DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
View attachment 2791093

Angalia huyu binti hapo amefanya sex mbele ya ndugu zake na wazazi bila kujua, anatoka akipandisha chupi na hawezi kusema kutokana na aibu:

Watu wanapokwenda beach, wasichana wengi wanapenda kuogelea na wengi wao hawajui, hivyo wale Beach Boys wanaokodisha maboya huingia nao kwenye maji kwa lengo la kuwafundisha.

“Kinachofuata sasa, Beach Boys hupeleka boya hadi kwenye kina kirefu, wakifika huko kijana huomba apewe penzi huku akimtishia mdada kuwa akigoma anamuachia afe.

“Mdada akijifanya mbishi anazamishwa, anakunwya maji kidogo kisha anaibuliwa, akishaona mlango wa kuzimu anakubali kiulainii. Kwa staili hii wadada wengi wamepewa mimba na kuambukizwa magonjwa.”

Mmoja wa mabinti aliyewahi kufanyiwa mchezo huo aliyeomba hifadhi ya jina lake alidai kuwa, kuna wakati alifika na wenzake kwa lengo la kufundishwa kuogelea lakini kilichompata hatasahau.

“Mimi kila wakati nikienda kule beach natamani sana kuogelea lakini nilikuwa siwezi ndo nikaambiwa wale vijana wanaokodisha yale maboya ukitaka wanakufundisha.

“Siku moja nikaenda pale, nikaongea na kijana mmoja ambaye alikubali kunifundisha kwa malipo ya shilingi elfu tano. Wakati ananifundisha akawa ananipeleka kwenye sehemu yenye maji mengi, tukaenda mbali sana ambako nisingeweza kurudi peke yangu.

“Huko akaanza kunitaka nimpe penzi huku akisema hata nisipomlipa, kwa kweli nilichangayikiwa. Wakati najifikiria alishaanza kunichezea kisha akanibaka,” alidai binti huyo.​
Tafadhali wote wenye ushahidi au taarifa juu ya huu ukatili wanitumie ujumbe kwenye namba 0765345777 au 0734124191 ili tuelewe vizuri zaidi tupange uchunguzi kwa hatua zaidi. Na iwapo jambo hili lipo, huu ni unyanyasaji wa kijinsia na tukimpata au kuwapata hawa makatili, watatutajia mnyororo mzima uchukuliwe hatua. Aidha , taarifa zitasaidia kumulima utaratibu mzima wa hizi huduma.

Lakini ndugu wanawake na mabinti, jilindeni na huduma ambazo hazina usajili au utaratibu rasmi popote pale, ni hatari.

Naitwa Dkt Gwajima Dorothy Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu. Ahsante Sana.
 
Tafadhali wote wenye ushahidi au taarifa juu ya huu ukatili wanitumie ujumbe kwenye namba 0765345777 au 0734124191 ili tuelewe vizuri zaidi tupange uchunguzi kwa hatua zaidi. Na iwapo jambo hili lipo, huu ni unyanyasaji wa kijinsia na tukimpata au kuwapata hawa makatili, watatutajia mnyororo mzima uchukuliwe hatua na utaratibu mzima wa hizi huduma.

Jambo hili limekuwa likifanyika kwa kipindi kirefu sasa
 
Mh

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Mh.inabidi muandae operations maalumu kwa siri kwenye beach zote za dar na watu WA usalama ili kushuhudia na mkiwabaini wahusika na wahanga WA Ivyo vitendo mnawatia kwenye vyombo vya sheria
 
Siyo kweli kwamba huwa wanabakwa, huwa wameridhia.

Mleta mada anavyosema wanapelekwa kwenye kina kirefu, huyo anaevaa chupi alikuwa kwenye kina kirefu hapo?
Hujaelewa wewe. Binti huyo anaepandisha chupi usifikiri kilichotoka kufanyika ameridhia?. Yaani ukikodi kufundishwa unapelekwa mbali na hilo boya. Then kule anakuambia ampe penzi. Ukikataa unazamishwa kidogo ili kukutisha. Unajua kufa maji kunavyotisha?. Lazima ukubali. Na hapo inakuwa kama ameridhia,lakini amebakwa,ni sawa na kuwekewa bunduki.
Huo mchezo nimeusikia mara nyingi kwa hao beach boy.
 
Huwa wanataka wenyewe kugongwa acheni kuwalaumu hao beachboys.

Na kama huwa unaenda beach utagundua kua ufuska hufanyika kwenye kina kifupi kma hapo.
Kina Kirefu MKURUDUNGU / MKUYENGE hauwezi Kuingia / Kuzama Wote MBUNYENI / KOKWANI kwani kunakosekana Balance ya Wimbi, ya uwekaji / Usimikaji wa Miguu ili Kiuno kifanye Kazi yake ya Kutukuka ( hasa katika Kusukuma ndani na kuitoa ), Volume ya Maji ya Bahari, Ujazo wa Chumvi iliyoko Majini katika Eneo husika, Speed ya Maji, Force of Gravity na kusumbuliwa na Samaki wadogo wadogo wanaokuwa Wanawapigieni Chabo wao wakiwa ndani ya Maji.
 
imagine binti yako ndio anapelekewa moto apo kama wewe utafanya nini?
Kwa umri huo ni kuanzia miaka 25 na kuendelea hvyo ana free will kufanya au kutokufanya kingine kwa mujibu wa video inaonekana kabisa kina cha maji ni kifupi sana ni cha miguuni mpka kiunoni hivyo kufanywa vile ni mipango na sio tishio... Be detective kijana vitu vingine haviitaji akili kubwa
 
Bahari ya Coco ina maji machafu sana.

Sasa yakiingia huko ukeni si ndio mwanzo wa magonjwa.
Maji yana chumvi sana pale Coco , uke unajisafisha!
Kumbuka unakula smaki wa baharini na kinyesi
Pweza, changu, dagaa mchanga ndio wanakula huo unaoita uchafu alafu unalipa elf 15 kwa ugali samaki.
 
Back
Top Bottom