DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    9.2 KB · Views: 10
Tafadhali wote wenye ushahidi au taarifa juu ya huu ukatili wanitumie ujumbe kwenye namba 0765345777 au 0734124191 ili tuelewe vizuri zaidi tupange uchunguzi kwa hatua zaidi. Na iwapo jambo hili lipo, huu ni unyanyasaji wa kijinsia na tukimpata au kuwapata hawa makatili, watatutajia mnyororo mzima uchukuliwe hatua. Aidha , taarifa zitasaidia kumulima utaratibu mzima wa hizi huduma.

Lakini ndugu wanawake na mabinti, jilindeni na huduma ambazo hazina usajili au utaratibu rasmi popote pale, ni hatari.

Naitwa Dkt Gwajima Dorothy Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu. Ahsante Sana.
Waziri hapana shaka tutafanya hivyo.Na pia kuna taarifa jana ilisambaa humu jamii forum ya dereva wa serikali kwenda na maiti bar kutazama mpira.
Ebu lifuatilie hili kiongozi na nilishindwa kukupata kwa wakati.
 
Mimi tayari Nyege zimeshanipanda na Mademu zangu Wote utafikiri waliambiana au wana Agenda Maalum kwani kila ninayempigia Simu kutaka Mbunye yake / zao anasema / wanasema kwa sasa Bwawa lake la Mindu limefurika labda nisubirie likauke baada ya Siku Nne hadi Saba.
mvua hizi, tafuta toto unga kikojoleo sasa
 
Tafadhali wote wenye ushahidi au taarifa juu ya huu ukatili wanitumie ujumbe kwenye namba 0765345777 au 0734124191 ili tuelewe vizuri zaidi tupange uchunguzi kwa hatua zaidi. Na iwapo jambo hili lipo, huu ni unyanyasaji wa kijinsia na tukimpata au kuwapata hawa makatili, watatutajia mnyororo mzima uchukuliwe hatua. Aidha , taarifa zitasaidia kumulima utaratibu mzima wa hizi huduma.

Lakini ndugu wanawake na mabinti, jilindeni na huduma ambazo hazina usajili au utaratibu rasmi popote pale, ni hatari.

Naitwa Dkt Gwajima Dorothy Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu. Ahsante Sana.
Asante sana Mheshimiwa, umenigusa, umeigusa jamii na kwa hili jambo , MUNGU pekee akulipe:
Ushahidi upo mpaka unapitiliza, utaanza kupokea picha na wanapopatikana hawa wabakaji, maeneo ya Namanga wanapouza maua[zipo gest/vibanda bubu wanaishi huko na wanajulikana na hata huyu kijana tunaweza kukupatia maelezo zaidi.]
Mods wa JAMII FORUM tunaomba sana mtusaidie na kumsaidia Mh Waziri kuweka vizuri namba yake tukomeshe hili janga, ni unyanyasaji wa wanawake usiopigiwa kelele.
vyuo vikuu vimefunguliwa watoto wa kike wanaanzia beach na hawajui lolote, huu ndio wakati udhalilishaji upo juu sana.
 
Hii ni beach zote Za baharini kuanzia tanga Bagamoyo, Mpaka mtwara na visiwani
 
View attachment 2791093

Angalia huyu binti hapo amefanya sex mbele ya ndugu zake na wazazi bila kujua, anatoka akipandisha chupi na hawezi kusema kutokana na aibu:

Watu wanapokwenda beach, wasichana wengi wanapenda kuogelea na wengi wao hawajui, hivyo wale Beach Boys wanaokodisha maboya huingia nao kwenye maji kwa lengo la kuwafundisha.

“Kinachofuata sasa, Beach Boys hupeleka boya hadi kwenye kina kirefu, wakifika huko kijana huomba apewe penzi huku akimtishia mdada kuwa akigoma anamuachia afe.

“Mdada akijifanya mbishi anazamishwa, anakunwya maji kidogo kisha anaibuliwa, akishaona mlango wa kuzimu anakubali kiulainii. Kwa staili hii wadada wengi wamepewa mimba na kuambukizwa magonjwa.”

