Ubalozi wa India wawatahadharisha raia wake dhidi ya ajira za MeTL

Hahahahah jamaa muuaji, Job security kwa 400k kwa mwezi? Maisha ya Dar yalivyo magumu utakuta hio 400 ni bila any other benefits kama bima,house allowance na Transport.
Ndio hivo mkuu, kuna jamaa yangu mmoja ye anachofanya nikwenda kuchukua wafanyakazi wa MO anawapandishia laki tatu kwenye mishahara yao, hakafu wanapiga kazi masaa 12, unyonyaji hauwezi kuisha.
 
Kina Dewj ni wabongo sio wahindi.

Hapo tu ndio wajindi wa India wanapojichanganyaga wamidhani ni wahindi wenzao.

Kumbe ni wabongo tena wa mikoani
Hapa Tanzania kuna Wahindi wengi wa India, wengi wa Uingereza, wengi wa Tanzania, wako pia wa Kanada na kwingineko. Raia wa nchi zote duniani popote duniani waliopo na kwa manufaa yao wanatakiwa na nchi zao wajisajiri kwenye Balozi za nchi zao ili wajulikane na waweze kusaidiwa ikibidi. Mjinga ni wewe si Balozi wa India!
 
MImi mjinga kivipi?
Post yangu umeisoma kimihemko.
 
Laki 7 kwa mwezi,kazini masaa 12 perday ,6 days per week,mzee sio kitoto.
Eeh kwahio figure mkuu atleast unaweza jibana bana ukabakia hata na chenchi kidogo. Kodi ya meza+ vocha+nauli 300k.

Kodi ya nyumba+bills 200k assuming nyumba isiozidi 150K.

Perhaps unaweza pass thru na 150k kwa mwezi kama Saving. Ukiendekeza anasa za kula bia na malaya unatoka flat bila hata sumni.
 
Hawa wahindi wanaoajiriwa Tanzania huwa sielewi ni kwanini wamejazana Tz huku, kuna watz kibao wenye sifa. Nampongeza Magufuli kwa kuanza kukataa ku renew vibali vyao vya kazi mara wamalizapo mikataba yao, nahili limeanza December hii.
Ufanisi ... performance mkuu.
Sisi wabongo wengi longo longo tu, maneno mengi output ndogo.
 
Wahindi wakisikia MeTL wanajua ni Choli cholii mwenzao kumbe Mzaramo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…