Rogojin The Idiot
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 3,559
- 4,255
Hao Malaya a pesa za wazungu tumewalea sana
Yule ni kibibi kizembe ugly na hakuna hata wa kumgusa tupu yakeSerikali inabaka Msichana kutoka Uganda?🤔
umejiandikisha kupiga kura 🤣Wewe hoja yako ni nini hasa?? Maana unaenda kinyume kabisa na hii mada, hebu eleza shida yako ili usaidiwe ndugu
vo umejiandikisha kupiga kura lakiniStori katafute huko mitandaoni utaipata yote
Wewe nanahisi kichwa chako hakipo sawa maana hata unachoandika hukielewi na sijui ni kwanini CCM inapenda kutumia watu ambao hawana akali kama wewe!
hajawahi kufungwa, wala hakuna kilichoathirika anaishi kama mtu wa kawaida, hakuna kiongozi yoyote wa nchi anaweza kufungwaBaada ya kunyea Debe Samia nae atatumikia tu.
basi utasumbuka sanaNdiyo. Saikolojia pekee inayo sumbua akili zangu ni hiyo damu ya waTanzania mnayoipangia kuimwaga ili Samia aendelee kuwa madarakani. Hilo linanisumbua sana akili yangu.
ndugu ngombe umeshajiandikisha lakiniWw ni ng'ombe..!!!..Huna akili..nakupuuza..🚮🚮
mbna una mda mrefu wa kuteseka kjana kila sehem utaenda ccm utaikutaUsipoteze lengo.
Tunazungumzia kazi uliyo tumwa humu JF na hao wanaokutunza kama mbwa.
sidhani kama ana ushahidi. mwanamke yeyote mkigombana asiposema umembaka, atasema umemtongoza akakukatalia au una kibamia. hadi zitoke hizo clip walizokuwa wanamchukua wakati wanambaka ndio tutaamini. na ninaamini askari wa tz wasingefanya kitu kama hicho kwa foreigner, never. usisikilize upande wa agatha peke yake.Sasa basi, hebu tusikilize kwa makini – this ain’t just some regular violation, huu siyo mchezo wa kitoto. Hiki kilichomkuta dada yetu Agatha Namirimu, mwanaharakati shupavu kutoka Uganda, ni kitendo cha kishetani, cha kinyama, na cha kutisha mno – ni ubakaji wa kisiasa, ni attempt ya kuua sauti ya haki, ni jaribio la kuzima moto wa ukombozi wa wanawake wa Kiafrika. Wale wanaodhani tunaweza kukaa kimya tuone mwanamke kama Agatha akivuliwa utu wake kwa nguvu kisa tu anaipigania haki, basi wanajidanganya sana – hell no!
Kitendo hicho hakihusiani na ngono, hakiwezi hata kuitwa tendo la ndoa la kulazimishwa – that’s pure weaponized violence. Ni mfumo wa kisiasa wa kidhalimu unaotumia ubakaji kama zana ya kuzima wapigania haki. Hii ni jinai dhidi ya ubinadamu kwa mujibu wa sheria za kimataifa, na kwa namna ilivyotekelezwa, ni wazi kabisa inafaa kupelekwa moja kwa moja International Criminal Court – The Hague. Na wakifika kule, believe me, hakutakuwa na kucheka cheka – it’s going down.
Tuna ushahidi wa kutosha kuonyesha kwamba huu ulikuwa calculated move, si tukio la bahati mbaya. Kama ilivyobainishwa kwenye Rome Statute ya mwaka 1998, ambayo ICC huitumia, ubakaji unaotokea katika muktadha wa kisiasa, au kama sehemu ya mashambulizi ya kijumla dhidi ya raia, ni crime against humanity. Ibara ya 7(1)(g) inatamka wazi – hiyo ni jinai. Na siyo tu aliyembaka atabeba msalaba, bali hata waliotengeneza mazingira, waliokaa kimya, waliotoa maagizo kwa njia za panya – wote watavuliwa heshima, na kwa mikono ya haki ya kimataifa, watachukuliwa kama criminals wakubwa.