Mmoja wa mabinti aliyewahi kufanyiwa mchezo huo aliyeomba hifadhi ya jina lake alidai kuwa, kuna wakati alifika na wenzake kwa lengo la kufundishwa kuogelea lakini kilichompata hatasahau.

“Mimi kila wakati nikienda kule beach natamani sana kuogelea lakini nilikuwa siwezi ndo nikaambiwa wale vijana wanaokodisha yale maboya ukitaka wanakufundisha.

“Siku moja nikaenda pale, nikaongea na kijana mmoja ambaye alikubali kunifundisha kwa malipo ya shilingi elfu tano. Wakati ananifundisha akawa ananipeleka kwenye sehemu yenye maji mengi, tukaenda mbali sana ambako nisingeweza kurudi peke yangu.

“Huko akaanza kunitaka nimpe penzi huku akisema hata nisipomlipa, kwa kweli nilichangayikiwa. Wakati najifikiria alishaanza kunichezea kisha akanibaka,” alidai binti huyo.​
Hapa tusidanganyane jinsi alivyokuwa anamvuta jamaa kichwa anampiga Denda anamkubatia na anatanua miguu na jinsi alivyotoka na kina cha maji ni dhahiri kwamba alitaka kufanywa hivyo
 
halafu awe na kucha ziwe zinaku kwangua kwangua mgongoni
 
Waziri hapana shaka tutafanya hivyo.Na pia kuna taarifa jana ilisambaa humu jamii forum ya dereva wa serikali kwenda na maiti bar kutazama mpira.
Ebu lifuatilie hili kiongozi na nilishindwa kukupata kwa wakati.
Wacha kwanza Mh GWAJIMA aende na hili la WANAWAKE kubakwa mbele za wazazi wao coco Beach na Kawe na Kigamboni pale mikadi.
Serikali impatie Mh Gwajima fedha za ku-monitor beaches zote.
Bunge litunge sheria kali maana sasa hawa watu wamezidi.
jiji litunge sheria kupitia madiwani , kudhibiti hizi fukwe.

WANAWAKE MLIOPO HUMU ina maana wanachofanyiwa wenzenu mnaona sawa tu mpaka wanaume ndio wawapigie kelele?
 
Hapa tusidanganyane jinsi alivyokuwa anamvuta jamaa kichwa anampiga Denda anamkubatia na anatanua miguu na jinsi alivyotoka na kina cha maji ni dhahiri kwamba alitaka kufanywa hivyo
Safi sana na nashangaa Madame Waziri hajaliona hilo. Yaani GENTAMYCINE niache Kula Uroda au Kushuhudia Video ya bure ya Demu Kubanduliwa nimpigie / niwapigie Simu? Watasubiri sana.
 
Tafadhali wote wenye ushahidi au taarifa juu ya huu ukatili wanitumie ujumbe kwenye namba 0765345777 au 0734124191 ili tuelewe vizuri zaidi tupange uchunguzi kwa hatua zaidi. Na iwapo jambo hili lipo, huu ni unyanyasaji wa kijinsia na tukimpata au kuwapata hawa makatili, watatutajia mnyororo mzima uchukuliwe hatua. Aidha , taarifa zitasaidia kumulima utaratibu mzima wa hizi huduma.

Lakini ndugu wanawake na mabinti, jilindeni na huduma ambazo hazina usajili au utaratibu rasmi popote pale, ni hatari.

Naitwa Dkt Gwajima Dorothy Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu. Ahsante Sana.
GENTAMYCINE ulisema unaushahidi wote haya muheshimiwa waziri anaomba umtumie
 
Hapa tusidanganyane jinsi alivyokuwa anamvuta jamaa kichwa anampiga Denda anamkubatia na anatanua miguu na jinsi alivyotoka na kina cha maji ni dhahiri kwamba alitaka kufanywa hivyo
Mtumishi na wewe umeangali yote?
Okay , hakuna consent, hapo ni ukubali kuliwa ama uachwe uzame, mtoto wa kike kuhofia kifo lazma ajiachie.
Jaribu ku step on her shoes utalewa.
Wanawake walindwe kwa gharama yeyote ile.
 
Back
Top Bottom