DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tafadhali wote wenye ushahidi au taarifa juu ya huu ukatili wanitumie ujumbe kwenye namba 0765345777 au 0734124191 ili tuelewe vizuri zaidi tupange uchunguzi kwa hatua zaidi. Na iwapo jambo hili lipo, huu ni unyanyasaji wa kijinsia na tukimpata au kuwapata hawa makatili, watatutajia mnyororo mzima uchukuliwe hatua. Aidha , taarifa zitasaidia kumulima utaratibu mzima wa hizi huduma.

Lakini ndugu wanawake na mabinti, jilindeni na huduma ambazo hazina usajili au utaratibu rasmi popote pale, ni hatari.

Naitwa Dkt Gwajima Dorothy Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu. Ahsante Sana.
Pitieni beach zote hivyo vitendo vyatokea.

Hata ukitoka hapo ulipo ukaenda kawe beach utakuta hayo yapo
 
Asante Muheshimiwa Waziri Nadhani wahusika wa unyanyasaji na waathirika wote waliofanyiwa hivyo na wenye Ushahidi watakutafuta ila ningependa pia usiri wa taarifa za mtoaji pia uzingatiwe
Wewe na Waziri wako Dkt. Gwajima D kwa hili mnapoteza muda. Si alijifanya Kupuuzia Bandiko langu hapa sasa acheni Wanyooshwe.
 
View attachment 2791093

Angalia huyu binti hapo amefanya sex mbele ya ndugu zake na wazazi bila kujua, anatoka akipandisha chupi na hawezi kusema kutokana na aibu:

Watu wanapokwenda beach, wasichana wengi wanapenda kuogelea na wengi wao hawajui, hivyo wale Beach Boys wanaokodisha maboya huingia nao kwenye maji kwa lengo la kuwafundisha.

“Kinachofuata sasa, Beach Boys hupeleka boya hadi kwenye kina kirefu, wakifika huko kijana huomba apewe penzi huku akimtishia mdada kuwa akigoma anamuachia afe.

“Mdada akijifanya mbishi anazamishwa, anakunwya maji kidogo kisha anaibuliwa, akishaona mlango wa kuzimu anakubali kiulainii. Kwa staili hii wadada wengi wamepewa mimba na kuambukizwa magonjwa.”

Mmoja wa mabinti aliyewahi kufanyiwa mchezo huo aliyeomba hifadhi ya jina lake alidai kuwa, kuna wakati alifika na wenzake kwa lengo la kufundishwa kuogelea lakini kilichompata hatasahau.

“Mimi kila wakati nikienda kule beach natamani sana kuogelea lakini nilikuwa siwezi ndo nikaambiwa wale vijana wanaokodisha yale maboya ukitaka wanakufundisha.

“Siku moja nikaenda pale, nikaongea na kijana mmoja ambaye alikubali kunifundisha kwa malipo ya shilingi elfu tano. Wakati ananifundisha akawa ananipeleka kwenye sehemu yenye maji mengi, tukaenda mbali sana ambako nisingeweza kurudi peke yangu.

“Huko akaanza kunitaka nimpe penzi huku akisema hata nisipomlipa, kwa kweli nilichangayikiwa. Wakati najifikiria alishaanza kunichezea kisha akanibaka,” alidai binti huyo.​
View attachment 2791147
Japo kuna vitu vinafikilisha kwenye hii video kwanini alienda na kitambaa?
 
Dkt. Gwajima D Tafuta kazi nyingine ya kufanya achana na hao malaya wa hapo coco beach.
Haiwezekan huo ukawa ubakaji hata kidogo.
Nakubaliana na wewe asilimia 100%...
Kama mtu wa kwanza alifanyiwa hivyo then alivotoka kwenye maji alichukua hatua gani ..?
Kama alikaa kimya means alipenda.

Kukaaa kuwatetea tetea sana hii inashusha thamani yao. Tena inaonesha jinsi gani dada zetu hawajielewi.

Anaye fanyiwa hayo mambo sio mtoto ni mtu mzima na akili zake..

Ukifika beach tuu hizi story zipo nyingi sana. Kusema huyo anayeenda huko beach ni mgeni, katoka mkoani au ..?

Hao wanapenda wenyewe. Ingekua wanaofanyiwa hivi ni watoto hapo hatua zingechukuliwa .

Mtu mzima na akili zako unafanyiwa hivo na unatoka upo comfortable kabisa si uchizi huo 😂😂😂😂😂😂
 
Pitieni beach zote hivyo vitendo vyatokea.

Hata ukitoka hapo ulipo ukaenda kawe beach utakuta hayo yapo
Msituchoshe acheni Wabanduliwe tu Majini sawa? Nilikuwa nawachukia Beach Boys ila kwakuwa Uzi wangu wa Kutahadhirisha haya Matendo yao niliouandika hapa JamiiForums mwaka huu huu Ulipuuzwa na Mamlaka akina Dkt. Gwajima D sasa GENTAMYCINE nimegeuka na nawatetea Beach Boys tena nitawapa hata Tuzo za Kutukuka.

Nimekereka mno....!!
 
Wewe na Waziri wako Dkt. Gwajima D kwa hili mnapoteza muda. Si alijifanya Kupuuzia Bandiko langu hapa sasa acheni Wanyooshwe.
Pengine hakuliona. Mabandiko hapa ni mengi labda kama ana watu kwa ajili ya kufuatilia mabandiko kama haya. Waziri anajitahidi sana kufuatilia taarifa hizi na kuzifanyia kazi hapo hapo pengine kuliko waziri mwingine ye yote. Kwa hili anastahili pongezi.
 
Back
Top Bottom