Agatha siyo target ya kwanza. Lakini tunasema leo: she better be the last. Tumechoka kuona wanaharakati wetu wakiishi kwa hofu, wanawake wetu wakidhalilishwa kwa sababu tu ya kusema ukweli. Ukiangalia muktadha mzima, ni kama serikali imeamua kucheza na miili ya watu kama ngoma – but this time, we ain’t playing! Tunaitaka ICC iingilie sasa, si kesho, si wiki ijayo – right now!
Na wanasema sheria haina macho, lakini leo sheria inatazama na hasira. Sheria haitasema "pole", itasema "mshitakiwa simama kizimbani." Tunaomba mashirika ya kimataifa, mashirika ya haki za binadamu, na mabalozi wanaojidai wanatetea haki za wanawake – come through or shut up forever. Hii siyo issue ya Uganda peke yake – ni ishara ya shambulizi kwa wanawake wote wa Kiafrika, kwa wanaharakati wote wanaodai accountability.
Na kwa wale waliomfanyia hivi Agatha, mtajua kuwa haki haikimbiwi, haki ni kama ghost – inawinda hadi upate justice. Kila tone la damu, kila kilio chake, kila jicho lililomwona analia – limeandika mashtaka ambayo hayafutwi hata na miaka elfu moja. Na tukisema ICC itakuja, we mean it – and they don’t play.
Enough is enough. Sauti ya Agatha itakuwa moto wa mapinduzi. Let justice rain.
Kwani baadaye ya hapo nini?. Nyie mna mavi ya kugusa hao waamerika hata wakiamua kuleta watu kisikiliza kesa au mtabana matako na kuufyata tualafu baada ya hapo?
Mimi sisumbuki, anaye sumbuka ni wewe unaye ondoa uhai wa binaadam wenzako.basi utasumbuka sana
Achana na CCM. Nazungumzia Genge lenu lililo ivamia CCM. Genge lenu ni kundi la wauaji.mbna una mda mrefu wa kuteseka kjana kila sehem utaenda ccm utaikuta
Zezeta na Hilo jina Yesu anakuja. Huku unatetea Upumbavu na mauwaji nakuonaga jinga sana. Yesu anaga watu wapumbavu wateteaji wa maovu Kama wewe.sidhani kama ana ushahidi. mwanamke yeyote mkigombana asiposema umembaka, atasema umemtongoza akakukatalia au una kibamia. hadi zitoke hizo clip walizokuwa wanamchukua wakati wanambaka ndio tutaamini. na ninaamini askari wa tz wasingefanya kitu kama hicho kwa foreigner, never. usisikilize upande wa agatha peke yake.
pia, hao wanaharakati walitumwa na nani kuja hapa? si walitumwa na mashoga kuja kuvuruga nchi, sishabikii ubakaji ila siamini kama ulitokea.
View attachment 3343266
aya sawaAchana na CCM. Nazungumzia Genge lenu lililo ivamia CCM. Genge lenu ni kundi la wauaji.
haiwezi kuwa sawa. Watu wa aina yako, mnao ichafua CCM ni lazima mtambuliwe na mudhibitiwe.aya sawa
Now you are displaying your true colour. kwa kukusaidia tu, mtu yeyote anaweza kutoa tuhuma, huyo agata angeweza hata kukuambia wewe ulimbaka, bila kukusikiliza wewe au kupata ushahidi tunatakiwa kukuamini? angeweza tu kusema waliponikamata, mmoja wao alikuwa Kohelethi, huyo ndiye alinibaka. tunatakiwa kumwamini? tusemeje sasa, ID yako imejificha pengine na wewe ni polisi mojawapo waliomkamata kwahiyo tuseme wewe pia ulimbaka? acheni ujinga.Zezeta na Hilo jina Yesu anakuja. Huku unatetea Upumbavu na mauwaji nakuonaga jinga sana. Yesu anaga watu wapumbavu wateteaji wa maovu Kama wewe.