humu kuelimisha jamii iache haya mambo hayo makundi mengine yanayogeuka kuwa maalumu tunayadhibiti vipi? Na hiyo program ya vijana itafanikiwa vipi?
Tafadhali naomba maoni yako kama humu uwepo wangu ni bure ni left kabisa
Sent from my CPH2207 using
JamiiForums mobile app